Ujio wa Lissu usiingiliwe, vinginevyo unaweza sababisha kutokea kwa stampede

Salary Slip

Platinum Member
Joined
Apr 3, 2012
Posts
52,828
Reaction score
165,667
Kupitia mahojiano na Jenerali Ulimwengu (yanapatikana Jeneralioline twitter),Lissu ametamka bayana kuwa atarudi nchini mwezi huu na kwamba atashiriki katika kikao cha Baraza Kuu na Mkutano Mkuu wa Chama chake baadae mwezi huu.

Kufuatia ujio huo,inawezekana watu wengi wakajitokeza kutaka kumuona mwanasiasa huyu maarufu na ambae ni mhangaka wa shambulizi kubwa la kutumia mvua za risasi, hivyo lazima tahadhari zichukuliwe na busara itumike ikitokea kuna watu wanapanga kumkamata kwani kunaweza tokea stampede iwapo watu watakuwa tayari wamekusanyika kwa wingi iwe ni katika uwanja wa ndege au mahali pengine popote atapofikia kwa lengo la kuongea na wananchi au waandishi wa habari.

Kuna kila dalili umaarufu wa Lissu utaongezeka zaidi ndani na nje ya nchi kutokana tu na mistreatment anayoweza kuipata baada ya kuwasili na matukio mengine yatayotokana na ujio wake huo.

Soma pia Tundu Lissu kupokwa pasipoti akitua Dar

Ni hayo tu wakuu na sina la ziada.
 
Kuna watu mna asili y kuhangaika na watu,Ujio waKe sio jambo la kushughulisha sana, ila ukiwa na mihemuko ndio utababaika. Sio issue wala nini, eti itatokea nini sijui, Salary slip toka umehama CCM hata kwa kulumangia hamna ladha.
 
Hehehe yaani mtu na akili zake apoteze muda kwenda kumsubiria mropokaji

Huwajui Watanzania wewe, mchukuane lile kundi la wasap muende tu japo hilo kundi limejaa mamluki
Jaribuni kufanya hujuma yoyote muone tutakachowafanya!

This time liwalo na liwe, timu ipo timamu kujibu jino kwa jino either direct au indirect.

Kuweni makini Sana huu mwaka, narudia kuweni makini Sana huu mwaka! Tupo mlipo, tuna info zote, tutajibu "in kind"
 
Kupitia mahojiano na Jenerali Ulimwengu (yanapatikana Jeneralioline twitter),Lissu ametamka bayana kuwa atarudi nchini mwezi huu na kwamba atashiriki katika kikao cha Baraza Kuu na Mkutano Mkuu wa Chama chake baadae mwezi huu.

Kufuatia ujio huo,inawezekana watu wengi wakajitokeza kutaka kumuona mwanasiasa huyu maarufu na ambae ni mhangaka wa shambulizi kubwa la kutumia mvua za risasi, hivyo lazima tahadhari zichukuliwe na busara itumike ikitokea kuna watu wanapanga kumkamata kwani kunaweza tokea stampede iwapo watu watakuwa tayari wamekusanyika kwa wingi iwe ni katika uwanja wa ndege au mahali pengine popote atapofikia kwa lengo la kuongea na wananchi au waandishi wa habari.

Kuna kila dalili umaarufu wa Lissu utaongezeka zaidi ndani na nje ya nchi kutokana tu na mistreatment anayoweza kuipata baada ya kuwasili na matukio mengine yatayotokana na ujio wake huo.

Ni hayo tu wakuu na sina la ziada.
Lissu ni kama comedian hana impact
 
Hizi porojo tu akifika anatakiwa aripoti polisi hakuna mwenye muda na mropkaji
Jaribuni kufanya hujuma yoyote muone tutakachowafanya!

This time liwalo na liwe, timu ipo timamu kujibu jino kwa jino either direct au indirect.

Kuweni makini Sana huu mwaka, narudia kuweni makini Sana huu mwaka! Tupo mlipo, tuna info zote, tutajibu "in kind"
 
Mmeanza kutishia watu wazima nyau?
 
Kupitia mahojiano na Jenerali Ulimwengu (yanapatikana Jeneralioline twitter),Lissu ametamka bayana kuwa atarudi nchini mwezi huu na kwamba atashiriki katika kikao cha Baraza Kuu na Mkutano Mkuu wa Chama chake baadae mwezi huu.

Kufuatia ujio huo,inawezekana watu wengi wakajitokeza kutaka kumuona mwanasiasa huyu maarufu na ambae ni mhangaka wa shambulizi kubwa la kutumia mvua za risasi, hivyo lazima tahadhari zichukuliwe na busara itumike ikitokea kuna watu wanapanga kumkamata kwani kunaweza tokea stampede iwapo watu watakuwa tayari wamekusanyika kwa wingi iwe ni katika uwanja wa ndege au mahali pengine popote atapofikia kwa lengo la kuongea na wananchi au waandishi wa habari.

Kuna kila dalili umaarufu wa Lissu utaongezeka zaidi ndani na nje ya nchi kutokana tu na mistreatment anayoweza kuipata baada ya kuwasili na matukio mengine yatayotokana na ujio wake huo.

Ni hayo tu wakuu na sina la ziada.
Nahofia maisha yake. Nashauri asije maana hapa ni hatari tupu. Watamkamata na kumweka ndani, halafu wanamwekea sumu, corona etc! Naogopa sana!
 
Back
Top Bottom