Ujio wa wachina laki 3 Tanganyika uwe na tija kwa Taifa na si kwa ajili ya watu wachache na jamaa zao

Ujio wa wachina laki 3 Tanganyika uwe na tija kwa Taifa na si kwa ajili ya watu wachache na jamaa zao

Tatizo tummelala miaka, wachina wanawekeza viwanda na kilimo sisi mabasi na maduka ya kuuza bidhaa zilizozalishwa na wengine, serikali haiwezi kusubiri tuamke, kuna wakati natamani hata vibarua watoke China ili kuongeza tija, sisi tunapenda mishahara mikubwa isiyolingana na utendaji kazi hata serikalini. Fikiria yaliyofichuliwa juzi kituo cha miito Tanesco, yaani hadi Waziri aje? Na mkurugenzi yupo
Hapa kuna kikwazo kingine,ila sisi tuna vipaumbele vya kipuuzi.Badala tuchangiane kuanzisha viwanda tunachangishana harusi na sherehe.Pia hatuna ubunifu zaidi ya kuwekeza kwenye vitu vilivyo tayari.
 
Ni ugeni mkubwa mwaka huu.. Maandalizi ni mengi na ni makubwa lakini yanayofanywa kwa siri kubwa sana hasa na wachina wenyewe. Madalali wa kichina tayari wako nchini wakizisaka fursa na kuzishikilia, mashushushu wa kichina pia ni wengi mno

Mahoteli yananunuliwa kwa kasi ya ajabu. Migodi hivyohivyo, Ardhi na kila eneo lenye hela vyote sasa hivi wachina wanajibebea kwa bei sawa na bure. Hawa laki 3 wanaokuja ni ma tycoon tupu.. Watakaobaki ama watakaorudi kuwekeza hawawezi kupungua elfu 5 mpaka 10

Ni wakati wa kulisimamia taifa kizalendo zaidi na kuepuka vizawadi vya tv na simu. Waliopo Tanganyika tayari wanahodhi ma ardhi makubwa ya hekari nyingi sana kwa mkataba wa miaka 99.. Hivi ni vizazi vitatu.. Wanaokuja nao watapita humohumo

Je, baada ya hiyo miaka 99 tutakuwa tumebakiwa, tumebakishiwa nini? Mpango huu wa kuwaleta wachina wengi kiasi hiki kwa ajili ya fursa za uwekezaji na biashara hauna afya sana kwa taifa kama tusipokuwa makini sana

Hawa wanaletana na kuja kufanya makazi ya kudumu huku wakipora kila kitu chetu kizuri.. Baada ya vizazi vitatu tutakuwa na taifa gani?
Kwani majasusi wetu wa kiuchumia wanasemaje na wamejiandaje?
 
Nadharia ya "nadharia ya DNA ya Kiafrika ya Uchina" inasema kwamba asili nyingi za kijenetiki za watu wa kisasa wa China zinaweza kufuatiliwa kutoka Afrika.

ikimaanisha kwamba mababu wa Wachina wa kisasa walihama kutoka Afrika na kuishi China, na maumbile yao mengi yanatokana na asili hii ya Kiafrika; hii inaungwa mkono na tafiti nyingi za uchanganuzi wa DNA ambazo zinaonyesha mchango mkubwa wa Kiafrika kwenye mkusanyiko wa jeni wa Kichina.

Mambo muhimu kuhusu nadharia hii:

"Nje ya Afrika" hypothesis:

Nadharia hii inawiana na dhana inayokubalika na watu wengi ya "Nje ya Afrika", ambayo inathibitisha kwamba wanadamu wa kisasa walianzia Afrika na kisha kuenea duniani kote.

Ushahidi wa maumbile:

Uchunguzi wa kulinganisha DNA kutoka kwa watu mbalimbali duniani kote, ikiwa ni pamoja na Uchina, umeonyesha kiungo kikubwa cha maumbile kwa wakazi wa Afrika.

Athari:

Nadharia hii inapendekeza kwamba ingawa kunaweza kuwa na kuzaliana kwa ndani na idadi ya awali ya hominin nchini Uchina, muundo mwingi wa kisasa wa Kichina umechukuliwa kutoka kwa mababu wa Kiafrika.

Jinsi China Inavyoandika Upya Kitabu cha Asili ya Binadamu -...

13 Jul 2016 Uchunguzi wa idadi ya watu wa China unaonyesha kuwa 97.4% ya ...

Mmarekani wa kisayansi

Jifunze zaidi

DNA Yathibitisha Uchina DIRECT Africa Kushuka

29 Jul 2023-hadithi ya uhamaji wa binadamu ni tamthilia ya ajabu

YouTube Black Journals

:

Generative Al ni ya majaribio.

Uchunguzi wa idadi ya watu wa China unaonyesha kuwa 97.4% ya maumbile yao yanatoka kwa mababu wa kisasa kutoka Afrika, na wengine wanatoka kwa fomu zilizopotea kama vile.

