Ujio wa wachina laki 3 Tanganyika uwe na tija kwa Taifa na si kwa ajili ya watu wachache na jamaa zao

Hapa kuna kikwazo kingine,ila sisi tuna vipaumbele vya kipuuzi.Badala tuchangiane kuanzisha viwanda tunachangishana harusi na sherehe.Pia hatuna ubunifu zaidi ya kuwekeza kwenye vitu vilivyo tayari.
 
Kwani majasusi wetu wa kiuchumia wanasemaje na wamejiandaje?
 
IMefikia hatua wanasema wao na waafrika ndugu moja so ni jambo zuri kujua kwamba asili yao ni east africa , mkuu kidiplomasia hili swala lina ukakasi tujaribu kurudia historia kidogo labda kwa ufupi tu .

1. Kwa miaka mamia wapalestina waislamu , wakristo na wayahudi (orthodox jews) wameishi kwa amani na upendo katika ardhi ile bila shida yoyote na wali share mambo mengi tu.

2. Then ikaja balfour declaration asheknazi wakaja kwanza kama wawekezaji then wakaanza zionist movement then ikajakumalizika kama ilivyo hivi sasa ethnic cleansing.

Sisemi kwamba watatumia same procedures kurudi but ku declare kwao origin africa kwa mnasaba wa genes hii kidiplomasia haijakaa sawa
 

Serikali inapenda watu kama wewe msiofuatilia siasa ili iwapige vizuri.

Botswana ina population ya 2M tu na utajiri makubwa wa diamond, utalii na sera nzuri. Bongo wakati inapata uhuru ilikua na population ya 10M Leo tupo 60M hiyo ni exponential growth. Changamoto kubwa ya TZ ni population growth.
 
Mkuu tulieni dawa iwa ingie kipindi cha magufuli mulijenga chuki juu yake,alijaribu kupambania mali ya inchi akawafinya wakina ACASIA kwa sasa BARRICK na wengine mka muita shetani, Mungu aka mchukua na baadhi yenu mka shelekea kifo chake mkala na kunywa so tulieni kabisa na bado.
 
W

Wewe wasema maana unakaa kwenye ofisi yenye AC na tatizo sio hilo labda hutembei.Ajira we unaona za sirikali zinaanza kwa watoto wa viongozi,pengine na wewe ni mmojawapo.
Unaongea ujinga ujue
 
Kwani majasusi wetu wa kiuchumia wanasemaje na wamejiandaje?
Wanasema Mbowe na Lisu,we acha tu ndugu yangu,ujasusi wa hapa ni wa vyeo tu.Ukiua kiwanda unapewa cheo,ukitukana kiti unapotea au kufungwa kabisa
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…