Landrover 109
JF-Expert Member
- Mar 22, 2019
- 384
- 597
Kwanza mpaka Sasa hivi tayari wapo magogoni na chamwino.Wamarekani hawana rafiki wa kudumu wala adui wa kudumu. Huwa hawafanyi mishe zao bila malengo, bila shaka kuna deal wamekuja kulifuatilia.
Tangu mjomba wako jiwe afariki naona bundle linakupa shida sanaTunafurahi kwa diplomasia nzuri ya kufungua nchi kwa dunia. Jitihada kubwa inayofanywa na mheshimiwa Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania kurejesha mahusiano na mataifa mbalimbali hususani ya Magharibi sio ya kubezwa ...ni jitihada kubwa na leadership style ya kipekee ambayo inaleta manufaa.
Tumewahi kupata ugeni mbalimbali kutoka mataifa makubwa lakini napenda kurejea ugeni wa Rais wa Marekani Barack Obama ambapo "inasemekana" kuwa masuala ya kiulinzi yaliingilia mifumo yetu ya kiulinzi pengine kwa kutoaminiwa sana kwa wataalamu wetu wa maswala ya ulinzi na usalama.
Iwapo suala hilo ni kweli basi hatuna namna bali kutoa angalizo...kwamba vyombo vyetu vya ulinzi na usalama ni imara na ni lazima viaminiwe kwa asilimia 100.Tusidanganywe kuwa hatuwezi bali discussion ifanyike kujua weak points ni zipi na hivyo zifanyiwe kazi.
Tunayo Ikulu mpya ya CHAMWINO Kamwe tusiruhusu mtoka mbali ndio ajidai kuwa ana uelewa wa kuilinda kuliko vyombo vyetu adhimu vya ulinzi na usalama.
Kamwe tusiruhusu details za Ikulu yetu mpya kuangukia mikononi mwa wageni, hili ni hatari sana na ni sawa na kuingilia uhuru na heshima ya nchi.
Otherwise karibu sana mgeni wetu na tuna value ujio wako.
KWA HISANI YA MTU WA TANZANIA!!
Mwambie huyo Jinga la duniaAcha kuongea vituko..[emoji1787][emoji1787][emoji38] budget tu ya mishahara na ulinzi tunakopa kwao elimu ya ulinzi wanatupa wao kama msaada.
even vifaa vya ulinzi walivyotengeneza wao hatuwezi kununua maana hatuwezi kumudu gharama.
Kwa taarifa USA anataarifa zote za viongozi wa hii nchi...
Hiyo ni super power.
Ni chawa mwenzako na ni sukuma gang mwenzakoEti 'Camilla', wewe kweli Jingalao [emoji23][emoji23]
Siyo kwa America [emoji631]. Kama tu juzi mke wa Biden, Dr Jill ametembelea Kenya. Kwa siku mbili Terminal moja ilifungwa kwa ajili yake. Ndiyo utegemee makamu wao wa Rais alindwe na police wa Siro kweli ?! .Nakuunga mkono bro. Kuliko kupewa maelekezo na kuingiliwa namna yetu ya ulinzi hadi kutoa siri ambazo hatuwezi kiusalama kutoa kwa nchi nyingine ni bora asije huyo kamala. Tusichukulie tu eti marekani nchi kubwa hakuna hawalijui kuhusu usalama wetu.
Wachana na hao wana lumumba ya chatoSiyo kwa America [emoji631]. Kama tu juzi mke wa Biden, Dr Jill ametembelea Kenya. Kwa siku mbili Terminal moja ilifungwa kwa ajili yake. Ndiyo utegemee makamu wao wa Rais alindwe na police wa Siro kweli ?! .
Na Airport pale akapokelewe na Makamu wa Rais au mkuu wa mkoa. Rais akienda kumpokea Makamu wa Rais itakuwa fedheha sana kwa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania ya uchumi wa kati.Tunafurahi kwa diplomasia nzuri ya kufungua nchi kwa dunia. Jitihada kubwa inayofanywa na mheshimiwa Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania kurejesha mahusiano na mataifa mbalimbali hususani ya Magharibi sio ya kubezwa ...ni jitihada kubwa na leadership style ya kipekee ambayo inaleta manufaa.
Tumewahi kupata ugeni mbalimbali kutoka mataifa makubwa lakini napenda kurejea ugeni wa Rais wa Marekani Barack Obama ambapo "inasemekana" kuwa masuala ya kiulinzi yaliingilia mifumo yetu ya kiulinzi pengine kwa kutoaminiwa sana kwa wataalamu wetu wa maswala ya ulinzi na usalama.
