Ujio wa Lissu usiingiliwe, vinginevyo unaweza sababisha kutokea kwa stampede

Ujio wa Lissu usiingiliwe, vinginevyo unaweza sababisha kutokea kwa stampede

Wazalendo tutaenda kushuhudia ujio wa mwamba. Kupitia yy uwepo Mungu tumeuona.
Cyprian Musiba kaandaa njama nyingi sana za kumdhuru Tundu lisu ni vyema kukawa na tahadhari kubwa sana
 
Wewe ndiyo mropokaji iweje mnatumia nguvu kubwa kumzuia Tundu lisu badala kufanya maendeleo muache wananchi wawe huru kufanya maamuzi
Bro usiku huu usiwe unabishana na Lb7fc hao wapo kazini ww komenti jibu wenye akili wenzako.
 
Kupitia mahojiano na Jenerali Ulimwengu (yanapatikana Jeneralioline twitter),Lissu ametamka bayana kuwa atarudi nchini mwezi huu na kwamba atashiriki katika kikao cha Baraza Kuu na Mkutano Mkuu wa Chama chake baadae mwezi huu.

Kufuatia ujio huo,inawezekana watu wengi wakajitokeza kutaka kumuona mwanasiasa huyu maarufu na ambae ni mhangaka wa shambulizi kubwa la kutumia mvua za risasi, hivyo lazima tahadhari zichukuliwe na busara itumike ikitokea kuna watu wanapanga kumkamata kwani kunaweza tokea stampede iwapo watu watakuwa tayari wamekusanyika kwa wingi iwe ni katika uwanja wa ndege au mahali pengine popote atapofikia kwa lengo la kuongea na wananchi au waandishi wa habari.

Kuna kila dalili umaarufu wa Lissu utaongezeka zaidi ndani na nje ya nchi kutokana tu na mistreatment anayoweza kuipata baada ya kuwasili na matukio mengine yatayotokana na ujio wake huo.

Ni hayo tu wakuu na sina la ziada.

Lissu ni mashuhuri kuliko mwanasiasa yeyote Tanzania kwa sasa hilo halina ubishi. Tulioko nje tumeona hilo
 
Hakuna hasara kubwa hapa duniani kama kufa au kupata ulemavu kwa ajili ya wanasiasa especially africa!

A word is eneogh for the wise
 
Hehehe yaani mtu na akili zake apoteze muda kwenda kumsubiria mropokaji

Huwajui Watanzania wewe, mchukuane lile kundi la wasap muende tu japo hilo kundi limejaa mamluki
Ndugu ni kweli yako, muda ni ghali na maisha ni magumu. Hujamuelewa SS vizuri, kwanza huyu SS alikuwa Tarishi na mshabiki wa Dr Slaa, na alipodhalilishwa huyu SS, alibadilisha GIA vichakani akarudi kwa akina Lissu waliokuwa wakimtukana Slaa.

Ndipi SS akawa Tarishi wa Kambi ya Lissu, na hiyo kazi anaifanya hadi leo.

Hapa anajua kuwa Bosi wake (LISSU), hali yake ndani ya uongozi wa chama ni mbaya sana, hawamtaki, kwani amediriki kukitamani kiti cha Himaya ya wama Kilimanjaro, ambacho kitampa uwezo wa kuzuia matumizi mabaya ya pesa. Na pia Lissu anatafutwa na Idara zote za usalama, na hata mahakama, ambapo ameshindwa kuhudhuria kesi zake.

SS hapa anamtengenezea kinga , lakini ni SS pia amesema ukweli, Lissuana wapemzi ma mashabiki wengi sana, nalo hilo linaweza leta tatizo.

Serekali yetu ya CCM, kama inasikio la kumsikiliza, basi wasimkamate lissu, wampelekee samnsi ya kuhudhuria mahakama. Wawaachie chadema na yao, maanake hapako salama
 
Hehehe yaani mtu na akili zake apoteze muda kwenda kumsubiria mropokaji

Huwajui Watanzania wewe, mchukuane lile kundi la wasap muende tu japo hilo kundi limejaa mamluki
Inaonyesha una maumivu makali sana ya moyo, yatokanayo na uwoga, roho mbaya yenye chuki sana kama yule shetan mwenzio
 
kuna watu wanapanga kumkamata
"... wamepanga kumkamata..." kwani kafanya kosa gani?

Haya maneno mnayosikia kwa wapigazumari humu nyinyi ndio mnazidi kuyakuza bila ya sababu yoyote.

