"UJIO WA OBAMA" simu za mikononi zinachujwa au kusikilizwa

:majani7:WELCOME TO TANZANIA RAIS BARACK OBAMA:clap2::A S thumbs_down:
 
KARIB 😛ainkiller:😛ainkiller:U BARACKOBAMA TANZANI 😛ainkiller:😛ainkiller:😛ainkiller:
 
:a s 20: :llama:Bise analia nini? Nani kapiga?:a s 20::A S 13:
 
Mpuuzi kabisa wewe.. unafikiri huyu half cast wa kinyang'angau anakuja kwa mapenzi?!

Na ndio nyinyi mkipewa nafasi ya kusoma mikataba mnaisaini tu, so long as mkipewa vi ten%...

Hakuna penzi hapo, yeye anakanyaga nyayo za wachina waliokuja tu, atatafuta madini yetu na gesi, ataangalia wapi atawekeza ili apatae faida kwa manufaa yake na nchi yake.

Natumaini viongozi wetu hawatakuwa "starstruck" na ma limousine na upuuzi wa ulinzi na usalama wa hawa wageni, bali macho yao yatakua mang'aavu na kusoma na kuatafakari documents na contracts za aina yoyote ile zitakazowekwa mezani....
 
Huyu mtu kuja kwake ni nafuuu kwetu. kwa watu msiojua nini maaana ya unemployment inavyopiganiwe kutokomezwa katika jamaii naomba mkae kimya. Obama kaja kutupatia ajira na atashusha viwanda vingi sana kuinua ajira kwa watu masikini. Hivyo kwa ukombozi huo anaouleta hapa nchini ni lazima attetemekewe sana kwa sababu KIkwete anajua wazi mwisho wa siku Tanzania itakuwa mahala pazuri. sasa wewe dini yako hata mmarekani atusaidieje huwezi kabisaaa kushukuru kwa sababu ya utumwa wa kimawazo anaokupa Iran. Hivyo tuachie sisi wenye shida ya kazi za viwandani atuokoe na wewe nenda Iran au saudi arabia watakupatia ilimu ya dini ya nguvu.

Ndo mnajidanganya hivi??

Sent from my BlackBerry 9700 using JamiiForums
 
ukitaka kuamini wanachuja simu zote, wapigie watu 3 tofauti na muongee kilugha, alafu chomeka jina la Obama mwanzoni, katikati na mwisho alafu malizia kwa kusema inshaallaa, bila kusahau kuanza na asalaam aleukum, watakufata mpaka ulipo
 
Kweli hizi nazo akiri siyo matope! Wewe uliyefanya hivyo upo wapi hapo segerea ? Acha u pinda wewe ! Mwache obama aje tupewe vyandarua .lol umaskini!

Sent from my BlackBerry 9700 using Jamii Forums
 
Soma amelezo vizuri we mwanamke, nani kakuambia ana mpango wa kwenda kuzimu au wakurupuka tu? Ushindwe na ulegee kwa jina la Yesu Kristo

ulikuwa hujui usafiri wa kwenda huko hell ni kifo ndo usafiri wenyewe tambua hilo na jiweke tayari ikifika zamu yako ya kwenda huko
 
samahani lakini baba mkubwa kwani wewe hutaki kupaingia hapa kaburi.jpgalipopaingia ngwea
Soma amelezo vizuri we mwanamke, nani kakuambia ana mpango wa kwenda kuzimu au wakurupuka tu? Ushindwe na ulegee kwa jina la Yesu Kristo
 
ukitaka kuamini wanachuja simu zote, wapigie watu 3 tofauti na muongee kilugha, alafu chomeka jina la Obama mwanzoni, katikati na mwisho alafu malizia kwa kusema inshaallaa, bila kusahau kuanza na asalaam aleukum, watakufata mpaka ulipo

Aisee situmiiii asalaam aleikhum mpaka aondoke
 
Huyu mtu kuja kwake ni nafuuu kwetu. kwa watu msiojua nini maaana ya unemployment inavyopiganiwe kutokomezwa katika jamaii naomba mkae kimya. Obama kaja kutupatia ajira na atashusha viwanda vingi sana kuinua ajira kwa watu masikini. Hivyo kwa ukombozi huo anaouleta hapa nchini ni lazima attetemekewe sana kwa sababu KIkwete anajua wazi mwisho wa siku Tanzania itakuwa mahala pazuri. sasa wewe dini yako hata mmarekani atusaidieje huwezi kabisaaa kushukuru kwa sababu ya utumwa wa kimawazo anaokupa Iran. Hivyo tuachie sisi wenye shida ya kazi za viwandani atuokoe na wewe nenda Iran au saudi arabia watakupatia ilimu ya dini ya nguvu.

mtazamo wako
 
Back
Top Bottom