Ujio wa kocha mpya Simba SC hauna tofauti na kupika mchele wenye chuya

Daima asokupenda hukatisha tamaa ili uanguke, twaja nguvu mpya twaengua watu kileleni na maisha yaendelee mtikisiko huu wana yanga mmeupitia miaka minne ila miaka miwili mshavimba mpaka putulu latanuka[emoji28][emoji28][emoji28][emoji28] niko na sindano nawaza toboa[emoji2089][emoji2089][emoji2089][emoji2089][emoji2089][emoji2089][emoji3578]
 
Sa kumleta kuja kufanya Nini?Kupiga kura au kusimamia uchaguzi?Na ujio wake ulileta mafanikio gani Kwa Simba?
Ujio wake umeleta hamasa kwa wapiga kura na tukamrudisha Mangungu madarakani alieahidi kumtandika mtani na akatimiza. ahadi Aprili mwaka huu baada ya msoto wa muda mrefu.
 
Kwani juzi kikosi alipanga kocha mpya!
 
Unadhani huyo mhindi siyo sehemu ya upigaji?

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Lakini si mlifurahi ujio wake na aka ahidi atakuja kucheza Simba?
 

Upo sahihi mkuu lakini team nzima wamezeeka gafla? Maana hakuna mchezaji anayecheza vizuri hata mmoja zaidi ya kibu d, sasa ndo kusema huu uzee wameupata miezi hii m3?

Hapo simba ipo shida kubwa zaidi y hii ya wachezaji na kwasababu hawataki kusema siku moja viongozi watasema...... ila siamini hawa wachezaji wameshindwa kucheza vizuri”

Kwani dirisha dogo si linafunguliwa tarehe 1? Ngoja tuone watamsajili nani
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…