Ujio wa Lissu usiingiliwe, vinginevyo unaweza sababisha kutokea kwa stampede

Ujio wa Lissu usiingiliwe, vinginevyo unaweza sababisha kutokea kwa stampede

Hehehe yaani mtu na akili zake apoteze muda kwenda kumsubiria mropokaji

Huwajui Watanzania wewe, mchukuane lile kundi la wasap muende tu japo hilo kundi limejaa mamluki
Watakuwepo wengi kumpokea ukiwemo wewe kama si kwenda physically utakuwa unafuatilia kwenye media. Hata boss atafuatilia vizuri tu
 
Kupitia mahojiano na Jenerali Ulimwengu (yanapatikana Jeneralioline twitter),Lissu ametamka bayana kuwa atarudi nchini mwezi huu na kwamba atashiriki katika kikao cha Baraza Kuu na Mkutano Mkuu wa Chama chake baadae mwezi huu.

Kufuatia ujio huo,inawezekana watu wengi wakajitokeza kutaka kumuona mwanasiasa huyu maarufu na ambae ni mhangaka wa shambulizi kubwa la kutumia mvua za risasi, hivyo lazima tahadhari zichukuliwe na busara itumike ikitokea kuna watu wanapanga kumkamata kwani kunaweza tokea stampede iwapo watu watakuwa tayari wamekusanyika kwa wingi iwe ni katika uwanja wa ndege au mahali pengine popote atapofikia kwa lengo la kuongea na wananchi au waandishi wa habari.

Kuna kila dalili umaarufu wa Lissu utaongezeka zaidi ndani na nje ya nchi kutokana tu na mistreatment anayoweza kuipata baada ya kuwasili na matukio mengine yatayotokana na ujio wake huo.

Ni hayo tu wakuu na sina la ziada.
Ushauri wa bure, viongozi wa Kamati Kuu ya CHADEMA waandae mapokezi yake kwa ustaarabu ili kuepusha vurugu na hakika wataonekana ni viongozi wapenda amani. Ila, Mh Mwenyekiti naye amekwisha kutangaza nia. Kasheshe
 
Kwa sheria zetu za tanzania mualifu anapo onekana mbele ya police ni halali yao na atae jaribu kumterea mualifu basi atambue kua sheria ya tanzania itambana kwa sababu atakua anaziwia police kufanya Kaz yao
Uhalifu wa lisu ni upi? Na waliotaka kumuua ndio wema?
 
Hehehe yaani mtu na akili zake apoteze muda kwenda kumsubiria mropokaji

Huwajui Watanzania wewe, mchukuane lile kundi la wasap muende tu japo hilo kundi limejaa mamluki
Kwani wewe upo kwenye kundi la wenye Akili? Wewe ni mbumbumbu juha zuzu unawezaje kujua mwenye akili?
 
Majaji wanapasha moto dhana, ngoja aingine na hivi ana makesi mengi
Makesi haramu kwenye mahakamaccm wakiandaa Jajiccm lazima atakwenda kinyume na Sheria kwa kutumia Sheria binafsi za Mtukufu na Naibu Rais Bashite, mahakamaccm kwenye kesi za Tundu lisu inatumia Sheria za zidumu fikra za mwenyekiti wa CCM siyo Sheria za Nchi, cyprian Musiba kaandaa wagonjwa wa corona wa kumuambukiza Tundu lisu kwa mujibu wa Le mutuz ambaye ni msiri wa Bashite.
 
Zipo njama lukuki za kumwangamiza Tundu lisu na yeye amezibaini kupitia mpelelezi aliyempenyeza kwa Naibu Rais Bashite na kikundi chake akina Le mutuz ambao wanadai akifika lazima afungwe na wamuambukize Corona wakishindwa hilo wanamfanyia shambulio lingine kali zaidi kuliko lile lililofanywa na nyaulingo na heri kisanduku Dodoma.
 
Tundu lisu aende The Hague aende UN makao makuu ya Tasisi za haki za binadamu Duniani aombe Ulinzi mkubwa na pia aombe Serikali ya marekani wamlinde ikiwemo kumpa Marine FBI CIA kadhaa watangulie mapema kabla yake kuandaa mazingira bora na kubaini mitego ya Naibu Rais Bashite na kikundi chake
 
Hizi porojo tu akifika anatakiwa aripoti polisi hakuna mwenye muda na mropkaji
Wewe ndiyo mropokaji iweje mnatumia nguvu kubwa kumzuia Tundu lisu badala kufanya maendeleo muache wananchi wawe huru kufanya maamuzi
 
Back
Top Bottom