Ujio wa SGR tishio kwa mabasi? Inabeba abiria 4000 sawa na trip 70 za mabasi

Taarifa ya TRC imesema kwasasa treni ya mwendokasi inabeba wastani wa abiria 4000 kwa siku, hizi ni sawa na trip 70 za mabasi yenye uwezo wa kubeba abiria 57 kwa wakati mmoja.

Kituo kinachofata kitakuwa Dodoma pale mambo yatakapokamilika. Abood na Shabiby nadhani watakuwa waathirika wakuu kwenye hii saga.

Kiuchumi ina-save muda wa wasafiri, usalama ukizingatia usafiri wa reli ni salama zaidi kuliko barabara, inapunguza uchakavu wa barabara hasa ikianza kusafirisha mizigo. Upande wa pili itafinya sekta binafsi ya usafirishaji kwa wamiliki na wote wanaofaidika na mzunguko huo kama wakata tiketi, wahudumu, madalali, madereva na wamiliki wake wa malori na mabasi.

Hofu yangu ni kubakisha standard na sabotage kutoka kwa wafanyabiashara wa mabasi na malori, TRC watatoboa kweli?
Usijali mkuu.Kama Shabiby kasema basi la kwanza alinunua ana miaka 19, kwa hiyo anajua namna ya kujinasua, plan B ya kuepuka hasara anazo.Muone Sumry anauza mahindi hadi nchi jirani.Tumpe muda
 
Ndio maana nimeweka wahanga wakuu mkuu, Shabiby na Abood.. Ni njia yao kuu ya mapato. Though wengine wataathirika, basi zitazokosa wateja Dar-Moro-Dom zitaenda kubanana kwenye njia mpya..
Hakuna kitu kama hicho vipi wanaoshukia njiani watapanda treni? Pana gairo,kibaigwa,dumila hawa wataendelea kupanda mabus pili sio kila mmoja anamudu nauli ya treni..
Jifunze ujio wa BRT mwendokasi mbona daladala za kimara hazijapaki au badili ruti
 
Na mimi sijasema zitakufa lakini kutatokea wahanga ambao watayumba.. Kutapungua wateja ambao waliwazoea mwanzo. Kama Abood alizoea trip 150 kwa siku mfano, 50 zinakatika na ukuaji wa biashara pia unasinyaa kwasababu wameongeza mshindani. Kule Tanga baada ya ujio wa Ratco, Raha Leo kaporwa nafasi yake ya ufalme etc

Kwa mwendokasi, ruti za mjini kupitia Morogoro road zote zimekufa baada ya BRT..
 
Hakunaga riziki inayodumu milele ukiona unapata usiweke godoro ukiamini utapata kila siku so inatakiwa uwe na vyanzo vipya daily.
Raha leo kapotea baada ya mmiliki wake kufa.
 
Taarifa ya TRC imesema kwasasa treni ya mwendokasi inabeba wastani wa abiria 4000 kwa siku, hizi ni sawa na trip 70 za mabasi yenye uwezo wa kubeba abiria 57 kwa wakati mmoja.

Kituo kinachofata kitakuwa Dodoma pale mambo yatakapokamilika. Abood na Shabiby nadhani watakuwa waathirika wakuu kwenye hii saga.

Kiuchumi ina-save muda wa wasafiri, usalama ukizingatia usafiri wa reli ni salama zaidi kuliko barabara, inapunguza uchakavu wa barabara hasa ikianza kusafirisha mizigo. Upande wa pili itafinya sekta binafsi ya usafirishaji kwa wamiliki na wote wanaofaidika na mzunguko huo kama wakata tiketi, wahudumu, madalali, madereva na wamiliki wake wa malori na mabasi.

Hofu yangu ni kubakisha standard na sabotage kutoka kwa wafanyabiashara wa mabasi na malori, TRC watatoboa kweli?
Ww hujui ccm wewe. Kwani wakiamua kuchelewesha safari mpka myachukie mtawafanya nn au waseme kuna ukarabati tuko off duty kwa wiki kadhaa.. mtawafanyaje? Itakufa km mwendo kasi. Wenye mabasi ni tycoons.time will tell.
 
Ndio maana nimeweka wahanga wakuu mkuu, Shabiby na Abood.. Ni njia yao kuu ya mapato. Though wengine wataathirika, basi zitazokosa wateja Dar-Moro-Dom zitaenda kubanana kwenye njia mpya..
Hao Wana ma lorry ya mizigo ya Transit. Hizo ndio biashara za hela sio kubeba abiria. Hawawezi shtuka SABABU route zingine ziko bomba tu.
 
Taarifa ya TRC imesema kwasasa treni ya mwendokasi inabeba wastani wa abiria 4000 kwa siku, hizi ni sawa na trip 70 za mabasi yenye uwezo wa kubeba abiria 57 kwa wakati mmoja.

Kituo kinachofata kitakuwa Dodoma pale mambo yatakapokamilika. Abood na Shabiby nadhani watakuwa waathirika wakuu kwenye hii saga.

Kiuchumi ina-save muda wa wasafiri, usalama ukizingatia usafiri wa reli ni salama zaidi kuliko barabara, inapunguza uchakavu wa barabara hasa ikianza kusafirisha mizigo. Upande wa pili itafinya sekta binafsi ya usafirishaji kwa wamiliki na wote wanaofaidika na mzunguko huo kama wakata tiketi, wahudumu, madalali, madereva na wamiliki wake wa malori na mabasi.

Hofu yangu ni kubakisha standard na sabotage kutoka kwa wafanyabiashara wa mabasi na malori, TRC watatoboa kweli?
Kazi nzuri. Waiboreshe na ile reli ya Dsm-Moshi-Arusha wampe changamoto yule Mla Punda kuondoa Monopoly
 
Alijenga sgr 702km kwa miaka mitano,bi ushungi kajenga zaidi ya 1500km miaka mitatu
Aliijenga Kwa tabu sababu hakuwa anapewa hela za bwelelee kama bi. tozo! Imagine wazungu wangekuwa wanamjazia matrillion kila mwezi kama wafanyavyo Kwa Samia hali ingekuwaje.
 
Taarifa ya TRC imesema kwasasa treni ya mwendokasi inabeba wastani wa abiria 4000 kwa siku, hizi ni sawa na trip 70 za mabasi yenye uwezo wa kubeba abiria 57 kwa wakati mmoja.

Kituo kinachofata kitakuwa Dodoma pale mambo yatakapokamilika. Abood na Shabiby nadhani watakuwa waathirika wakuu kwenye hii saga.

Kiuchumi ina-save muda wa wasafiri, usalama ukizingatia usafiri wa reli ni salama zaidi kuliko barabara, inapunguza uchakavu wa barabara hasa ikianza kusafirisha mizigo. Upande wa pili itafinya sekta binafsi ya usafirishaji kwa wamiliki na wote wanaofaidika na mzunguko huo kama wakata tiketi, wahudumu, madalali, madereva na wamiliki wake wa malori na mabasi.

Hofu yangu ni kubakisha standard na sabotage kutoka kwa wafanyabiashara wa mabasi na malori, TRC watatoboa kweli?
jibu hapa ni serikali imara tu,tajiri hawezi kuwa na ubavu wa kupambana na serikali hasa ikiwa imara.
 
Back
Top Bottom