"UJIO WA OBAMA" simu za mikononi zinachujwa au kusikilizwa

hahahha jf bana sti salaam alekum ahhahha.hii imenikumbusha 15 yrs ago ndugu mja alikuwa anaishi kari,bu na ubalozi flani hii njia ya oy'bay, akavamiwa na wezi sasa wakati anahaha kutafuta silaha ilipo akapigiwa cmu toka ule ubalozi wakamwambia tunajua umevamiwa tulia hapo hapo we will take respon'blty of everything kihoro yule anko akaendea silaha alipoweka wakampigia tena na kumwambia tumekwambia usifanye chochote kesho yake alihama ile nyumba mpaka na leo ameipangishia.pata picha
 
Karibu Obama. Uondoke mapema kesho machinga hatujaingiza kitu wiki mbili.
Ondoka Baraka usilale kesho
 
Ujio huu ni fahari kwa baadhi ya viongoz wa nchi lakin cc raia wa chini 2naumia hasa sisi machinga wa dar, ni bora aondoke
 
hahahha jf bana sti salaam alekum ahhahha.hii imenikumbusha 15 yrs ago ndugu mja alikuwa anaishi kari,bu na ubalozi flani hii njia ya oy'bay, akavamiwa na wezi sasa wakati anahaha kutafuta silaha ilipo akapigiwa cmu toka ule ubalozi wakamwambia tunajua umevamiwa tulia hapo hapo we will take respon'blty of everything kihoro yule anko akaendea silaha alipoweka wakampigia tena na kumwambia tumekwambia usifanye chochote kesho yake alihama ile nyumba mpaka na leo ameipangishia.pata picha

Hii Kali
 
title ya post na kilichoandikwa ndani nahisi haviendani au mimi tu na miwani yangu ya mbao :glasses-nerdy:
 
Jana nimepigiwa simu toka USA na ndugu yanguj na namba yake ya mobile ninayo phonebook lkn ajabu ilidisplay namba ya airtel sielewi nini kilichotokea hadi muda huu
 
Back
Top Bottom