johnthebaptist
JF-Expert Member
- May 27, 2014
- 97,869
- 171,716
Kama unabisha shauri Yako.
Hapo anasubiriwa Dr Bashiru na Komredi Polepole kutusukia Ilani ya Ushindi wa kishindo. Kwa kifupi Kazi imeisha Siasa ni Sayansi 😂😂
Pale Bungeni ndugu Lukuvi ataweka kila kitu sawa. Huku kwa akina Mwabukusi na Matata sasa watakutana na nguli mwenyewe wa Katiba Prof Kabudi.
Kule Arusha ndio itakuwa Kioo cha Jamii kwa Mambo ya Utawala Bora unaojali Watu wote, Kiboko ya Wahuni amerejea.
Soma Pia:
Jumaa Mubarak 😃😃😃