Ujio wa Obama: Kashfa ya kupokwa ulinzi, vyombo vya habari vinavyoiona Tanzania


Nakubaliana na hoja zako zenye kuakisi ukweli kutokana na dondoo ulivyozifafanua. Jambo ambalo limepitiliza mbali ya mazuri mengi uliyoyaainisha hapa ni ule mchujo wa viongozi waandamizi serikalini, maana yake hata hawa viongozi wetu wachaguliwa kuna ambao wanatiliwa shaka na usalama wa Wamarekani. Sishangai wao kuchukua jukumu la usalama wa kiongozi wao kwa 99%, lakini mchujo wa viogozi waandamizi serikalini wakiwemo mawazi hata baadhi ya makamu wa marais wetu ni jambo linaloshtua kidogo maana si la kawaida.
 

Hilo linaeleweka na hakuna siyejua kiburi cha wamarekani na wanavyojiona wanajua zaidi ya wote. Jambo moja ambalo si la kawaida ningeshukuru jaribu kulijengea utetezi kuhusu mchujo wa viogozi waandamizi serikalini. Jambo hilo halijazoeleka na halijatokea hata kwa ziara za Marais wa Marekani waliotembelea Tanzania, hali kadhalika msafara wa Obama huko West na South Afrika hakija tokea kitu kama hicho cha kuchuja viogozi waandamizi serikalini. Hapa si itikadi tunajadili yaliyojilia kwenye taifa letu la Tanzania. Unaonaje bwana KAPONGO?
 
FBI wakagua ofisi ya Kova kwa mbwa



View attachment 100684
Hii habari iko kwenye magazeti, ni aibu has ukilinganisha na tambo zilizokuwa zimetolewa hapo awali

Mkuu wa ulinzi na usalama wa raia ofisi yake inakaguliwa na vikosi vya usalama vya Wamarekani hapa nchini mwentu. Marekani mbwa anapoingizwa kwenye ofisi au sehemu yo yote kwa ukaguzi maana yake ni "crime seen!" Hii imekaakaaje jamani vandugu zangu. Aibu ya mwaka.
 


Mkuu suala la Ulinzi na uwepo wa raisi kwa misingi ya muda kwa sasa na miaka ya nyuma ni tofauti kabisa. US ya leo si US ya miaka 10 iliyopita. Ina maadui zaidi walio na nguvu zaidi. Hata hivyo kwa hili naomba msome hapo Sikonge kaidadafua vema - Post #.

Tukija suala la Serikali na matumizi yake ya vyombo vya dolla dhidi ya Upinzani na Wananchi thats another topic kabisa na bado sijaona inahusiana vipi na Usalama Tanzania kunyang'anywa majukumu; jambo ambalo siafiki. Waliachiwa wafanye yale yalo ndani ya uwezo wao.

Unaposema kuwa 'Uzalendo' umeharibiwa na Serikali nayo si kweli... Viongozi wa nchi wapo wangapi wenye nguvu ya kuongoza? Na wananchi wapo wangapi? Wananchi na viongozi wote si wazalendo kwa nchi yetu. Hilo ni wazi wala si siri... Kila siku tupo kulaumu Viongozi (suala ambalo halikwepeki) lakini hivi tumetafakari wale ambao ni wasomi na wanaingia katika taasisi tofauti kuwajibika nafasi yao ipo kwa kiwango kipi kwenye kuangamiza taifa?
 
Last edited by a moderator:
Naomba uangalie Diary yako kama hawa walikuja kabla au baada ya Sept 11.


Thanks for pointing that out.. Maktaba yangu iliishia hapo. Ila nilikuwa nakumbuka kwa Hilary ni post muda huo. So hapa kilichobaki ilikuwa tu google iniokoe. Lol

CheiChei I guess you got my point. Kaka Maranya nimekusoma post yako ya awali. Nimekupata vema.
 
Vipi yule mshikaji wa matusi wa CCM alibahatika kumpa mkono OBAMA?????
 
Vipi yule mshikaji wa matusi wa CCM alibahatika kumpa mkono OBAMA?????

Makachero wanawajua fika wote walio na ndimi za moto na waliochafuka kwa damu katu hawakuruhusiwa kumkaribia Obama.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…