Ujio wa Lukuvi ( Bunge), Prof Kabudi ( Katiba) na Makonda ( Utawala Bora) kunaifanya CCM kukamilika Idara zote kuelekea 2025

Lakini Chadema hatutaki kukamilika kwa CCm bali kukamilika kwa maendeleo ya Tanzania na Mtanzania
 
Kama unabisha shauri Yako.

Hapo anasubiriwa Dr Bashiru na Komredi Polepole kutusukia Ilani ya Ushindi wa kishindo. Kwa kifupi Kazi imeisha Siasa ni Sayansi 😂😂

Pale Bungeni ndugu Lukuvi ataweka kila kitu sawa. Huku kwa akina Mwabukusi na Matata sasa watakutana na nguli mwenyewe wa Katiba Prof Kabudi.

Kule Arusha ndio itakuwa Kioo cha Jamii kwa Mambo ya Utawala Bora unaojali Watu wote, Kiboko ya Wahuni amerejea.

Soma Pia:
Jumaa Mubarak 😃😃😃
Wameshashindwa kabla hawajaanza
 
Prayer room kwa mweny imani yake anaweza kuingia akasoma hata biblia kwa utulivu ...Naona wzo zuri kabisa.
Prayer room hapo kwa miaka ijayo ndo watu watajua umuhimu wake. Watu wanazidi kuwa na misongo and people are much confused so wanahitaji kukutana na Mungu wao kwenye sehemu tulivu. Kwa wenzetu kama America sasa wanazungmzia mambo ya Project 2025 au Christian Nationalism which are Christian big Agendas. anyway, badae tutaelewa.
 
Another wasted sperm, do you think as a country we need this political convenience? Teuzi na reshuffle za Baraza hazileti nafuu kwa wananchi.
 
Kama unabisha shauri Yako.

Hapo anasubiriwa Dr Bashiru na Komredi Polepole kutusukia Ilani ya Ushindi wa kishindo. Kwa kifupi Kazi imeisha Siasa ni Sayansi 😂😂

Pale Bungeni ndugu Lukuvi ataweka kila kitu sawa. Huku kwa akina Mwabukusi na Matata sasa watakutana na nguli mwenyewe wa Katiba Prof Kabudi.

Kule Arusha ndio itakuwa Kioo cha Jamii kwa Mambo ya Utawala Bora unaojali Watu wote, Kiboko ya Wahuni amerejea.

Soma Pia:
Jumaa Mubarak 😃😃😃
Ukiwa mjinga unakuwa hujijui, ni sawa na mtu aliyekufa, ndugu ndio huteseka na kuumia, ni sawa na mtoa mada kumsifia Makonda
 
Tangu lini CCM ikashinda uchaguzi kwa kuwa na ilani bora ?

Nyie ilani yenu ni Polisi, walimu, wakurugenzi, usalama wa taifa .

Hao wakififishwa na kukaa kando CCM ni kama TLP.
 
RC bora dunian amerejea watu wote tunafuraha.
RC Bora ni Antony Mtaka- wengine kelele na kupata hype ya media tu lakini Mtaka- media kidogo kazi na ubunifu zaidi huyo RC wenu akiletwa Njombe ataishia kuota moto maana huku hakuna wadudu
 
Kama unabisha shauri Yako.

Hapo anasubiriwa Dr Bashiru na Komredi Polepole kutusukia Ilani ya Ushindi wa kishindo. Kwa kifupi Kazi imeisha Siasa ni Sayansi 😂😂

Pale Bungeni ndugu Lukuvi ataweka kila kitu sawa. Huku kwa akina Mwabukusi na Matata sasa watakutana na nguli mwenyewe wa Katiba Prof Kabudi.

Kule Arusha ndio itakuwa Kioo cha Jamii kwa Mambo ya Utawala Bora unaojali Watu wote, Kiboko ya Wahuni amerejea.

Soma Pia:
Jumaa Mubarak 😃😃😃
Ccm wote wamatolewa ubongo ni empty head
 
Back
Top Bottom