Ujio wa Makamu wa Rais Kamala Harris nchini Tanzania, mifumo ya ulinzi nchini isiingiliwe na Marekani

Subiri uone ulinzi siku hiyo utakuwa chini ya kina nani? Yaani IGP wetu atapangwa kulinda magari nje ya uzio wa ikulu. Na nina washauri wamerekani wasithubutu kukubali kulindwa na majizi ya kura.
Mimi nitashauri vyombo vyetu vya ulinzi na usalama kuwa bold kwenye hili.
 
Y

Kwa akili yako unahisi hawaijui? 🤣 🤣 Kazi mnayo.
Kwa akili yako umedhani sijui kama hawajui kumbe unajidanganya. Wanaweza kujua lakini experience watakayo ipata kuzurula humo mjengoni na kupiga picha kisirisiri au kwa uwazi ndiko nako kumaanisha sawa ewe mwenye akili?
 
Sio kwa Marekani boss, au unaofananisha ujio wa Makamu wa rais wa Marekani na ujio wa Museveni nini? Hivyo vyombo vyenu vitakuwa bold kwa majizi menzenu ya kura.
[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]
 
Tunafurahi kwa diplomasia nzuri ya kufungua nchi kwa dunia. Jitihada kubwa inayofanywa na mheshimiwa Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania kurejesha mahusiano na mataifa mbalimbali hususani ya Magharibi sio ya kubezwa ...ni jitihada kubwa na leadership style ya kipekee ambayo inaleta manufaa.

Tumewahi kupata ugeni mbalimbali kutoka mataifa makubwa lakini napenda kurajea ugeni wa Rais wa Marekani Barack Obama ambapo "inasemekana" kuwa masuala ya kiulinzi yaliingilia mifumo yetu ya kiulinzi pengine kwa kutoaminiwa sana kwa wataalamu wetu wa maswala ya ulinzi na usalama.

Iwapo suala hilo ni kweli basi hatuna namna bali kutoa angalizo...kwamba vyombo vyetu vya ulinzi na usalama ni imara na ni lazima viaminiwe kwa asilimia 100.Tusidanganywe kuwa hatuwezi bali discussion ifanyike kujua weak points ni zipi na hivyo zifanyiwe kazi.

Tunayo Ikulu mpya ya CHAMWINO Kamwe tusiruhusu mtoka mbali ndio ajidai kuwa ana uelewa wa kuilinda kuliko vyombo vyetu adhimu vya ulinzi na usalama.

Kamwe tusiruhusu details za Ikulu yetu mpya kuangukia mikononi mwa wageni, hili ni hatari sana na ni sawa na kuingilia uhuru na heshima ya nchi.

Otherwise karibu sana mgeni wetu na tuna value ujio wako.

KWA HISANI YA MTU WA TANZANIA!!
Mkuu umeandika kama vile umeona kitu.
Anyway wameshajiandaa, so hakuna wasichojua.

Tunasaidiwa nao mambo mengi.
akaribie Kamara Haris
 
Subiri uone ulinzi siku hiyo utakuwa chini ya kina nani? Yaani IGP wetu atapangwa kulinda magari nje ya uzio wa ikulu. Na nina washauri wamerekani wasithubutu kukubali kulindwa na majizi ya kura.
[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]
 
Tunafurahi kwa diplomasia nzuri ya kufungua nchi kwa dunia. Jitihada kubwa inayofanywa na mheshimiwa Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania kurejesha mahusiano na mataifa mbalimbali hususani ya Magharibi sio ya kubezwa ...ni jitihada kubwa na leadership style ya kipekee ambayo inaleta manufaa.

Tumewahi kupata ugeni mbalimbali kutoka mataifa makubwa lakini napenda kurajea ugeni wa Rais wa Marekani Barack Obama ambapo "inasemekana" kuwa masuala ya kiulinzi yaliingilia mifumo yetu ya kiulinzi pengine kwa kutoaminiwa sana kwa wataalamu wetu wa maswala ya ulinzi na usalama.

Iwapo suala hilo ni kweli basi hatuna namna bali kutoa angalizo...kwamba vyombo vyetu vya ulinzi na usalama ni imara na ni lazima viaminiwe kwa asilimia 100.Tusidanganywe kuwa hatuwezi bali discussion ifanyike kujua weak points ni zipi na hivyo zifanyiwe kazi.

Tunayo Ikulu mpya ya CHAMWINO Kamwe tusiruhusu mtoka mbali ndio ajidai kuwa ana uelewa wa kuilinda kuliko vyombo vyetu adhimu vya ulinzi na usalama.

Kamwe tusiruhusu details za Ikulu yetu mpya kuangukia mikononi mwa wageni, hili ni hatari sana na ni sawa na kuingilia uhuru na heshima ya nchi.

