"UJIO WA OBAMA" simu za mikononi zinachujwa au kusikilizwa

Android 00

JF-Expert Member
Joined
May 23, 2013
Posts
774
Reaction score
224
Tangu jana nilianza kusikia mabadiliko na nikagundua Simu zote zimetekwa, ujio wa obama umekua ni karaha sasa.
 
Huyu mtu kuja kwake ni nafuuu kwetu. kwa watu msiojua nini maaana ya unemployment inavyopiganiwe kutokomezwa katika jamaii naomba mkae kimya. Obama kaja kutupatia ajira na atashusha viwanda vingi sana kuinua ajira kwa watu masikini. Hivyo kwa ukombozi huo anaouleta hapa nchini ni lazima attetemekewe sana kwa sababu KIkwete anajua wazi mwisho wa siku Tanzania itakuwa mahala pazuri. sasa wewe dini yako hata mmarekani atusaidieje huwezi kabisaaa kushukuru kwa sababu ya utumwa wa kimawazo anaokupa Iran. Hivyo tuachie sisi wenye shida ya kazi za viwandani atuokoe na wewe nenda Iran au saudi arabia watakupatia ilimu ya dini ya nguvu.
 
Hivi unaelewa ulichoandika hapo ktk red, au unaandika tu bila kufikiri?
Alikuja Bill Clinton kwanza, baadaye Bush; hivi walifanya nini la maana? Waliacha viwanda vingapi na walitengeneza ajira ngapi kwa Watanzania?
 
mkuu kusikiliza mawasiliano ya simu wamarekani mbona wameanza kitambo! huangalii habari kuhusu yule jamaa aliyotoa hizo siri wanavyomtafuta ...! hakuna privacy dunia hii popote utakapokwenda
 
Huyu mtu kuja kwake ni nafuuu kwetu. kwa watu msiojua nini maaana ya unemployment inavyopiganiwe kutokomezwa katika jamaii naomba mkae kimya. Obama kaja kutupatia ajira na atashusha viwanda vingi sana kuinua ajira kwa watu masikini. Hivyo kwa ukombozi huo anaouleta hapa nchini ni lazima attetemekewe sana kwa sababu KIkwete anajua wazi mwisho wa siku Tanzania itakuwa mahala pazuri. sasa wewe dini yako hata mmarekani atusaidieje huwezi kabisaaa kushukuru kwa sababu ya utumwa wa kimawazo anaokupa Iran. Hivyo tuachie sisi wenye shida ya kazi za viwandani atuokoe na wewe nenda Iran au saudi arabia watakupatia ilimu ya dini ya nguvu.

hatuhitaji kujengewa viwanda bali tunahitaji mikataba ya fursa za kiuchumi!
Tunataka kufanya biashara na marekani.
 
Huyu mtu kuja kwake ni nafuuu kwetu. kwa watu msiojua nini maaana ya unemployment inavyopiganiwe kutokomezwa katika jamaii naomba mkae kimya. Obama kaja kutupatia ajira na atashusha viwanda vingi sana kuinua ajira kwa watu masikini. Hivyo kwa ukombozi huo anaouleta hapa nchini ni lazima attetemekewe sana kwa sababu KIkwete anajua wazi mwisho wa siku Tanzania itakuwa mahala pazuri. sasa wewe dini yako hata mmarekani atusaidieje huwezi kabisaaa kushukuru kwa sababu ya utumwa wa kimawazo anaokupa Iran. Hivyo tuachie sisi wenye shida ya kazi za viwandani atuokoe na wewe nenda Iran au saudi arabia watakupatia ilimu ya dini ya nguvu.

Some people say becouse they have something to say, other say becouse they have to say something.
 
natamani wapate kusikiliza cm yangu moja nikiongea na bibi yangu
 
:A S 20: hali halisi ni kuwa kwa mmarekani yeyote anatanguliza maslahi yao kwanza kuliko nchi zingine kwa hiyo tusitarajie makubwa
 
Ntazima sim yangu kabisa! Sipendi mtu a spy what am doing!
 
Huyu mtu kuja kwake ni nafuuu kwetu. kwa watu msiojua nini maaana ya unemployment inavyopiganiwe kutokomezwa katika jamaii naomba mkae kimya. Obama kaja kutupatia ajira na atashusha viwanda vingi sana kuinua ajira kwa watu masikini. Hivyo kwa ukombozi huo anaouleta hapa nchini ni lazima attetemekewe sana kwa sababu KIkwete anajua wazi mwisho wa siku Tanzania itakuwa mahala pazuri. sasa wewe dini yako hata mmarekani atusaidieje huwezi kabisaaa kushukuru kwa sababu ya utumwa wa kimawazo anaokupa Iran. Hivyo tuachie sisi wenye shida ya kazi za viwandani atuokoe na wewe nenda Iran au saudi arabia watakupatia ilimu ya dini ya nguvu.

Hii nchi ni masikini kwasababu imejaa wajinga na matahira wengi kama wewe
 
Huyu mtu kuja kwake ni nafuuu kwetu. kwa watu msiojua nini maaana ya unemployment inavyopiganiwe kutokomezwa katika jamaii naomba mkae kimya. Obama kaja kutupatia ajira na atashusha viwanda vingi sana kuinua ajira kwa watu masikini. Hivyo kwa ukombozi huo anaouleta hapa nchini ni lazima attetemekewe sana kwa sababu KIkwete anajua wazi mwisho wa siku Tanzania itakuwa mahala pazuri. sasa wewe dini yako hata mmarekani atusaidieje huwezi kabisaaa kushukuru kwa sababu ya utumwa wa kimawazo anaokupa Iran. Hivyo tuachie sisi wenye shida ya kazi za viwandani atuokoe na wewe nenda Iran au saudi arabia watakupatia ilimu ya dini ya nguvu.

yaan wewe ndo mdini namba moja unachuki sana na dini fulani mtoa mada hajagusia udini lakin wewe umekerekwa kutokana na chuki yako nzito ya udini unao kutafuna......lol what a shame?
 
Kumbe ndio maana sisi ni masikini....
 
Some people say becouse they have something to say, other say becouse they have to say something.

Mbona unamuogopa mkuu. PLATO amesema ''WISE men speak because they have something to say, FOOLS speak because they have to say something''
 
yaan wewe ndo mdini namba moja unachuki sana na dini fulani mtoa mada hajagusia udini lakin wewe umekerekwa kutokana na chuki yako nzito ya udini unao kutafuna......lol what a shame?

Usimsingizie huyu kuwa ni mdini , wengi wa wananchi wanajua mkwereeeee ndio mdini nambari moja hapa nchini!!!
 
Huyu mtu kuja kwake ni nafuuu kwetu. kwa watu msiojua nini maaana ya unemployment inavyopiganiwe kutokomezwa katika jamaii naomba mkae kimya. Obama kaja kutupatia ajira na atashusha viwanda vingi sana kuinua ajira kwa watu masikini. Hivyo kwa ukombozi huo anaouleta hapa nchini ni lazima attetemekewe sana kwa sababu KIkwete anajua wazi mwisho wa siku Tanzania itakuwa mahala pazuri. sasa wewe dini yako hata mmarekani atusaidieje huwezi kabisaaa kushukuru kwa sababu ya utumwa wa kimawazo anaokupa Iran. Hivyo tuachie sisi wenye shida ya kazi za viwandani atuokoe na wewe nenda Iran au saudi arabia watakupatia ilimu ya dini ya nguvu.

Ww ndo una bahati mbaya sana kwani ni mjinga na -------- aliyetukuka.
 
Back
Top Bottom