Ujio wa SGR tishio kwa mabasi? Inabeba abiria 4000 sawa na trip 70 za mabasi

Taarifa ya TRC imesema kwasasa treni ya mwendokasi inabeba wastani wa abiria 4000 kwa siku, hizi ni sawa na trip 70 za mabasi yenye uwezo wa kubeba abiria 57 kwa wakati mmoja.

Kituo kinachofata kitakuwa Dodoma pale mambo yatakapokamilika. Abood na Shabiby nadhani watakuwa waathirika wakuu kwenye hii saga.

Kiuchumi ina-save muda wa wasafiri, usalama ukizingatia usafiri wa reli ni salama zaidi kuliko barabara, inapunguza uchakavu wa barabara hasa ikianza kusafirisha mizigo. Upande wa pili itafinya sekta binafsi ya usafirishaji kwa wamiliki na wote wanaofaidika na mzunguko huo kama wakata tiketi, wahudumu na madereva.

Hofu yangu ni kubakisha standard na sabotage kutoka kwa wafanyabiashara wa mabasi na malori, TRC watatoboa kweli?
Hofu ya nini?
 
Binafsi nahisi itaongeza usafiri wa mabasi,yatakuwa efficient sana sasa hivi na watayaendesha kisasa, ni kubadili namna walivyojipanga sasa.

Kila tatizo lina fursa kubwa ndani yake.

Hata biashara ya mizigo kwa matruck naona itaongeeka, siyo mizigo yote inaishia inaposhusha na kupakia reni, hali kadhalika kwa abiria.
 
Dunaini kote usafiri wa kila aina upo na wote wanapata riziki zao
Huku nilipo mpaka meli zipo
Ukitaka ndege pia kwenda nchi jirani ni rahisi kuliko kwenda mji mwingine ndani ya nchi
Wapo watakaopanda bus na wapo wa train na hata ndege
Acha na mimi nianzishe route za boat kwenye mito
Maana naona mito yetu ni kwa ajili ya mamba na viboko tu
 
Back
Top Bottom