Pre GE2025 Ujio wa Rais Samia Suluhu Hassan: Hadi sasa sijaona dalili yoyote ya utashi wa kuwepo kwa maridhiano ya kisiasa nchini

Mijadala ya Uchaguzi Mkuu wa Tanzania 2025 (Kabla, wakati na baada)
Zimwi la JPM linakusumbua mkuu..nilidhani umeandika la maana ila hamna kitu bali chuki..
 
Lisu ndiyo kinara wa vibaraka. Na sasa anapokea vijisenti vya kununua chakula vitakuja mtokea puani kama yule makamu wa raisi wa Zimbabwe aliyekopeshwa silaha na Urussi. Wakati Mugabe anapigana yeye alikuwa amezificha silaha, akingoja Mugabe apigane, adhoofike, na mwishoni awafwagie wazungu na Mugabe pia achukuwe nchi. Akishachukuwa nchi atafute njia ya kuwalipa Warussi. Mugabe alikuwa mjanja, alipoingia ZimbABWE WAKATI HUO rHODESIA AKAFUNGA MIPAKA YOTE NA LILE JESHI LA MWENZAKE LIKASHINDWA KUINGIA. wALIKWARUZANA MPAKA MWENZAKE AKAFARIKI. wARUSSI MPAKA LEO HAWAJALIPWA KWA SABABU mUGABE ALIKATATAA INTERGRATION YA MAJESHI YA KUPIGANIA UHURU MAANA JESHI LA MWENZAKE LILIKUWA LINAFUTA UHALALI HUKU HALIKUPIGANA. (samahani kwa kupiga kelele..herufi kubwa..haikuwa nia na nimeandika mengi siwezi kurudia tena)
 
Suala la stampede mama anafichwa na kudanganywa eti ni majeruhi wachache tuu. Akina Mambojuzi ni watu hatari sana
Wewe si umeishasema inatosha. Kwani stampede imetengenezwa na serkali?
 
Halafu tukisema kuna chuki katika taifa hili mkatae?? Chuki huondoa haki.

Winner takes all, zero sum game havikuwahi kuwa sawa katika mahusiano ya binadamu!
Kwenye ilani na katiba ya CHADEMA kuna maridhiano? Au mnataka kuvuna msichopanda!
 
Kumbe wewe Mwalimu M -MBabe ndio ulifanya kummotivate bwana mdogo anayejiita KHeri wa UVCCM kuomba msamaha?!?

Nae kaingia Mzima Mzima , crazy!

Kheri James umeingia mtegoni kipuuzi!!!
 
Kama aliyepita aliwapiga kwa fimbo, huyu atawapa kipigo cha Nge, hamna adabu nyie. Huyo ndo raisi wa JMT kam ulkuwa hujui, jpm alikuwa nafuu. Usimchagulie maneno ya kuongea over.
Watu wenye haraka haraka kama zako huwa hawafanyi lolote la maana katika kila jambo wanalofanya maishani; hata pale jioni jioni, usiku.
 
Unaumwa si bure
Wewe hakukuhonga wilaya, ila nasikia alikuwa anajitayarisha kukuhonga mkoa wa Biharamulo, maana wewe ndiyo ulikuwa mchepuko wake mkuu.
 
Inchi imefawanyika wapi? siasa zingine bwan! wananchi wanataka maendeleo wamechoshwa na siasa maneno matupu, hivi mlichokiona kwenye msiba wa JPM hamna hata aibu kusema nchi imegawanyika. Kama mtaendelea na siasa hizi za uwanaharaki kwa kweli mtasahaulika maana JPM alikuja kuweka msingi mpya wa utawala wa kizalendo nchi hii, na jana tumeshuhudia mama yetu Samia akituwekea VP jembe kabisa, mtu muhadilifu na mzalendo wa kweli ambao wengi wetu hatukutarajia tulidhani mama angeturudisha nyuma kututeulia watu waleee.
 
