Ujio wa pili wa Yesu na Alliens invasion

inasikitisha sana kuona watu wakifanya dhihaka kuhusu mambo haya..ila yote haya yalishatabiriwa kutokea

kama ilivokua ktk siku za nuhu ndivyo itakavyokua siku ya kuja kwake mwana wa adamu

 
inasikitisha sana kuona watu wakifanya dhihaka kuhusu mambo haya..ila yote haya yalishatabiriwa kutokea

kama ilivokua ktk siku za nuhu ndivyo itakavyokua siku ya kuja kwake mwana wa adamu

View attachment 2013699
acha porojo bwana mkubwa aliyeyatabiri haya ni Sawa na yule aliyetabiri mvua masika wakati kaona mawingu!

Kwanza Hata hicho kitabu ulicho kinukuu ni hekaya Kama hekaya nyingine tu Hata haistui!
 
for the record, yesu alikuja Duniani akateswa mpaka akamuomba Mungu aichukue roho yake ili aende zake mbinguni na ikawa hivo, baada ya siku kadhaa akarudi Duniani (kufufuka) na baadaye akapaa tena
hivo basi,akirudi ni mara ya tatu (kama hata atarudi)
Hapana, atakuja mara ya tatu lakini kurudi ni mara ya pili
 
Well said
 
Hizo ni stori za watu wa zamani ila kiuhalisia hakuna ukweli wowote yaan mtu afe na afufuke tena hakuna mtu mwenye nguvu ya kufa na kufufuka hakuna duniani huyo Yesu mwenyewe tunaona kuwa alikuwa muoga kweli wa kifo ilifika kipindi hakulala anenda kuomba ili asife kama anajua kuwa yeye aliletwa kwa ajili ya kukomboa watu kwanini alienda kuomba asife itapita muda wewe utakufa na wengineo watakufa na hakuna atakaye rudi mtasubiri sana hizo stori za biblia na quran ni za kujifariji pindi mnapokuwa na maumivu katika maisha au unapokuwa na matatizo
 
Nimefurahi kwani najua unajua kubwa Yesu alikuwa Duniani katika Jinsi ya mwili. Ndugu yangu mpendwa, Yesu anarudi kulichukua kanisa katika Jioni ile. Niandae sasa, dunia isikuhade mkuu, inilisi anakudanganya na kukupotosha ila anajua na anaiogopa siku ile. Tubu sana na mrejee Bwana Yesu naye atakusamehe na kujisafisha uovu wako.
 
acha porojo bwana mkubwa aliyeyatabiri haya ni Sawa na yule aliyetabiri mvua masika wakati kaona mawingu!

Kwanza Hata hicho kitabu ulicho kinukuu ni hekaya Kama hekaya nyingine tu Hata haistui!
Brother una kiburi kweli kweli. Walikuwepo kama wewe ila wametoweka. Wewe ni tope tu mkuu, kiburi cha uzima kisikudanganye. Mungu ni kweli na Amin mkuu. Bei nenda taratibu, tuliza akili yako na tafakari kuhusu Mungu. Huu umwamba unaoonesha kwenye Keyboard ya simu yako hautakusaidia mkuu. Relax
 
hahahaha walikuwepo pia Watu Kama wewe Leo wapo wapi?
Unavyouliza Hivyo kwangu na kwako jihoji vivyo Hivyo maana hakuna matokeo chanya utakayopata kupitia hizo hekaya zenu,
Kingine kwangu Mimi sio nyuma ya keyboard tu naishi Maisha haya yenye uhalisia hua siigizi na wanaonijua ndugu na jamaa wanajua misimamo yangu hivyo
Halafu wewe usinitishie Kaa ukijua nilikua Mtu wa dini kukushinda na nayajua maandiko nje Ndani na theology nimesoma
Hivyo hunitishi nyau Kwa hizo Hadith zako za Mungu kamwe ulitaka challenge karibu ila usikimbie mjadala!
 
Haya hongera mkuu.
 
Kuna watu mna kiburi cha uzima na hiki ndicho kitakacho wagharimu.
 
Hizo movie mnazoangaliaga muwe mnafanya upembuzi yakinifu.
 
jambo la ajabu unalotakiwa kufahamu kuanzia sasa ni kwamba, sio binadamu tu, bali hata mashetani, hawana uwezo wowote kupigana na Mungu, futa akilini mwako hilo.

pili, Yesu Kristo yu karibu kuja, atakapokuja kufumba na kufumbua wale waliokufa katika Kristo (wakiwa wameokoka na kuishi katika utakatifu) watafufuliwa kwanza then wataungana na watakatifu walioko duniani ambao bado wapo hai (waliookoka na kutembea katika utakatifu), kwa pamoja ghafla wataungana na kwenda kumlaki Yesu mawinguni. jiandae, okoka leo, haujui utakufa lini au Yesu atakuja lini, ila dalili zinaonyesha yupo karibu mno. Mungu awabariki.
 
1.parapanda itapigwa siku Yesu anarudi, waliokufa wakiwa wanamuamini Yesu watafufuka, walio hai na ni waumini wa Yesu wataungana na waliofufuka kwenda mbinguni
2.Waovu watakufa, hivyo kutakuwa hakuna mtu hai duniani kwa muda wa miaka buku 1000
3.baada ya miaka 1000 Yesu na wale walioenda mbinguni watarejea, wadhambi wote watafufuka na kuonyeshwa makosa yao nao watakiri kuwa hukumu za Mungu ni za kweli na haki
4.Shetani atawadanganya tena kwamba wanaweza kupigana na Yesu na wakamshinda
hivyo watajiandaa kwa vita ili kumshambulia Yesu na watakatifu
wakianza tu mashambulizi ndo watawashwa moto na kuteketea kabisa na kuwa majivu
Dunia itatakaswa na watakatifu tutarudi kuanza maisha upya kAMA Eden
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…