Neanderthals na Denisovans. 13 Julai 2016

Jinsi Uchina Inaandika Upya Kitabu cha Asili ya Binadamu - Sayansi ya Amerika
IMefikia hatua wanasema wao na waafrika ndugu moja so ni jambo zuri kujua kwamba asili yao ni east africa , mkuu kidiplomasia hili swala lina ukakasi tujaribu kurudia historia kidogo labda kwa ufupi tu .

1. Kwa miaka mamia wapalestina waislamu , wakristo na wayahudi (orthodox jews) wameishi kwa amani na upendo katika ardhi ile bila shida yoyote na wali share mambo mengi tu.

2. Then ikaja balfour declaration asheknazi wakaja kwanza kama wawekezaji then wakaanza zionist movement then ikajakumalizika kama ilivyo hivi sasa ethnic cleansing.

Sisemi kwamba watatumia same procedures kurudi but ku declare kwao origin africa kwa mnasaba wa genes hii kidiplomasia haijakaa sawa
 
Kama nchi imeona njia ya kujikimu kiuchumi ni mikopo na kuleta wawekezaji wa nje ambao kwa kila namna wanaangalia namna ya kuingia mikataba itakayowafaidisha wao zaidi kuliko sisi .

TULISHAFELI KAMA TAIFA , yaani inashindikana vipi kujifunza kwa walioweza kukuza uchumi sa nchi zao bila kutegemea kubebwa bebwa? Gadaffi aliweza vipi kuinyanyua libya mpaka ilipofikia hatua ya kutokuwa na masikini hata mmoja nchini kwa kutegemea mafuta pekee? Najua kuna watu watasema oooo mafuta yana mzunguko mkubwa kuliko rasilimali tulizokuwa nazo haya "seretse khama" raisi wa kwanza wa botswana aliweza vipi kuinyanyua nchi yake bila kutegemea wawekezaji wa nje na mikopo na ukiangalia alipokea nchi kutoka kwa wakoloni ikiwa na 90% wasio na elimu ambao wengi ni wafugaji na wakulima? Tulifeli wapi?

N.b
Ndiyo maana sipendi kabisa kufuatilia siasa za bongo maa a ghadhabu niliyonayo basi tu.

Serikali inapenda watu kama wewe msiofuatilia siasa ili iwapige vizuri.

Botswana ina population ya 2M tu na utajiri makubwa wa diamond, utalii na sera nzuri. Bongo wakati inapata uhuru ilikua na population ya 10M Leo tupo 60M hiyo ni exponential growth. Changamoto kubwa ya TZ ni population growth.
 
Ni ugeni mkubwa mwaka huu.. Maandalizi ni mengi na ni makubwa lakini yanayofanywa kwa siri kubwa sana hasa na wachina wenyewe. Madalali wa kichina tayari wako nchini wakizisaka fursa na kuzishikilia, mashushushu wa kichina pia ni wengi mno

Mahoteli yananunuliwa kwa kasi ya ajabu. Migodi hivyohivyo, Ardhi na kila eneo lenye hela vyote sasa hivi wachina wanajibebea kwa bei sawa na bure. Hawa laki 3 wanaokuja ni ma tycoon tupu.. Watakaobaki ama watakaorudi kuwekeza hawawezi kupungua elfu 5 mpaka 10

Ni wakati wa kulisimamia taifa kizalendo zaidi na kuepuka vizawadi vya tv na simu. Waliopo Tanganyika tayari wanahodhi ma ardhi makubwa ya hekari nyingi sana kwa mkataba wa miaka 99.. Hivi ni vizazi vitatu.. Wanaokuja nao watapita humohumo

Je, baada ya hiyo miaka 99 tutakuwa tumebakiwa, tumebakishiwa nini? Mpango huu wa kuwaleta wachina wengi kiasi hiki kwa ajili ya fursa za uwekezaji na biashara hauna afya sana kwa taifa kama tusipokuwa makini sana

Hawa wanaletana na kuja kufanya makazi ya kudumu huku wakipora kila kitu chetu kizuri.. Baada ya vizazi vitatu tutakuwa na taifa gani?
Mkuu tulieni dawa iwa ingie kipindi cha magufuli mulijenga chuki juu yake,alijaribu kupambania mali ya inchi akawafinya wakina ACASIA kwa sasa BARRICK na wengine mka muita shetani, Mungu aka mchukua na baadhi yenu mka shelekea kifo chake mkala na kunywa so tulieni kabisa na bado.
 
W

Wewe wasema maana unakaa kwenye ofisi yenye AC na tatizo sio hilo labda hutembei.Ajira we unaona za sirikali zinaanza kwa watoto wa viongozi,pengine na wewe ni mmojawapo.
Unaongea ujinga ujue
 
Kwani majasusi wetu wa kiuchumia wanasemaje na wamejiandaje?
Wanasema Mbowe na Lisu,we acha tu ndugu yangu,ujasusi wa hapa ni wa vyeo tu.Ukiua kiwanda unapewa cheo,ukitukana kiti unapotea au kufungwa kabisa
 
Back
Top Bottom