Ujio wa pili wa Yesu na Alliens invasion

nakubaliana na wewe, lakini kwa nini Yesu arudi kwa style hiyo? maana alisema hakuna ajuaye siku wala sasa ya kurudi kwangu.

Mathayo 24:36-51​

 
Kuna mzee mmoja alisikika akisema Yesu aliiba mbao ndio akasulubiwa km wezi wengine enzi hizo. Ila mke wake maria hakusema tu.
ha ha ha, jamaa ana mapepo
 
Ndio itakuwa moment ya ajabu sana pale Israel kwenye eneo ermegadon ambapo kutakuwa na makundi mawili moja linamsuport Israel likiongozwa na usa na lapili likimpinga Israel likiongozwa na china kwasababu ya vita ile kuwa mbaya Yesu mwenyewe atatokea kuamua.
 
Acha hekaya broo yaani kwenye Hilo bifu ndio atokee kuamua?
Hujui kwenye Siasa hakuna rafiki wa kudumu Wala adui wa kudumu huwezi amini mahasimu wataungana kumtwanga na kumwangamiza Jesus Kama walivyoungana kuitokomeza covid 19 hapo ndio Masihi atajua Binadamu ni vigeu geu sana!
😁😁😁😁
 
kuja kwa Yesu mara ya pili hakutakuwa kama unavyofikiri, Yesu akiwa huko angani kufumba na kufumbua atawanyakua kama sumaku wote walio watakatifu "kwa dakika hiyo tu", wataenda eneo huko mbinguni na watakaa kwa miaka 7. waliobaki huku duniani hasa ninyi mnaoendekeza ngono, hapa duniani mtaanza shuruba za mpinga kristo hizo 7 yrs. baada ya hapo ndio Yesu atashuka nak umwangamia mpinga kristo na wafuasi/jeshi lake lote.

mpinga kristo atakua nusu mtu na nusu agent wa shetani. yaani mashetani watazaa na wanadamu na inasemekana tayari ameshazaliwa, hivyo siku ya mwisho ipo karibu mno. nasubiri povu ili niandika zaidi. asante kwa mtoa mada.
 
Ndugu kinyago ulichokichonga kinaweza kukutisha?Yesu mara ya pili haji kama mwanzo anajuja akitisha yaani itakuwa hatari, yaani maadui watakufa kwa pumzi ya kinywa tu.
 

Mafundisho haya uliyapata kwa Nabii Tito?
 
kwa kipigo alichokula tokea kwa warumi mpka kufa, na akiona kizaz cha leo kilivyostaharabika na kuendelea kwenye siraha za kivita kama makombora na vifaa vya mateso, sizani huyo yesu wa kusadikika kama anampango wa kurudi dunian[emoji23][emoji23].

kiuhalisia yesu hayupo na hatowai kuwepo, kila siku tunatoa masomo humu ya historia ya kwel ya dunia, lkn mnapuuzia,

tushawaelez sana kuwa huyo kiumbe ajiitaye yesu, ni aina ya pepo ambayo ilikuwa inaabudiwa tangu falme za misri, mpaka kwa wagiriki, wapersia, wahindi na warumi, kwa majina tofauti.

warumi ndye waliopindua meza kwa ujanja, waliamua kuiba historia ya shujaa aliewahi kuish afrika na kutenda maajabu, wakaichanganya na stori za huyo azazel, Zeus, chrishna na kuunda kiumbe mpya aitwae yesu, ama yashuwa, ama jesus,

unatakiaa ujuwe Mungu wa kwel hana ushirika na kiumbe wa aina yoyote ile, lakn ana viumbe wake aina nying, mfano mzaliwa wa kwanza ambaye ndye alikuja afrika na stori zake kubadirishwa kuwa yesu kristo, pia kuna mzaliwa wa pili aliyepo kizaz hiki, kuna malaika, maserafi, makerubi, wamwisho kabisa ni viumbe wa kimwil ambao ni watu(black people) na wanadamu(white people).

sasa kufupisha stori, iko hivi, mwisho wa dunia haupo kma mnavyofikil ama kuadithiwa na hayo matapel yajitayo wachungaj, manabii, maaskofu na mashehe,

mwisho utakuwa hiv kutatokea upotevu wa watu waliokuwa wakifuata imani ya kweli ambayo haihusian na dini, yaan unyakuo kama wanadini waitavyo

na baada ya upotevu huo, mataifa ya watu weupe yenye nguvu, yataandaa project ili kuwadanganya watu wasishabikie tukio ilo kwa kusingizia alien wamebeba watu na kuwapeleka sayar ya nje,

na baada ya hapo watamleta huyo kiumbe mliyekuwa mkimuabudu kila siku na mnamuomba, atakuja na sura ile ile mnayoichora makanisan mwenu, na mnapicha yake na muv zake, pia atashuka ktk taifa lile lile mnalokesha kuliombea,

lkn atashushwa kijanja na watahalamu wa technolojia kupitia Blue beam projection itakayomuonesha huyo Yesu akitoka angani na kundi la wafuasi na matarumbeta yenye saut kari, .

watu wengi watamuamin huyu kiumbe na kujua ndye aliyetabiliwa na vitabu vyao vya dini, kibaya zaid huyu ndye atakayeongoza dunia nzima na kwa kuwaaminisha watu kuwa yeye ni mwema sana, na atabudiwa na watu, kwakuwa wamekuwa wakimuabudu kupitia dini, hivyo ata akija haitobadir kitu.

, na huyu ndye atayaongoza mataifa yote yenye nguvu dunian kuishambulia taifa la watu weusi yaan mataifa yote ya kiafrika yenye asili watu weusi, na mipango hiyo haitofanikiwa maana afrika itakombolewa na Muumba wa kweli, na kuhusu alien hao hawapo na hawatowai kuwepo,

hao wanaowaaminisha uwepo wa alien ni kuwa wanaficha ukwel kuhusu mashetan, mapepo na majini, na haya ndyo yanapaswa kuitwa alien n sio hivyo viumbe vya story za hollywood.

Dunia haitokwisha sabbu ndyo makazi ya viumbe wa kimwil akiwepo mtu na wanyama,
 
Yani ni kama SCRIPT vile, ko Mungu akamuonesha Yohana jinsi adui atakavyokufa mwishoni mwa picha yeru hii ya MAISHA? πŸ˜‚πŸ˜‚
 
Yani ni kama SCRIPT vile, ko Mungu akamuonesha Yohana jinsi adui atakavyokufa mwishoni mwa picha yeru hii ya MAISHA? πŸ˜‚πŸ˜‚
Ndio hvyo et alioneshwa zaidi ya hayo na masharti juu
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…