Replica
JF-Expert Member
- Aug 28, 2017
- 1,681
- 8,887
Taarifa ya TRC imesema kwasasa treni ya mwendokasi inabeba wastani wa abiria 4000 kwa siku, hizi ni sawa na trip 70 za mabasi yenye uwezo wa kubeba abiria 57 kwa wakati mmoja.
Kituo kinachofata kitakuwa Dodoma pale mambo yatakapokamilika. Abood na Shabiby nadhani watakuwa waathirika wakuu kwenye hii saga.
Kiuchumi ina-save muda wa wasafiri, usalama ukizingatia usafiri wa reli ni salama zaidi kuliko barabara, inapunguza uchakavu wa barabara hasa ikianza kusafirisha mizigo. Upande wa pili itafinya sekta binafsi ya usafirishaji kwa wamiliki na wote wanaofaidika na mzunguko huo kama wakata tiketi, wahudumu, madalali, madereva na wamiliki wake wa malori na mabasi.
Hofu yangu ni kubakisha standard na sabotage kutoka kwa wafanyabiashara wa mabasi na malori, TRC watatoboa kweli?