Pre GE2025 Ujio wa Rais Samia Suluhu Hassan: Hadi sasa sijaona dalili yoyote ya utashi wa kuwepo kwa maridhiano ya kisiasa nchini

Mijadala ya Uchaguzi Mkuu wa Tanzania 2025 (Kabla, wakati na baada)
Maridhiano ya nini mzee? Kwani tulikua na Vita. Rais Samia endeleza moto ule ule hakuna kumkaribisha mtu Ikulu kunywa Juice

Hata Mimi nashangaa sasa Maridhiano ya nini sasa kuna mahali hatukua na Maridhiano? Ni suala la muda kuamini kutakua na mabadiliko. Nachoamini kazi inaendelea tena Mama akaze uzi. Eeeh Mungu Linda Mama Huyu.
 
Maridhiano ya nini mzee? Kwani tulikua na Vita. Rais Samia endeleza moto ule ule hakuna kumkaribisha mtu Ikulu kunywa Juice
Jibu vizur usilete utashi wa vyama nyny nd mnaoleta migawanyiko ulikuw unauwezo wa kumjibu bdo mapema
 
Mkiwa na shida mnakimbilia kukopa kwa haohao mabeberu, ila vinjaa vyenu vikipungua mnakuja kuandika mashudu hapa.

Watanzania sijui tuna tatizo gani

Sasa kukopa hovyo unaona ni sifa? Ndo maana jembe alihamasisha tujitawale kifikra kwanza, halafu kiuchumi pia. Sema kuna mijamaa ya upande wa pili inaamini Africa ni kusaidiwa tu mpaka mwisho wa dahari.
Matumaini yangu Rais mpya awe na fikra za kuona Tanzania inao uwezo wa kuwa Taifa huru kifikra na kiuchumi kama ilivyokuwa kwa mwamba JPM.
 
Rubbish!
Mimi nilitegemea ujadili maendeleo ya sayansi na teknolojia, wewe unataka rais ahangaike na uimara wa vyama vya siasa! Tena unaona aibu tu, kinachokusumbua ni uimara wa CHADEMA. Watafute akina Mbowe waimarishe chama, achana na Rais ukitegemea msiba ukupe nafasi ya kusema na taifa. NOOO! tujikite kwenye mambo makubwa ya kitaifa badala ya mambo mepesi na yasiyo na maana kiasi hiki.
 
Wadhalimu wote dhidi ya upinzani washaanza kupukutika mmoja baada ya mwengine. Tunawaombea msamaha kwa Mungu awasitiri.
 
Ikulu sio mali ya CCM! Ikulu ni mali ya watanzania.
 
Kuna ile clip anawaponda sjui umeiona.ya kipind kilee.kwahyo nyie kina lisu sahauni..si jeuri nyie
 
Zikeni kwanza jamn others will/shall be coming tommorow,pls my siblings
 
Angalia Magufuli anavyoagwa Tanzania hakuna mtanziko wa ķisiasa bara wala visiwani utajijua mleta mada
 
Hiyo namba mbili hapo..., hawa bado ni watu wa Magufuli wanaoendesha 'show' yake, kwa hiyo vuta subira mkuu.

Ni mapema mno, tena saaaana kuanza ulalamishi mara hii.

Kama ulivyoeleza vizuri, aliyeondoka alisambaza sumu mbaya sana ndani ya jamii, itahitaji muda kuififisha sumu hiyo.

Rais mpya hawezi mara moja hii kurekebisha chochote, hata hizo sheria kandamizi itachukua muda.

Ni bora kumtia moyo ayape nafasi hayo unayomsihi ayashughulikie ndani ya muda wa utawala wake kuliko kuanza na yeye kumshupaza shingo kwa kushindwa kuwa na subira.
 
Acha uongo wanaojiita wapinzani nchi hii hawafikia aslimia tano
 
Mbona sioni hata moja la maridhiano ulilolisema. Kilicholeteleza msitambuliwe ni pale alipotambuliwa mara ya kwanza au nisema Mbowe alipozungumza mara ya kwanza kuhusu kifo cha raisi aliingiza siasa. Siasa za misibani ni za Kenyas, sisi huku tuna tabia tofauti. Mfariji mwenzako msiba na mata viikisha ndiyo turejee kwenye siasa. Sasa siku ile Mbowe anatoa machozi ya kiasiasa kuliko ya kimsiba, ikaonekana akipewa nafasi anaweza kutafuta kukamatwa msibani kwa kusema hovyo, kuepusha shari hawakumpa nafasi.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…