Ujio wa wachina laki 3 Tanganyika uwe na tija kwa Taifa na si kwa ajili ya watu wachache na jamaa zao

Sipati picha kwamba miaka michache ijayo wachina watakuwa wameshika sekta zote nyeti. Inakuwaje kwani Wachina wanavamia au ni sisi wenyewe tutawakabidhi hizo Sekta kwa hiari? Hilo jambo ambalo linatakiwa lifanyike ni NANI anatakiwa alifanye?
Wanatumia fursa iliyopo, sasa wao wana viwanda...wanatoa kila bidhaa tunayotaka sisi wa dunia ya 3

Kama nawewe una uwezo nenda kafanye biashara kwao na ufanikiwe

Globalization hiyo
 
Hakuna kitu kama hicho wala theory kama hiyo kwani hai-make any sense. Sababu sio wachina tu, bali binadamu wote duniani ikiwemo wa kule kwa mpalange, wanashare DNA kwa asilimia 99.9, hiyo moja 0.1 iliyobaki ni utofauti wa rangi na phenotypes nyingine.
 

I'm not pinning ish.

Nilisema hapo juu sera zinachangia pamoja na population growth isiyo na tija. Population inayoongezeka exponentially kuliko uwezo wenu ni hasara. Nigeria ina uchumi mkubwa Africa as well as population kubwa, wanapiga mark time tu. Botswana uchumi unakua huku population ipo pale pale wanaendelea, you see the difference? Leo hii DSM ina watu wengi kuliko Chicago, hata serikali ijenge DSM vp miundombinu itazidiwa tu.

I can legitimately argue that Nyerere did a better job economically than any other president, given the challenges he had to navigate. Wengi mnaangalia shortcomings zake bila kuangalia changamoto he faced ambazo wengi mnazijua juu juu tu if mnazijua at all.

Endelea kutofuatilia ili upigwe vizuri na usilalamike pia.
 
Sahihi 100%
 
Lakin watanzania mtalala mpaka lin? Tufunguke
 
Ha ha ha kazi ipo.
 
Hapa kuna kikwazo kingine,ila sisi tuna vipaumbele vya kipuuzi.Badala tuchangiane kuanzisha viwanda tunachangishana harusi na sherehe.Pia hatuna ubunifu zaidi ya kuwekeza kwenye vitu vilivyo tayari.
Unaanzisha kiwanda halafu watching wanaleta bidhaa hiyo hiyo japo feki kwa bei ta kutupa na hawalipi kodi stahiki
 
Mshana kwema,

Aisee leo ndo nimemuelewa yule mmama niliyekutana nae ughaibuni. Tulikuwa na fellowship ambayo ilitukutanisha raia kutoka nchi mbalimbali, sasa baada ya kujitambulisha mimi natoka ukanda wa ziwa Victoria TZ, yule mama alikuwa karib na mimi mno, yeye utambulisho wake alisema ni mchina lakin origin ya mabab zake ni kutoka Ziwa Victoria, amaani orign yake ni EA ukanda wa ziwa.

Alishawahi kuja na mme wake wakaishi visiwa vya ziwa Victoria kwa upande wa Kenya, walifanya kazi za kujitolewa kwa kuamini wanawasaidia ngd zao wa dam maana huko ndo origin yake,

Alitoa nafasi nikaishi kwake kama ntataka kukaa zaidi ughaibuni maana yeye na familia yake wanaishi huko, so hakutaka niingie gharama, binafsi nilishabook hotel kwa siku za zianda ambazo nilipanga kukaa so nikamwambia asante.

Muda wote wa ile program yangu yule mama wa kichina alionekana kunicare mno, skutilia maanani ule usemi wake wa orign yake hadi leo nilipofungua uzi huu.

Thanks for sharing
 
Now nimemuelewa vizuri yule mama wa kichina.

Thanks for sharing
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…