Ujio wa Lissu usiingiliwe, vinginevyo unaweza sababisha kutokea kwa stampede

Kwa sheria zetu za tanzania mualifu anapo onekana mbele ya police ni halali yao na atae jaribu kumterea mualifu basi atambue kua sheria ya tanzania itambana kwa sababu atakua anaziwia police kufanya Kaz yao
 
Fake love, siku zote I love u zinakuaga nyingi sana.
Tabia ya Magu hio.

NOTE: Watanzania nchi yetu ni Tajiri sana.
 
Kupitia mahojiano na Jenerali Ulimwengu (yanapatikana Jeneralioline twitter),Lissu ametamka bayana kuwa atarudi nchini mwezi huu na kwamba atashiriki katika kikao cha Baraza Kuu na Mkutano Mkuu wa Chama chake baadae mwezi huu.

Kufuatia ujio huo,inawezekana watu wengi wakajitokeza kutaka kumuona mwanasiasa huyu maarufu na ambae ni mhangaka wa shambulizi kubwa la kutumia mvua za risasi, hivyo lazima tahadhari zichukuliwe na busara itumike ikitokea kuna watu wanapanga kumkamata kwani kunaweza tokea stampede iwapo watu watakuwa tayari wamekusanyika kwa wingi iwe ni katika uwanja wa ndege au mahali pengine popote atapofikia kwa lengo la kuongea na wananchi au waandishi wa habari.

Kuna kila dalili umaarufu wa Lissu utaongezeka zaidi ndani na nje ya nchi kutokana tu na mistreatment anayoweza kuipata baada ya kuwasili na matukio mengine yatayotokana na ujio wake huo.

Ni hayo tu wakuu na sina la ziada.
Vitu bingine havihitaji kuwa profesa wa law, akitua tu anakatwa.
 
Good thinking
 
tangu ameanza kusema anarudi nyumbani hadi tumechoka kusubiri, tumekata tamaa, nadhani hawezi kurudi.
 
Jaribuni kufanya hujuma yoyote muone tutakachowafanya!

This time liwalo na liwe, timu ipo timamu kujibu jino kwa jino either direct au indirect.

Kuweni makini Sana huu mwaka, narudia kuweni makini Sana huu mwaka! Tupo mlipo, tuna info zote, tutajibu "in kind"
Mlishindwa kufanya siku Ile maakaman ambapo uongoz wa chadema nzima ulikua mle na yote kwa yote mkashindwa kufanya kitu ikaja wabunge wenu wamepigwa wengine mpaka wakavunjwa mikono bado hakufanya kitu mnajua kwa nn?

Kwa sababu watanzania mnao waimba kua Upande wenu Hua Wana wapuuzia nyie mnapenda maandamano na mnataka yatokee Leo au kesho shida kila mkiyapanga kwenye tukio mnajikuta nyie wenyewe Yan hata Mia 3 hamfiki so mnajua kabisa ni nin kitawakuta

Kwa io hata akija tundulisu msifikirie itakua tofaut na mwanzo ila jipen moyo na kupigia promo ujio wake Lakin sidhan kama akifika tanzania ataweza kukaa hata masaa mawil uraian sababu ya makosa yake
 
Kupitia mahojiano na Jenerali Ulimwengu (yanapatikana Jeneralioline twitter),Lissu ametamka bayana kuwa atarudi nchini mwezi huu na kwamba atashiriki katika kikao cha Baraza Kuu na Mkutano Mkuu wa Chama chake baadae mwezi huu.

Kufuatia ujio huo,inawezekana watu wengi wakajitokeza kutaka kumuona mwanasiasa huyu maarufu na ambae ni mhangaka wa shambulizi kubwa la kutumia mvua za risasi, hivyo lazima tahadhari zichukuliwe na busara itumike ikitokea kuna watu wanapanga kumkamata kwani kunaweza tokea stampede iwapo watu watakuwa tayari wamekusanyika kwa wingi iwe ni katika uwanja wa ndege au mahali pengine popote atapofikia kwa lengo la kuongea na wananchi au waandishi wa habari.

