Ujio wa Tundu Lissu na matokeo ya ajabu

Ujio wa Tundu Lissu na matokeo ya ajabu

Acha upoyoyo, toa mfano wa rais mmoja aliyefanya hivyo! Ukiitwa utoe ushahidi wa kuhusika kwa Makonda utatoa ! Ujinga na chuki za kipumbavu ni vya hivyo Sana!
Kama aliweza kuvamia clouds na ushahidi upo na hakuna hatua zozote zilizochukuliwa dhidi yake we huo ushahidi wa bashite kuongoza wahuni kumpiga risasi Lissu ukioneshwa utakusaidia nini?

Ndorobo ww
 
Tafute ushahidi mwingine, huo ulioleta upo nje ya mantiki ndugu! Ulimuona wapi akimmiminia blanko TL?
 
Mkuu Mshana, hii haijakaa vizuri kwasababu kwenye shambulio la Lissu, ukiondoa uzushi wa mitaani na ramli chonganishi, hakuna mtuhumiwa yoyote rasmi, kufuatia shambulio hilo kufanywa na watu wasiojulikana, hivyo kitendo cha wewe kusema kuna mtuhumiwa, huku sheria zetu ziko wazi kabisa, kukitokea tukio lolote la jinai, kama kuna mtu yoyote mwenye taarifa zozote za mhusika au wahusika wa tukio hilo, anapaswa kuripoti kunakohusika na sio kutegenea uzushi wa mitaani na mitandaoni, vinginevyo na mada yako hii ni ramli chonganishi!

Tuacheni Ramli Chonganishi: Tusihukumu, Tusije Tukahukumiwa!. "Karma Ndio Pekee Hutoa Hukumu ya Haki Hapa Duniani!

P
We jamaa punguza unafiki Basi .

Kumbuka siku zinahesabika ona mkapa kalala na fahari na utajiri wake wote .

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Hayajakukuta ww
Mkuu Mshana, hii haijakaa vizuri kwasababu kwenye shambulio la Lissu, ukiondoa uzushi wa mitaani na ramli chonganishi, hakuna mtuhumiwa yoyote rasmi, kufuatia shambulio hilo kufanywa na watu wasiojulikana, hivyo kitendo cha wewe kusema kuna mtuhumiwa, huku sheria zetu ziko wazi kabisa, kukitokea tukio lolote la jinai, kama kuna mtu yoyote mwenye taarifa zozote za mhusika au wahusika wa tukio hilo, anapaswa kuripoti kunakohusika na sio kutegenea uzushi wa mitaani na mitandaoni, vinginevyo na mada yako hii ni ramli chonganishi!

Tuacheni Ramli Chonganishi: Tusihukumu, Tusije Tukahukumiwa!. "Karma Ndio Pekee Hutoa Hukumu ya Haki Hapa Duniani!

P
 
P nimelitumia hilo neno kwa umakini wa hali ya juu na tahadhari zote. Na sijachukua uzushi wa mitaani bali yale yaliyonenwa na mhanga mara kadha..by the way ni MTUHUMUWA sijasema MHUSIKA
Hata Mwenyekiti wetu nae kuna minong'ono kwamba ni MTUHUMIWA.
 
Kama aliweza kuvamia clouds na ushahidi upo na hakuna hatua zozote zilizochukuliwa dhidi yake we huo ushahidi wa bashite kuongoza wahuni kumpiga risasi Lissu ukioneshwa utakusaidia nini?

Ndorobo ww
[emoji23][emoji23][emoji1787]

Jr[emoji769]
 
Mkuu Mshana, hii haijakaa vizuri kwasababu kwenye shambulio la Lissu, ukiondoa uzushi wa mitaani na ramli chonganishi, hakuna mtuhumiwa yoyote rasmi, kufuatia shambulio hilo kufanywa na watu wasiojulikana, hivyo kitendo cha wewe kusema kuna mtuhumiwa, huku sheria zetu ziko wazi kabisa, kukitokea tukio lolote la jinai, kama kuna mtu yoyote mwenye taarifa zozote za mhusika au wahusika wa tukio hilo, anapaswa kuripoti kunakohusika na sio kutegenea uzushi wa mitaani na mitandaoni, vinginevyo na mada yako hii ni ramli chonganishi!

