Bia Ya Moto
JF-Expert Member
- Aug 2, 2021
- 1,227
- 2,816
Sidhani kama atakwenda Dodoma,hakuna miundombinu ya kumpokea yeye na ujumbe wake.
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Kwahiyo wale walinzi wa samia wenye MITUTU MIPANA hawatakuwepo kumlinda KAMALA?Hilo halipo ulinzi sitting President USA ni jambo gumu sana kuelewa sio nchi masikini hata ulaya popote alipo ulinzi ni wao ....pekee ....hata Israel wana obey..
[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23] mashekhe wameshaandamana kuufukuza ushoga nchini.
Mambuzi yote ni "majingalao" ukiwemo wewe mfuasi wa shetani aliyeondoshwa.Eti 'Camilla', wewe kweli Jingalao [emoji23][emoji23]
hiyo ni given kama pie...hoja yangu ni sisi kujiondoa katika hilo janga...kijana simama imara na simama kama mzalendo.Acha kuongea vituko..🤣🤣😆 budget tu ya mishahara na ulinzi tunakopa kwao elimu ya ulinzi wanatupa wao kama msaada.
even vifaa vya ulinzi walivyotengeneza wao hatuwezi kununua maana hatuwezi kumudu gharama.
Kwa taarifa USA anataarifa zote za viongozi wa hii nchi...
Hiyo ni super power.
Hamna mtu ana muda wa kuweka ikulu yenu chini ya ulinzi, bali wao watakuwa wanamlinda kiongozi wao. Kama hawaamini ulinzi wenu ni lazima wamlinde kiongozi wao, hata kama ikulu yenu itakuwa chini ya usimamizi wao kwa muda. Uzuri ni kwamba watakapoweka ikulu yenu chini ya ulinzi, automatically na ikulu yenu inakuwa kwenye usalama zaidi kwa muda huo.Tunafurahi kwa diplomasia nzuri ya kufungua nchi kwa dunia.Jitihada kubwa inayofanywa na mheshimiwa Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania kurejesha mahusiano na mataifa mbalimbali hususani ya Magharibi sio ya kubezwa ...ni jitihada kubwa na leadership style ya kipekee ambayo inaleta manufaa.
Tumewahi kupata ugeni mbalimbali kutoka mataifa makubwa lakini napenda kurajea ugeni wa Rais wa Marekani Barack Obama ambapo "inasemekana" kuwa maswala ya kiulinzi yaliingilia mifumo yetu ya kiulinzi pengine kwa kutoaminiwa sana kwa wataalamu wetu wa maswala ya ulinzi na usalama.
Iwapo suala hilo ni kweli basi hatuna namna bali kutoa angalizo...kwamba vyombo vyetu vya ulinzi na usalama ni imara na ni lazima viaminiwe kwa asilimia 100.Tusidanganywe kuwa hatuwezi bali discussion ifanyike kujua weak points ni zipi na hivyo zifanyiwe kazi.
Tunayo Ikulu mpya ya CHAMWINO Kamwe tusiruhusu mtoka mbali ndio ajidai kuwa ana uelewa wa kuilinda kuliko vyombo vyetu adhimu vya ulinzi na usalama.
kamwe tusiruhusu details za Ikulu yetu mpya kuangukia mikononi mwa wageni....hili ni hatari sana na ni sawa na kuingilia uhuru na heshima ya nchi.
otherwise karibu sana mgeni wetu na tuna value ujio wako.
KWA HISANI YA MTU WA TANZANIA!!
maswala ya kiulinzi yaliingilia mifumo yetu ya kiulinzi pengine kwa kutoaminiwa sana kwa wataalamu wetu wa maswala ya ulinzi na usalama.
Ukiachana na hizi siasa uchwara za kupakana mafuta kwa mgongo wa chupa, Wale jamaa wanaamini bara la Afrika kusini mwa jangwa wanaishi wanyama pori...itakuwa ni maajabu kwenda porini bila silaha na ulinzi wa kutosha.Tunayo Ikulu mpya ya CHAMWINO Kamwe tusiruhusu mtoka mbali ndio ajidai kuwa ana uelewa wa kuilinda kuliko vyombo vyetu adhimu vya ulinzi na usalama.
Simple...waambiwe tu ...plain and clear kwamba TZ ni nchi na ina mfumo wake makini.Ukiachana na hizi siasa uchwara za kupakana mafuta kwa mgongo wa chupa, Wale jamaa wanaamini bara la Afrika kusini mwa jangwa wanaishi wanyama pori...itakuwa ni maajabu kwenda porini bila silaha na ulinzi wa kutosha.
Askari wetu ni wazuri kwenye wizi wa kura na kupiga wapinzani wasio na silaha, na sio kwenye ulinzi wa makamu wa rais wa US. So hakuna mmarekani atakubali kulindwa na majizi ya kura.story za kwenye kahawa hizo.
Mfumo makini wa kuteka raia wasio na silaha?Simple...waambiwe tu ...plain and clear kwamba TZ ni nchi na ina mfumo wake makini.
Kwa akili yako unahisi hawaijui? 🤣 🤣 Kazi mnayo.Hapo ramani yote ya jengo wataondoka nayo kisirisiri au kwa uwaziuwazi huku makirikiri wasijue cha kufanya au wajue cha kufanya na wasikifanye
Subiri uone ulinzi siku hiyo utakuwa chini ya kina nani? Yaani IGP wetu atapangwa kulinda magari nje ya uzio wa ikulu. Na nina washauri wamerekani wasithubutu kukubali kulindwa na majizi ya kura.Ondoka huko ...umbea wenu wa kuchafua majina ya legends hauwezi kufanikiwa.rudi kwenye mada za msingi