Iwapo suala hilo ni kweli basi hatuna namna bali kutoa angalizo...kwamba vyombo vyetu vya ulinzi na usalama ni imara na ni lazima viaminiwe kwa asilimia 100.Tusidanganywe kuwa hatuwezi bali discussion ifanyike kujua weak points ni zipi na hivyo zifanyiwe kazi.
Tunayo Ikulu mpya ya CHAMWINO Kamwe tusiruhusu mtoka mbali ndio ajidai kuwa ana uelewa wa kuilinda kuliko vyombo vyetu adhimu vya ulinzi na usalama.
Kamwe tusiruhusu details za Ikulu yetu mpya kuangukia mikononi mwa wageni, hili ni hatari sana na ni sawa na kuingilia uhuru na heshima ya nchi.
Otherwise karibu sana mgeni wetu na tuna value ujio wako.
KWA HISANI YA MTU WA TANZANIA!!
Si bora waingilie hiyo mifumo kuliko huyo mama kuja na sera za upinde wa mvua mana nao Lemma anaongea kwa kujiamini sana.Tunafurahi kwa diplomasia nzuri ya kufungua nchi kwa dunia. Jitihada kubwa inayofanywa na mheshimiwa Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania kurejesha mahusiano na mataifa mbalimbali hususani ya Magharibi sio ya kubezwa ...ni jitihada kubwa na leadership style ya kipekee ambayo inaleta manufaa.
Tumewahi kupata ugeni mbalimbali kutoka mataifa makubwa lakini napenda kurejea ugeni wa Rais wa Marekani Barack Obama ambapo "inasemekana" kuwa masuala ya kiulinzi yaliingilia mifumo yetu ya kiulinzi pengine kwa kutoaminiwa sana kwa wataalamu wetu wa maswala ya ulinzi na usalama.
Iwapo suala hilo ni kweli basi hatuna namna bali kutoa angalizo...kwamba vyombo vyetu vya ulinzi na usalama ni imara na ni lazima viaminiwe kwa asilimia 100.Tusidanganywe kuwa hatuwezi bali discussion ifanyike kujua weak points ni zipi na hivyo zifanyiwe kazi.
Tunayo Ikulu mpya ya CHAMWINO Kamwe tusiruhusu mtoka mbali ndio ajidai kuwa ana uelewa wa kuilinda kuliko vyombo vyetu adhimu vya ulinzi na usalama.
Kamwe tusiruhusu details za Ikulu yetu mpya kuangukia mikononi mwa wageni, hili ni hatari sana na ni sawa na kuingilia uhuru na heshima ya nchi.
Otherwise karibu sana mgeni wetu na tuna value ujio wako.
KWA HISANI YA MTU WA TANZANIA!!
[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23] ila watu jamanKama tulikubali watoto wetu wa kike wasome wakiwa na watoto basi na hili la kaka zao kuoana sidhani kama litapingwa.
Ushogaaaa kuusambazaaaa.Wamarekani hawana rafiki wa kudumu wala adui wa kudumu. Huwa hawafanyi mishe zao bila malengo, bila shaka kuna deal wamekuja kulifuatilia.
[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23] jaman watu khaaaaaahNi kweli Rais na Makamu wa USA wanalindwa kijeshi popote pale Duniani,ulinzi wa viongozi Wakuu ni jukumu lao ndani na nje ya nchi.
Ulinzi utakuwa chini ya base yao iliyoko Kenya na ndege za viongozi Wakuu wote zinasindikizwa na ndege za kijeshi zikiwa angani na Magari ya kumbeba yanakuja na ndege maalumu,hawapandi V8 la Bibi wa Kikwajuni.
[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23] nyie watuuuu lolNasikia alivyokuja bush, mafaili ikulu yalikuwa yanakanyagwa hovyo na wazee, wamepiga fegi sana ofisi ya mkulu
[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23] yaaaan khaaaahWale wavaaa vijora wakisikia "Kamala" wanawaza upinde na kuingia barabarani[emoji28][emoji28]
[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]Siyo kwa America [emoji631]. Kama tu juzi mke wa Biden, Dr Jill ametembelea Kenya. Kwa siku mbili Terminal moja ilifungwa kwa ajili yake. Ndiyo utegemee makamu wao wa Rais alindwe na police wa Siro kweli ?! .
Thubutuuuuuuu ataenda rais kumpokeaaa, [emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]Na Airport pale akapokelewe na Makamu wa Rais au mkuu wa mkoa. Rais akienda kumpokea Makamu wa Rais itakuwa fedheha sana kwa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania ya uchumi wa kati.