Kuna kila dalili umaarufu wa Lissu utaongezeka zaidi ndani na nje ya nchi kutokana tu na mistreatment anayoweza kuipata baada ya kuwasili na matukio mengine yatayotokana na ujio wake huo.

Ni hayo tu wakuu na sina la ziada.
Dogo amka sasa. Kumekucha. Usiendelee kuota
 
Hehehe yaani mtu na akili zake apoteze muda kwenda kumsubiria mropokaji

Huwajui Watanzania wewe, mchukuane lile kundi la wasap muende tu japo hilo kundi limejaa mamluki

Usiseme hatuwajui waTz! Hao unaosema hawataenda kupokea mtu walikwisha kwenda kupokea Bombadier and Airbus, waliwahi “kumsimamisha Rais ili aongee nao”. Walikwishadeki barabara Lowassa apite!!

Wewe ndio huwajui waTanzania!!
 
Kupitia mahojiano na Jenerali Ulimwengu (yanapatikana Jeneralioline twitter),Lissu ametamka bayana kuwa atarudi nchini mwezi huu na kwamba atashiriki katika kikao cha Baraza Kuu na Mkutano Mkuu wa Chama chake baadae mwezi huu.

Kufuatia ujio huo,inawezekana watu wengi wakajitokeza kutaka kumuona mwanasiasa huyu maarufu na ambae ni mhangaka wa shambulizi kubwa la kutumia mvua za risasi, hivyo lazima tahadhari zichukuliwe na busara itumike ikitokea kuna watu wanapanga kumkamata kwani kunaweza tokea stampede iwapo watu watakuwa tayari wamekusanyika kwa wingi iwe ni katika uwanja wa ndege au mahali pengine popote atapofikia kwa lengo la kuongea na wananchi au waandishi wa habari.

Kuna kila dalili umaarufu wa Lissu utaongezeka zaidi ndani na nje ya nchi kutokana tu na mistreatment anayoweza kuipata baada ya kuwasili na matukio mengine yatayotokana na ujio wake huo.

Ni hayo tu wakuu na sina la ziada.
Kabisa Lissu atatikisa sana na nafikiri ccm watatumia polisi kuzia watu wasimpokee, inabidi tuwazidi polisi nguvu.
 
Hehehe yaani mtu na akili zake apoteze muda kwenda kumsubiria mropokaji

Huwajui Watanzania wewe, mchukuane lile kundi la wasap muende tu japo hilo kundi limejaa mamluki
Akili za Lumumba
 
Misukule inaweza kwenda kumpokea Ila binadamu wa kawaida wanaojitambua hawawezi kufanya ujinga huo
 
Hehehe yaani mtu na akili zake apoteze muda kwenda kumsubiria mropokaji

Huwajui Watanzania wewe, mchukuane lile kundi la wasap muende tu japo hilo kundi limejaa mamluki
we ndo umeongea ukweli Sasa👏👏👏👏👏👏👏
 
Kwa sheria zetu za tanzania mualifu anapo onekana mbele ya police ni halali yao na atae jaribu kumterea mualifu basi atambue kua sheria ya tanzania itambana kwa sababu atakua anaziwia police kufanya Kaz yao

Ni hivi atakuja, kama ni kukamatwa ameshakamatwa sana. Hivyo hamna jipya hapo. Na tunamtaka kwenye kampeni ahakikishe anaweka udhaifu wote wa tume ya uchaguzi hadharani, mpaka imani ndogo iliyobaki ya hiyo tume iondoke. Kwahiyo pangeni lile kundi lenu la watu wasiojulikana, na polisi juu, lakini atarudi lazima.
 
Mkuu huyo lissu Nina hasa Hadi awe juu ya Sheria?
Hujui mpaka muda huu lissu Ni mtuhumiwa na mahakama inamuhitaji?

Hivi unafikiri kwa Tanzania hii ya awamu ya 5 Kuna raia mwenye akili zake timamu akasogeze pua yake Sijui uwanja wa Taifa akubali kuresist na Army power kisa anasubiri kumpokea lissu?

Hiyo kitu usitarajie kuja kutokea Tanzania hii
 
Back
Top Bottom