Mcharo son
JF-Expert Member
- Mar 4, 2015
- 6,363
- 5,354
Gwajima anakuja kuwa mbunge wako, hutaki kutia nia na wewe?Hehehe yaani mtu na akili zake apoteze muda kwenda kumsubiria mropokaji
Huwajui Watanzania wewe, mchukuane lile kundi la wasap muende tu japo hilo kundi limejaa mamluki
Unaweza kutuambia vitabu vya dini viliposema haki huinua taifa vilimaanisha Nini?
...
Mnawadharau sana watanzania mnawashika mpaka makalio mme wa underrated sana injustice mnayoifanya kabisa tutaichoma Tanzania nzuri kwa mikono yetu.
Jamii inauelewa Sana upinzani Tena Sana na nyie mnajua kwamba Jamii inauelewa upinzani na ndio maana mnahujumu JUHUDI zao kupitia dola fikiria mamia ya makutano ambayo chadema waliomba wakanyimwa na polisi kwa kigezo cha intelligencia lakini CCM wao wanakuwa granted kwa watu wanaochukia uonevu ni rahisi kushawishiwa kufanya sabotage na kulipa kisasi msingi mkuu ni Haki ndio maana biblia inasema haki huinua taifa.Nianze kwa kukupa hongera ya uweO wako mkubwa katika kukariri madai na vilio vya viongozi wa vyama vya upinzani. Lakini nikushangae kutokuwa na hoja tofauti hasa zenye kuvijenga vyama vya upinzani kuelekea Uchaguzi Mkuu.
Hitimisho lako hilo ni ushahidi wa jinsi ya mwelekeo wa mawazo yako katika siasa nchini, mnavyojinasibu na kueleweka na jamii
Avatar yako itapendeza sana ukiweka kifuu cha nazi!!Hehehe yaani mtu na akili zake apoteze muda kwenda kumsubiria mropokaji
Huwajui Watanzania wewe, mchukuane lile kundi la wasap muende tu japo hilo kundi limejaa mamluki
Miga au Acacia?Kujiwekea Kinga ya kutoshtakiwa inaakisi woga mlionao kwa uovu mlioutenda muda hausimami ipo siku mtajibu.