Nafikiri bado anausoma mchezo,Ila kitu cha uhakika anajua drama iliyochezeka katika kipindi cha mwezi mmoja huu hadi watu kufurahia mauti ya binadamu mwenzao,chanzo cha chuki na uhasama huu anakijua na hata taka kuendelea kukanyaga tope hili. Tumpe muda anaweza akaliponya Taifa kwani ameshaujua ugonjwa na chanzo chake.
 
Maridhiano ya nini mzee? Kwani tulikua na Vita. Rais Samia endeleza moto ule ule hakuna kumkaribisha mtu Ikulu kunywa Juice
Viumbe kama wewe ndiyo mlisababidha JPM achukiwe hadi kufunika yale mazuri aliyolifanyia Taifa hili,Mama hawezi akaingia kwenye mtego huu wa kishenzi.
 
Chuki? Yani wajinga wachache huko Twitter wakimchukia unataka kusema watu?
 

Mtu hata Wiki Mbili tu Ofisini hana tayari leo mnataka ayafanye kwa haraka yaliyocheleweshwa kwa miaka Sita ( 6 ) iliyopita. Huu ni Upuuzi ( Uhayawani ) tena Usiovumilika kabisa.

Tumwacheni atulie Kwanza Ofisini, ajipange na ikimpendeza atayafanya na hata ikitokea hafanyi tusimlaumu vile vile kwani la Muhimu Tanzania siyo haya tu mnayoyataka au kuyalazimisha nyie.
 

Tuache kufanya mambo ya msingi tuanze mambo ya maridhiano kweli? Maridhiano yatakuja uchaguzi ukikaribia now ni muda wa kaz kazi
 
Katika Africa masikini hii,Tanzania masikini hii,mnatamani vyama vingi vinavyo weza kusaidia nini? Tuna jambo moja tu la kufanya kazi kwa bidii

Na ningekua ni mimi,siyo kuongea tu. Hata huku kwenye mitandao ya kijamii ningefunga

Maana maneno maneno yanaleta uvivu tu wa kufikiri na kupoteza muda wa kujadiri mambo ya msingi

Mitaani unakuta watu wamejaa hawafanyi kazi wanaongea siasa na hawaijui,ukiwauliza wakueleze kwa kina hawana wanacho jua isipokua kurukaruka tu...wanakwambia eti we hujui uko nchi gani?au uliza utaambiwa!!! Mwambie nieleze wewe unachojua,anaishia kukwambia hizi ndiyo akili za CCM,unamwambia mimi sina chama ila nataka kujua kama ujuavyo,anaishia kuondoka au kukutukana.

Ujinga ni mwingi sana ktk nchi hii,yamkini tuje mitandaoni au mitaani tushauriane nini tufanye kiasi twende nchi nyingine kuwapa bidhaa au kufanya kazi fulani ambazo nchi hizo hazijawaza kufanya kadhaa kadhaa na kisha pesa turudishe kujenga nchi yetu,au tushirikiane na nchi fulani jirani kuweka amani na tufanye kazi kwa pamoja tukipata chochote kugawane na tujenge Afrika yetu.

Lakini ni mboyoyo tu mitandaoni na mitaani kwa vitu visivyo saidia isipokua kujenga chuki,juzi kwenye msiba nimeona watu wa kanda hii kuongea tofauti na kanda nyingine kisa tu Ukanda,Ukabila na vyama vya siasa,mambo yasiyo isaidia Afrika kupiga hatua hata kidogo
 
Mama akifuata Ujinga wa Awamu ya Wachunga Ng'ombe nae ataishia kuugua ugonjwa wa Roho

Ugonjwa wa Roho unasababishwa na Roho mbaya
Ni akili za kipumbavu sana hizi unazo sema wewe
 
Chief, naomba ruhusa nitafsiri hii picture!

If you all won’t mind!

[emoji846]
Awamu ya tano hiyo, wakati wa Mzee wa Msoga, wapinzani walikuwa "wanakinukisha" wanatoka bungeni....wanatishia kuandamana! Kisha wanaitwa Ikulu ili watoe kero zao, hiyo picha ni wapinzani wa enzi hizo wakitoka Ikulu ya Magogoni!
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…