Ujio wa Tundu Lissu na matokeo ya ajabu

Kama ni kweli, na yeye ajue hayuko salama.!!!!!
 
Binafsi nimesoma ulichoandika sijaona hoja ya msingi
 
Binafsi nimesoma ulichoandika sijaona hoja ya msingi
Poa, kutokuona kwako hoja ya msingi hakumaanishi kwamba nilicho kiandika si hoja ya msingi, mpaka utakapo thibtisha hilo, ndiyo maana hata mwenzako ameshindwa kufanya hivyo, kadhalika na wewe nikikuomba uthibitishe hilo najua hutaweza.

Ahsante
 
Mkuu umemaliza kila kitu. Na kale kendawazimu kangekuwa bado ofisini ungesikia marufuku nyiiingi za mapokezi.
 
Poa, kutokuona kwako hoja ya msingi hakumaanishi kwamba nilicho kiandika si hoja ya msingi, mpaka utakapo thibtisha hilo, ndiyo maana hata mwenzako ameshindwa kufanya hivyo, kadhalika na wewe nikikuomba uthibitishe hilo najua hutaweza.

Ahsante
Hakuna hoja uliyojenga, unajaza maneno tu ya kujifariji, na wewe huwezi kuthibitisha kwamba Mimi sina hoja,
 
Kwa hio hukusikia akitajwa kuwepo dodoma ku-coordinate tukio???
Nyie watu nawaomba muendelee kuunga mkono juhudi hata baada ya jamaa yenu kuondoka pale nyumba kuu.
 
Hiyo ndio lugha ya sisiem
 
Mkubwa kuna wakati huwa acc yako anachangia robot maana unaenda kinyume na kanuni za wasiojulikana

Kumbe wale wajumbe waliokunyima kura walikitendea haki kabisa maana huko bungeni ungeenda kuwakilisha ujinga 99.99%
 
Hua unatema point sana mzee nakukubali sana kwa hoja zako hapa jukwaani
 

Giza halijawahi shinda nuru, na kamwe haitokaa itokee.

Likitamkwa limetamkwa, huwa halirudi bure. Lissu yupo, wengi watapita kwa maumivu makubwa na majuto ya matendo yao, Lissu atakuwa anakula bata tu.

CCM ndicho chama changu, fitina kwangu ni mwiko nitasema kweli daima.
 
Kumbuka watuhumiwa walikuwa Lissu na dereva wake! Polisi walikwishasema wanamsubiri Lissu arudi wamkamate akatoe maelezo juu ya shambulio lake!
Ramli chonganishi haifai.
 
Kipindi cha nyuma nilikua nakuchukulia kama mtu muelewa kumbe hobela hobela tu
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…