Ujio wa SGR tishio kwa mabasi? Inabeba abiria 4000 sawa na trip 70 za mabasi

Ujio wa SGR tishio kwa mabasi? Inabeba abiria 4000 sawa na trip 70 za mabasi

From 31,000 to 78,000 Ile express Dom to Dar.
class gani hiyo maana economy ni 40k dar dom express.


sema hiyo comment ya huyu jamaa

Mbona tayari mambo yameishaanza mdogo mdogo.
Baada ya kuona watu wengi wanaotumia treni ya asubuhi na jioni kiwepo mimi mwenyewe kutoka Dar to Moro , na kuona inawasaidia sana watu tayari wameamua kuibadirisha nauli zake kuwa 20,000/= na kudai hiyo ni tran ya Express.
Na ile ambayo haina abiria wa kutosha ndio inaondoka saa tatu.
Na kuna tetesu kuwa hizo bei zitabadilika muda si mrefu na kuongezwa.
kwamba wameforce express kupandisha bei kimkakati
 
Back
Top Bottom