Tuacheni Ramli Chonganishi: Tusihukumu, Tusije Tukahukumiwa!. "Karma Ndio Pekee Hutoa Hukumu ya Haki Hapa Duniani!

P
Uchunguzi hadi leo unasubiri nini?acha porojo zako subiri teuzi umekuwa mtu nisiyemtarajia katika mawazo huru au tumbo linasokota sana mpaka unakoswa uvumlivu hapana aisee
 
Mtani sisi wa kitengo tutakosaje kwa mfano? Huoni nilitoweka hewani kwa muda?

Jr[emoji769]
tuonane mjini mkuu, nimekuja kutoka visiwani, tupate bia mbili tatu kusherehekea kurudi kwa THE GREAT, pia tuchome na nyama nipo na wadau kutoka Chakechake, Wete na Micheweni, wamekuja kuhakikisha kama kweli lofa kafa
 
Mkuu Mshana, hii haijakaa vizuri kwasababu kwenye shambulio la Lissu, ukiondoa uzushi wa mitaani na ramli chonganishi, hakuna mtuhumiwa yoyote rasmi, kufuatia shambulio hilo kufanywa na watu wasiojulikana, hivyo kitendo cha wewe kusema kuna mtuhumiwa, huku sheria zetu ziko wazi kabisa, kukitokea tukio lolote la jinai, kama kuna mtu yoyote mwenye taarifa zozote za mhusika au wahusika wa tukio hilo, anapaswa kuripoti kunakohusika na sio kutegenea uzushi wa mitaani na mitandaoni, vinginevyo na mada yako hii ni ramli chonganishi!

Tuacheni Ramli Chonganishi: Tusihukumu, Tusije Tukahukumiwa!. "Karma Ndio Pekee Hutoa Hukumu ya Haki Hapa Duniani!

P
Mkuu, hii ya " hakuna mtuhumumiwa yoyote aliekamatwa", kwanini tusigeuze shillingi ikawa ndio ushahidi tosha kama serikali na vyombo vya usalama ndio watuhumiwa wakubwa na hawapotezi time kuchunguza kwa sababu wanajijua ni wao.
 
Wahuni hao mbona mpaka leo hawajakamatwa na kufunguliwa mashtaka? Kwanza kwa kuondoa walinzi eneo nyeti, pia kwa kuvamia eneo nyeti na kung'oa mfumo wa kamera za ulinzi lakini pia kumshambulia "mtu" ambaye hakuwa na silaha!!?
Kuwa na akiliccm kunahitaji moyo kama wa Msiba
IMG-20200727-WA0044.jpg

Jr[emoji769]
 
Uchunguzi hadi leo unasubiri nini?acha porojo zako subiri teuzi umekuwa mtu nisiyemtarajia katika mawazo huru au tumbo linasokota sana mpaka unakoswa uvumlivu hapana aisee
Mkuu Mshana, hii haijakaa vizuri kwasababu kwenye shambulio la Lissu, ukiondoa uzushi wa mitaani na ramli chonganishi, hakuna mtuhumiwa yoyote rasmi, kufuatia shambulio hilo kufanywa na watu wasiojulikana, hivyo kitendo cha wewe kusema kuna mtuhumiwa, huku sheria zetu ziko wazi kabisa, kukitokea tukio lolote la jinai, kama kuna mtu yoyote mwenye taarifa zozote za mhusika au wahusika wa tukio hilo, anapaswa kuripoti kunakohusika na sio kutegenea uzushi wa mitaani na mitandaoni, vinginevyo na mada yako hii ni ramli chonganishi!

Tuacheni Ramli Chonganishi: Tusihukumu, Tusije Tukahukumiwa!. "Karma Ndio Pekee Hutoa Hukumu ya Haki Hapa Duniani!

P
Pitia na hii Site [RC Paul Makonda Personally Supervised the Attempted Assasination of MP Tundu Lissu]
 
Back
Top Bottom