Otherwise karibu sana mgeni wetu na tuna value ujio wako.

KWA HISANI YA MTU WA TANZANIA!!
Bora aje puttin kuliko hawa mashoga
 
Kwa akili yako umedhani sijui kama hawajui kumbe unajidanganya. Wanaweza kujua lakini experience watakayo ipata kuzurula humo mjengoni na kupiga picha kisirisiri au kwa uwazi ndiko nako kumaanisha sawa ewe mwenye akili?

Jamaa hawa wa vyombo vya ulinzi na usalama USA hata bila camera, moja ya sifa za wanaoajiriwa ktk vitengo vyao ni uwezo wa kukariri na kuhifadhi kwa usahihi ramani na kila kitu kwa kutumia bongo zao.
 
Sio kwa Marekani boss, au unaofananisha ujio wa Makamu wa rais wa Marekani na ujio wa Museveni nini? Hivyo vyombo vyenu vitakuwa bold kwa majizi menzenu ya kura.
Jiamini,waamini na jenga imani kwa vijana wetu.Zaidi toa ushauri kwao.ondoka katika fikra chafu za ukoloni.
 
Jamaa hawa wa vyombo vya ulinzi na usalama USA hata bila camera, moja ya sifa za wanaoajiriwa ktk vitengo vyao ni uwezo wa kukariri na kuhifadhi kwa usahihi ramani na kila kitu kwa kutumia bongo zao.
ni kizazi cha vijana kama ilivyo kizazi cha vijana wetu...usijiweke kwenye upande wa upweke kamwe....waache vijana wetu waoneshe utofauti.
 
Mwaka 2013 Jakaya Kikwete alikabidhi passwords zote za ikulu kwa JESHI LA BARRACK OBAMA.

Barabara zikapigwa deki na kupuliziwa pafyumu.

FFU wa kitanganyika wakafichwa kotazi.
Hongera sana kwa kuishi vizuri na bibi na babu. Maana wamekufundisha kutunga hadithi zenye fiksi tele halafu unajikausha hivi! Hongera maana Rais mstaafu wakati anakabidhi ulikuwepo naye Ikulu.😀😀😀. # Jengeni utaratibu kuamini nchi yenu inaweza kusimamia ulinzi na usalama wake to the maximum. 🙏🙏🙏
 
Tunafurahi kwa diplomasia nzuri ya kufungua nchi kwa dunia. Jitihada kubwa inayofanywa na mheshimiwa Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania kurejesha mahusiano na mataifa mbalimbali hususani ya Magharibi sio ya kubezwa ...ni jitihada kubwa na leadership style ya kipekee ambayo inaleta manufaa.

Tumewahi kupata ugeni mbalimbali kutoka mataifa makubwa lakini napenda kurajea ugeni wa Rais wa Marekani Barack Obama ambapo "inasemekana" kuwa masuala ya kiulinzi yaliingilia mifumo yetu ya kiulinzi pengine kwa kutoaminiwa sana kwa wataalamu wetu wa maswala ya ulinzi na usalama.

Iwapo suala hilo ni kweli basi hatuna namna bali kutoa angalizo...kwamba vyombo vyetu vya ulinzi na usalama ni imara na ni lazima viaminiwe kwa asilimia 100.Tusidanganywe kuwa hatuwezi bali discussion ifanyike kujua weak points ni zipi na hivyo zifanyiwe kazi.

Tunayo Ikulu mpya ya CHAMWINO Kamwe tusiruhusu mtoka mbali ndio ajidai kuwa ana uelewa wa kuilinda kuliko vyombo vyetu adhimu vya ulinzi na usalama.

Kamwe tusiruhusu details za Ikulu yetu mpya kuangukia mikononi mwa wageni, hili ni hatari sana na ni sawa na kuingilia uhuru na heshima ya nchi.

Otherwise karibu sana mgeni wetu na tuna value ujio wako.

KWA HISANI YA MTU WA TANZANIA!!
Aliyefurahi diplomasia kuzima na kufungwa leo anafurahi diplomasia kukua.😅😅
Jingalao!
 
Acha kuongea vituko..🤣🤣😆 budget tu ya mishahara na ulinzi tunakopa kwao elimu ya ulinzi wanatupa wao kama msaada.

even vifaa vya ulinzi walivyotengeneza wao hatuwezi kununua maana hatuwezi kumudu gharama.

Kwa taarifa USA anataarifa zote za viongozi wa hii nchi...
Hiyo ni super power.
Kuna watu hawajui Dunia inavyoenda.
Kama mtu anakupa bajeti yako ya ulinzi anshindwaji ku access mifumo yako? Vifaa vyote updates zinafanyika kwao.
 
Back
Top Bottom