Ujio wa Makamu wa Rais Kamala Harris nchini Tanzania, mifumo ya ulinzi nchini isiingiliwe na Marekani

Tunafurahi kwa diplomasia nzuri ya kufungua nchi kwa dunia. Jitihada kubwa inayofanywa na mheshimiwa Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania kurejesha mahusiano na mataifa mbalimbali hususani ya Magharibi sio ya kubezwa ...ni jitihada kubwa na leadership style ya kipekee ambayo inaleta manufaa.

Tumewahi kupata ugeni mbalimbali kutoka mataifa makubwa lakini napenda kurejea ugeni wa Rais wa Marekani Barack Obama ambapo "inasemekana" kuwa masuala ya kiulinzi yaliingilia mifumo yetu ya kiulinzi pengine kwa kutoaminiwa sana kwa wataalamu wetu wa maswala ya ulinzi na usalama.

Iwapo suala hilo ni kweli basi hatuna namna bali kutoa angalizo...kwamba vyombo vyetu vya ulinzi na usalama ni imara na ni lazima viaminiwe kwa asilimia 100.Tusidanganywe kuwa hatuwezi bali discussion ifanyike kujua weak points ni zipi na hivyo zifanyiwe kazi.

Tunayo Ikulu mpya ya CHAMWINO Kamwe tusiruhusu mtoka mbali ndio ajidai kuwa ana uelewa wa kuilinda kuliko vyombo vyetu adhimu vya ulinzi na usalama.

Kamwe tusiruhusu details za Ikulu yetu mpya kuangukia mikononi mwa wageni, hili ni hatari sana na ni sawa na kuingilia uhuru na heshima ya nchi.

Otherwise karibu sana mgeni wetu na tuna value ujio wako.

KWA HISANI YA MTU WA TANZANIA!!
Alie kuzidi kakuzidi , alazima mifumo kuingiliwa ,uyo si Mseveni, Ruto au kagame
 
story za kwenye kahawa hizo.
Ni kweli Rais na Makamu wa USA wanalindwa kijeshi popote pale Duniani,ulinzi wa viongozi Wakuu ni jukumu lao ndani na nje ya nchi.
Ulinzi utakuwa chini ya base yao iliyoko Kenya na ndege za viongozi Wakuu wote zinasindikizwa na ndege za kijeshi zikiwa angani na Magari ya kumbeba yanakuja na ndege maalumu,hawapandi V8 la Bibi wa Kikwajuni.
 
Wamarekani ndiyo wanaendesha Dunia na wanajua mpaka silaha tunazomiliki.Na ni sheria yao kumlinda Rais wao kijeshi popote pale anapokwenda.
Idara yetu TISS imeshindwa kuiwezesha Tanzania kuwa na Uchumi imara kwa kutumia rasimali zetu bali nao wamekuwa sehemu ya tatizo la ufisadi na rushwa,wataaminiwa vipi na magwiji wa CIA.
TISS yetu kazi yake ni kuilinda CCM na viongozi wake wezi na intelijensia ya vyama vya upinzani na kutengeneza mikakati ya kuiwezesha CCM kuvigeuza vyama vya upinzani kuwa rafiki wa CCM Ili nao Watoto wao waje wakumbukwe kwenye teuzi.
usitweze uwezo wa TISS yetu ...usikubali uchanga wa intelligentsia yetu....when it comes to the local context our operatives are well informed and well prepared to deal with multiple threats more than you can imagine.
 
Tunafurahi kwa diplomasia nzuri ya kufungua nchi kwa dunia. Jitihada kubwa inayofanywa na mheshimiwa Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania kurejesha mahusiano na mataifa mbalimbali hususani ya Magharibi sio ya kubezwa ...ni jitihada kubwa na leadership style ya kipekee ambayo inaleta manufaa.

Tumewahi kupata ugeni mbalimbali kutoka mataifa makubwa lakini napenda kurejea ugeni wa Rais wa Marekani Barack Obama ambapo "inasemekana" kuwa masuala ya kiulinzi yaliingilia mifumo yetu ya kiulinzi pengine kwa kutoaminiwa sana kwa wataalamu wetu wa maswala ya ulinzi na usalama.

Iwapo suala hilo ni kweli basi hatuna namna bali kutoa angalizo...kwamba vyombo vyetu vya ulinzi na usalama ni imara na ni lazima viaminiwe kwa asilimia 100.Tusidanganywe kuwa hatuwezi bali discussion ifanyike kujua weak points ni zipi na hivyo zifanyiwe kazi.

Tunayo Ikulu mpya ya CHAMWINO Kamwe tusiruhusu mtoka mbali ndio ajidai kuwa ana uelewa wa kuilinda kuliko vyombo vyetu adhimu vya ulinzi na usalama.

Kamwe tusiruhusu details za Ikulu yetu mpya kuangukia mikononi mwa wageni, hili ni hatari sana na ni sawa na kuingilia uhuru na heshima ya nchi.

Otherwise karibu sana mgeni wetu na tuna value ujio wako.

KWA HISANI YA MTU WA TANZANIA!!
Americans wanajua kila kitu chako kabla Kamala Harris na delegation yake hawajafika hapa. Usidhani kama una siri za Taifa kwa USA.

Hata unapokwenda US Embassy kama una shida yeyote, wanakuona kuanzia Mataa ya Namanga au pale Zantel. By the time unafanya metal checkup pale getini wanafanya procedure tu ku confirm. Achana nao
 
Ni kweli Rais na Makamu wa USA wanalindwa kijeshi popote pale Duniani,ulinzi wa viongozi Wakuu ni jukumu lao ndani na nje ya nchi.
Ulinzi utakuwa chini ya base yao iliyoko Kenya na ndege za viongozi Wakuu wote zinasindikizwa na ndege za kijeshi zikiwa angani na Magari ya kumbeba yanakuja na ndege maalumu,hawapandi V8 la Bibi wa Kikwajuni.
There must be a limit ..local issues are dealt with locally.
 
Americans wanajua kila kitu chako kabla Kamala Harris na delegation yake hawajafika hapa. Usidhani kama una siri za Taifa kwa USA.

Hata unapokwenda US Embassy kama una shida yeyote, wanakuona kuanzia Mataa ya Namanga au pale Zantel. By the time unafanya metal checkup pale getini wanafanya procedure tu ku confirm. Achana nao
Achana na maisha ya movie
 
[emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787]
ni kizazi cha vijana kama ilivyo kizazi cha vijana wetu...usijiweke kwenye upande wa upweke kamwe....waache vijana wetu waoneshe utofauti.
 
Ujio wa Obama mwaka 2013 ulitia fora!!!! JAKAYA alidata akawa anakenuaa tu, na alivyo zuzu akaagiza FFU wa kitanganyika wawekwe kando ili kupisha WANAJESHII WA THE UNITED STATES OF AMERICA.

Akakabidhi passwords zote za ikulu kwa mabeberuu huku anajichekesha chekesha.

Jamaa tapeli lile, linaweza hata kuuza nchi na migodi yake yote! Linakenua tu!
Yule sio mzima. Huwa namwangalia anavyojichekeleshachekelesha nabaki nasikitika tu. Ni kama alikua cloned au ana mtindio
 
Back
Top Bottom