Huyu Lissu sasa hagusiki. Yeyote atakayejaribu kumgusa ajue dunia nzima itamwashia moto.

Lakini hata kabla ya dunia, waTanzania wenyewe hawatakubali upuuzi huo.

Acheni kueneza hofu. Mnawafanyia kazi hao wasiotaka arudi bila kujitambua.
 
Ndugu ni kweli yako, muda ni ghali na maisha ni magumu. Hujamuelewa SS vizuri, kwanza huyu SS alikuwa Tarishi na mshabiki wa Dr Slaa, na alipodhalilishwa huyu SS, alibadilisha GIA vichakani akarudi kwa akina Lissu waliokuwa wakimtukana Slaa.

Ndipi SS akawa Tarishi wa Kambi ya Lissu, na hiyo kazi anaifanya hadi leo.

Hapa anajua kuwa Bosi wake (LISSU), hali yake ndani ya uongozi wa chama ni mbaya sana, hawamtaki, kwani amediriki kukitamani kiti cha Himaya ya wama Kilimanjaro, ambacho kitampa uwezo wa kuzuia matumizi mabaya ya pesa. Na pia Lissu anatafutwa na Idara zote za usalama, na hata mahakama, ambapo ameshindwa kuhudhuria kesi zake.

SS hapa anamtengenezea kinga , lakini ni SS pia amesema ukweli, Lissuana wapemzi ma mashabiki wengi sana, nalo hilo linaweza leta tatizo.

Serekali yetu ya CCM, kama inasikio la kumsikiliza, basi wasimkamate lissu, wampelekee samnsi ya kuhudhuria mahakama. Wawaachie chadema na yao, maanake hapako salama
Mnatengeneza senema, siyo sinema, au tamthilia fikirishi kuwa Vyombo vya Ulinzi na Usalama wa nchi unaongozwa na watu mbumbumbu wa masuala hayo.

Naamini unakumbuka kuwa kwa kujihusisha na ukombozi wa nchi kadhaa, Tanzania ndiyo imekuwa kinara wa ulinzi na usalama katika Afrika
 
Hapa anajua kuwa Bosi wake (LISSU), hali yake ndani ya uongozi wa chama ni mbaya sana, hawamtaki, kwani amediriki kukitamani kiti cha Himaya ya wama Kilimanjaro, ambacho kitampa uwezo wa kuzuia matumizi mabaya ya pesa. Na pia Lissu anatafutwa na Idara zote za usalama, na hata mahakama, ambapo ameshindwa kuhudhuria kesi zake.

SS hapa anamtengenezea kinga , lakini ni SS pia amesema ukweli, Lissuana wapemzi ma mashabiki wengi sana, nalo hilo linaweza leta tatizo.

Serekali yetu ya CCM, kama inasikio la kumsikiliza, basi wasimkamate lissu, wampelekee samnsi ya kuhudhuria mahakama. Wawaachie chadema na yao, maanake hapako salama
Mtahangaika sana safari hii.

Hakuna njia ya kutokea, ni lazima mkutane na mliyedhani mmemmaliza.

Ni kama mnakutana na mzuka kwa kutojua jinsi ya kuukabili huo mzuka.

Na kumbuka, hamtapambana na mzuka wa Tundu Lissu tu, mnapambana na waTanzania ambao wamechoka na ulaghai wenu kama huu unaouweka hapa.
 
Hata ndugu zake wanaweza wasiende kumpokea
Kauli ya huyo jamaa si ya kupuuzwa TL unaweza kuwa mtego wa Mabeberu kwa Jpm wapate pa kuanzia kummaliza.Nachoomba Mh Raisi atoe maelekezo kuachana na huyu mtu.Katunzwa na Mabeberu usikute ndio waliomshawishi na wako nyuma yake hili kuweka mtego kwa Jpm aangaliwe huyo mtu.
 
Acha vitisho hewa.. unajua hana kiki.. mkivunja sheria yatawakuta.. nchi hii ya amani msituletee uchovu wenu wa kuwa upinzani msio na lolote zaidi ya kudandia tu ya Chama Tawala.. kutaka kupindisha mema ya JPM
 
Hahahahaaha "in kind"
Jaribuni kufanya hujuma yoyote muone tutakachowafanya!

This time liwalo na liwe, timu ipo timamu kujibu jino kwa jino either direct au indirect.

Kuweni makini Sana huu mwaka, narudia kuweni makini Sana huu mwaka! Tupo mlipo, tuna info zote, tutajibu "in kind"
 
Back
Top Bottom