Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
acha porojo bwana mkubwa aliyeyatabiri haya ni Sawa na yule aliyetabiri mvua masika wakati kaona mawingu!inasikitisha sana kuona watu wakifanya dhihaka kuhusu mambo haya..ila yote haya yalishatabiriwa kutokea
kama ilivokua ktk siku za nuhu ndivyo itakavyokua siku ya kuja kwake mwana wa adamu
View attachment 2013699
Hapana, atakuja mara ya tatu lakini kurudi ni mara ya pilifor the record, yesu alikuja Duniani akateswa mpaka akamuomba Mungu aichukue roho yake ili aende zake mbinguni na ikawa hivo, baada ya siku kadhaa akarudi Duniani (kufufuka) na baadaye akapaa tena
hivo basi,akirudi ni mara ya tatu (kama hata atarudi)
Well saidkuja kwa Yesu mara ya pili hakutakuwa kama unavyofikiri, Yesu akiwa huko angani kufumba na kufumbua atawanyakua kama sumaku wote walio watakatifu "kwa dakika hiyo tu", wataenda eneo huko mbinguni na watakaa kwa miaka 7. waliobaki huku duniani hasa ninyi mnaoendekeza ngono, hapa duniani mtaanza shuruba za mpinga kristo hizo 7 yrs. baada ya hapo ndio Yesu atashuka nak umwangamia mpinga kristo na wafuasi/jeshi lake lote.
mpinga kristo atakua nusu mtu na nusu agent wa shetani. yaani mashetani watazaa na wanadamu na inasemekana tayari ameshazaliwa, hivyo siku ya mwisho ipo karibu mno. nasubiri povu ili niandika zaidi. asante kwa mtoa mada.
Nimefurahi kwani najua unajua kubwa Yesu alikuwa Duniani katika Jinsi ya mwili. Ndugu yangu mpendwa, Yesu anarudi kulichukua kanisa katika Jioni ile. Niandae sasa, dunia isikuhade mkuu, inilisi anakudanganya na kukupotosha ila anajua na anaiogopa siku ile. Tubu sana na mrejee Bwana Yesu naye atakusamehe na kujisafisha uovu wako.Hizo ni stori za watu wa zamani ila kiuhalisia hakuna ukweli wowote yaan mtu afe na afufuke tena hakuna mtu mwenye nguvu ya kufa na kufufuka hakuna duniani huyo Yesu mwenyewe tunaona kuwa alikuwa muoga kweli wa kifo ilifika kipindi hakulala anenda kuomba ili asife kama anajua kuwa yeye aliletwa kwa ajili ya kukomboa watu kwanini alienda kuomba asife itapita muda wewe utakufa na wengineo watakufa na hakuna atakaye rudi mtasubiri sana hizo stori za biblia na quran ni za kujifariji pindi mnapokuwa na maumivu katika maisha au unapokuwa na matatizo
Brother una kiburi kweli kweli. Walikuwepo kama wewe ila wametoweka. Wewe ni tope tu mkuu, kiburi cha uzima kisikudanganye. Mungu ni kweli na Amin mkuu. Bei nenda taratibu, tuliza akili yako na tafakari kuhusu Mungu. Huu umwamba unaoonesha kwenye Keyboard ya simu yako hautakusaidia mkuu. Relaxacha porojo bwana mkubwa aliyeyatabiri haya ni Sawa na yule aliyetabiri mvua masika wakati kaona mawingu!
Kwanza Hata hicho kitabu ulicho kinukuu ni hekaya Kama hekaya nyingine tu Hata haistui!
hahahaha walikuwepo pia Watu Kama wewe Leo wapo wapi?Brother una kiburi kweli kweli. Walikuwepo kama wewe ila wametoweka. Wewe ni tope tu mkuu, kiburi cha uzima kisikudanganye. Mungu ni kweli na Amin mkuu. Bei nenda taratibu, tuliza akili yako na tafakari kuhusu Mungu. Huu umwamba unaoonesha kwenye Keyboard ya simu yako hautakusaidia mkuu. Relax
Haya hongera mkuu.hahahaha walikuwepo pia Watu Kama wewe Leo wapo wapi?
Unavyouliza Hivyo kwangu na kwako jihoji vivyo Hivyo maana hakuna matokeo chanya utakayopata kupitia hizo hekaya zenu,
Kingine kwangu Mimi sio nyuma ya keyboard tu naishi Maisha haya yenye uhalisia hua siigizi na wanaonijua ndugu na jamaa wanajua misimamo yangu hivyo
Halafu wewe usinitishie Kaa ukijua nilikua Mtu wa dini kukushinda na nayajua maandiko nje Ndani na theology nimesoma
Hivyo hunitishi nyau Kwa hizo Hadith zako za Mungu kamwe ulitaka challenge karibu ila usikimbie mjadala!
Hizo movie mnazoangaliaga muwe mnafanya upembuzi yakinifu.Kitabu cha ufunuo kinazungumza habari ya siku za mwisho ambavyo mataifa yatajikusanya kupigana na jeshi la malaika wa Mungu likiongozwa na Yesu.
Kwa maoni yangu ni kuwa binadamu watapambana na jeshi la Mungu si kwa sababu ni waovu bali kwa sababu watafikiri kuwa ujio wa pili ni uvamizi wa extraterrestrial beings. Wataona ni aliens wamevamia. Aliens invasion ndiyo kitu pekee kinachoweza kuwaunganisha binadamu wote kupigana pamoja.
jambo la ajabu unalotakiwa kufahamu kuanzia sasa ni kwamba, sio binadamu tu, bali hata mashetani, hawana uwezo wowote kupigana na Mungu, futa akilini mwako hilo.Kitabu cha ufunuo kinazungumza habari ya siku za mwisho ambavyo mataifa yatajikusanya kupigana na jeshi la malaika wa Mungu likiongozwa na Yesu.
Kwa maoni yangu ni kuwa binadamu watapambana na jeshi la Mungu si kwa sababu ni waovu bali kwa sababu watafikiri kuwa ujio wa pili ni uvamizi wa extraterrestrial beings. Wataona ni aliens wamevamia. Aliens invasion ndiyo kitu pekee kinachoweza kuwaunganisha binadamu wote kupigana pamoja.
1.parapanda itapigwa siku Yesu anarudi, waliokufa wakiwa wanamuamini Yesu watafufuka, walio hai na ni waumini wa Yesu wataungana na waliofufuka kwenda mbinguniKitabu cha ufunuo kinazungumza habari ya siku za mwisho ambavyo mataifa yatajikusanya kupigana na jeshi la malaika wa Mungu likiongozwa na Yesu.
Kwa maoni yangu ni kuwa binadamu watapambana na jeshi la Mungu si kwa sababu ni waovu bali kwa sababu watafikiri kuwa ujio wa pili ni uvamizi wa extraterrestrial beings. Wataona ni aliens wamevamia. Aliens invasion ndiyo kitu pekee kinachoweza kuwaunganisha binadamu wote kupigana pamoja.
Broo...😂😂😂😂Mjusi anasema. Binadamu hata kuhesabu tunakosea.
Niko nnje kidogo