JF Member
JF-Expert Member
- Dec 14, 2014
- 7,914
- 10,793
Baada ya ujio wa Makonda nimeshudia mambo mengi na mengine yataendelea kutokea kama ifuatavyo.
1. Mji umechangamka, kila mtu anataka kusikia kauli ya mkuu wa mkoa.
2. Wakuu wa mikoa mingine wanaanza kujifunza upya.
3. Lema anahaha, muda si mrefu anaenda kukosa watu wa kwenda kwenye mikutano yake. Maana wahuni wote wanamwelewa Makonda. Bodaboda wote wanaenda kuunganishwa kikamilifu, Mama Ntilie na Machinga wote wanaenda kupewa nguvu.
4. Chadema sasa kuanza kuibua tuhuma nzito kwa Makonda.
5. Maendeleo Arusha yanaenda kuonekana na maji yatatoka masaa 24.
6. Uchaguzi wa 2025 utakuwa mwepesi sana kwa CCM.
NB - Mimi sio muumini wa watumia mabavu kutawala ila napenda wachapakazi.