Ujio wa SGR tishio kwa mabasi? Inabeba abiria 4000 sawa na trip 70 za mabasi

Ujio wa SGR tishio kwa mabasi? Inabeba abiria 4000 sawa na trip 70 za mabasi

Aliijenga Kwa tabu sababu hakuwa anapewa hela za bwelelee kama bi. tozo! Imagine wazungu wangekuwa wanamjazia matrillion kila mwezi kama wafanyavyo Kwa Samia hali ingekuwaje.
Hata hiyo 702km alijenga kwa pesa za mkopo,Ila baada ya kuwa na utawala wa hovyo ndiyo mabeberu wakaanza kumbania mikopo
 
Hoja kama hizi ndo zitapelekea SGR kukwama kwa sababu wafanyabiashara wa mabasi watahisi inachukua wateja.
Ili nchi iendelee kuna baadhi ya hofu kama alizozileta mleta mada zisipewe nafasi. Train inakuja kwa lengo la kuongeza wigo wa usafiri na si kuathiri aina fulani ya usafiri.
Nchi zilizoendelea wanatumia usafiri wa mabasi kwa safari ndefu, train na ndege lakini hakuna anaelalamika kwamba anachukuliwa wasafiri wake.

Miji kama New York kuna mabasi ya safari za mitaa(daladala) na train za chini ya ardhi, na za juu ya ardhi ambazo zinafanya kazi ya kama daladala lakini hakuna hizo hofu.

Faida ni kwamba mtumiaji anakuwa na wigo mpana wa kuchagua aina ya usafiri kulingana na anakoenda na muda.
Tuache hizo hifu ndo uchawi wenyewe wa kuanza kuharibu miundo mbinu ya Reli.
Wafanyabiashara washahujumu reli huko nyuma bila hata thread.. Hata ile ya Moshi inasemekana inasua sua kutokana na wafanyabiashara..
 
Taarifa ya TRC imesema kwasasa treni ya mwendokasi inabeba wastani wa abiria 4000 kwa siku, hizi ni sawa na trip 70 za mabasi yenye uwezo wa kubeba abiria 57 kwa wakati mmoja.

Kituo kinachofata kitakuwa Dodoma pale mambo yatakapokamilika. Abood na Shabiby nadhani watakuwa waathirika wakuu kwenye hii saga.

Kiuchumi ina-save muda wa wasafiri, usalama ukizingatia usafiri wa reli ni salama zaidi kuliko barabara, inapunguza uchakavu wa barabara hasa ikianza kusafirisha mizigo. Upande wa pili itafinya sekta binafsi ya usafirishaji kwa wamiliki na wote wanaofaidika na mzunguko huo kama wakata tiketi, wahudumu, madalali, madereva na wamiliki wake wa malori na mabasi.

Hofu yangu ni kubakisha standard na sabotage kutoka kwa wafanyabiashara wa mabasi na malori, TRC watatoboa kweli?
Nadhani aboud aliliona hilo mapema, na ndio maana akaamua kutafuta routes nyingine mapema... Na si kutegemea Dar - Moro pekee
 
Taarifa ya TRC imesema kwasasa treni ya mwendokasi inabeba wastani wa abiria 4000 kwa siku, hizi ni sawa na trip 70 za mabasi yenye uwezo wa kubeba abiria 57 kwa wakati mmoja.

Kituo kinachofata kitakuwa Dodoma pale mambo yatakapokamilika. Abood na Shabiby nadhani watakuwa waathirika wakuu kwenye hii saga.

Kiuchumi ina-save muda wa wasafiri, usalama ukizingatia usafiri wa reli ni salama zaidi kuliko barabara, inapunguza uchakavu wa barabara hasa ikianza kusafirisha mizigo. Upande wa pili itafinya sekta binafsi ya usafirishaji kwa wamiliki na wote wanaofaidika na mzunguko huo kama wakata tiketi, wahudumu, madalali, madereva na wamiliki wake wa malori na mabasi.

Hofu yangu ni kubakisha standard na sabotage kutoka kwa wafanyabiashara wa mabasi na malori, TRC watatoboa kweli?
Nauli ndio itafanya mabasi yaendelee kuwepo. Badala ya kuwa cheap ni expensive kuliko basi hivyo watu watakomaa na basi tu maana kuna mtu hata 10,000 ni nyingi kwake plus hupandi na sandarusi.
 
Maendeleo ya Nchi ni kuwa na huduma tofauti tofauti kwenye mazingira hayo hayo na wala usitegemee sijui bus au wasafirishaji wengine watakosa watu hicho kitu hakipo Nchi zilizoendelea na zinazoendelea hivyo vitu vyote vinakuwepo na wote wanafanya kazi kwa kupata watu .
 
Ndio maana nimeweka wahanga wakuu mkuu, Shabiby na Abood.. Ni njia yao kuu ya mapato. Though wengine wataathirika, basi zitazokosa wateja Dar-Moro-Dom zitaenda kubanana kwenye njia mpya..
soma komenti yako miezi 12 ijayo utaona maajabu.
 
Badala ya kuwaza kuhujumu treni wafanyabiashara wa mabasi wawaze kuboresha huduma zao ili kuvutia wateja wao.

Utahujumu mpaka lini, kila jambo lina mwanzo na mwisho wake.

Itafika mahali hujuma zitakoma ila biashara lazima iendelee, treni pekee haitotosha kubeba watu wote na sio kila abiria ataopt kupanda treni, wapo watao opt mabasi hivyo wenye mabasi wajipange tu.
 
Back
Top Bottom