Ujio wa wachina laki 3 Tanganyika uwe na tija kwa Taifa na si kwa ajili ya watu wachache na jamaa zao

Ujio wa wachina laki 3 Tanganyika uwe na tija kwa Taifa na si kwa ajili ya watu wachache na jamaa zao

Ni ugeni mkubwa mwaka huu.. Maandalizi ni mengi na ni makubwa lakini yanayofanywa kwa siri kubwa sana hasa na wachina wenyewe
Madalali wa kichina tayari wako nchini wakizisaka fursa na kuzishikilia, mashushushu wa kichina pia ni wengi mno
Mahoteli yananunuliwa kwa kasi ya ajabu
Migodi hivyohivyo
Ardhi na kila eneo lenye hela vyote sasa hivi wachina wanajibebea kwa bei sawa na bure
Hawa laki 3 wanaokuja ni ma tycoon tupu.. Watakaobaki ama watakaorudi kuwekeza hawawezi kupungua elfu 5 mpaka 10
Ni wakati wa kulisimamia taifa kizalendo zaidi na kuepuka vizawadi vya tv na simu

Waliopo Tanganyika tayari wanahodhi ma ardhi makubwa ya hekari nyingi sana kwa mkataba wa miaka 99.. Hivi ni vizazi vitatu.. Wanaokuja nao watapita humohumo
Je baada ya hiyo miaka 99 tutakuwa tumebakiwa, tumebakishiwa nini?
Mpango huu wa kuwaleta wachina wengi kiasi hiki kwa ajili ya fursa za uwekezaji na biashara hauna afya sana kwa taifa kama tusipokuwa makini sana
Hawa wanaletana na kuja kufanya makazi ya kudumu huku wakipora kila kitu chetu kizuri.. Baada ya vizazi vitatu tutakuwa na taifa gani?
Nitatejea
Sheria za ardhi zinasemaje hasa kwa raia wa kigeni ?
 
Miaka kadhaa mbele tutakuwa kama nchi za SEA, uchumi wetu utashikwa na Wachina.
20200530_WBC719 (1).png
 
Ni ugeni mkubwa mwaka huu.. Maandalizi ni mengi na ni makubwa lakini yanayofanywa kwa siri kubwa sana hasa na wachina wenyewe
Madalali wa kichina tayari wako nchini wakizisaka fursa na kuzishikilia, mashushushu wa kichina pia ni wengi mno
Mahoteli yananunuliwa kwa kasi ya ajabu
Migodi hivyohivyo
Ardhi na kila eneo lenye hela vyote sasa hivi wachina wanajibebea kwa bei sawa na bure
Hawa laki 3 wanaokuja ni ma tycoon tupu.. Watakaobaki ama watakaorudi kuwekeza hawawezi kupungua elfu 5 mpaka 10
Ni wakati wa kulisimamia taifa kizalendo zaidi na kuepuka vizawadi vya tv na simu

Waliopo Tanganyika tayari wanahodhi ma ardhi makubwa ya hekari nyingi sana kwa mkataba wa miaka 99.. Hivi ni vizazi vitatu.. Wanaokuja nao watapita humohumo
Je baada ya hiyo miaka 99 tutakuwa tumebakiwa, tumebakishiwa nini?
Mpango huu wa kuwaleta wachina wengi kiasi hiki kwa ajili ya fursa za uwekezaji na biashara hauna afya sana kwa taifa kama tusipokuwa makini sana
Hawa wanaletana na kuja kufanya makazi ya kudumu huku wakipora kila kitu chetu kizuri.. Baada ya vizazi vitatu tutakuwa na taifa gani?
Nitatejea
Unajua watu laki tatu ni wengi sana.

Vyanzo vya hii taarifa ?
 
Kama nchi imeona njia ya kujikimu kiuchumi ni mikopo na kuleta wawekezaji wa nje ambao kwa kila namna wanaangalia namna ya kuingia mikataba itakayowafaidisha wao zaidi kuliko sisi .

TULISHAFELI KAMA TAIFA , yaani inashindikana vipi kujifunza kwa walioweza kukuza uchumi sa nchi zao bila kutegemea kubebwa bebwa? Gadaffi aliweza vipi kuinyanyua libya mpaka ilipofikia hatua ya kutokuwa na masikini hata mmoja nchini kwa kutegemea mafuta pekee? Najua kuna watu watasema oooo mafuta yana mzunguko mkubwa kuliko rasilimali tulizokuwa nazo haya "seretse khama" raisi wa kwanza wa botswana aliweza vipi kuinyanyua nchi yake bila kutegemea wawekezaji wa nje na mikopo na ukiangalia alipokea nchi kutoka kwa wakoloni ikiwa na 90% wasio na elimu ambao wengi ni wafugaji na wakulima? Tulifeli wapi?

N.b
Ndiyo maana sipendi kabisa kufuatilia siasa za bongo maa a ghadhabu niliyonayo basi tu.
Siasa za Tanzania za kipuuzi
 
Hili ni kweli though kuna wanaosema ni conspiracy theory ila inakuwa backed up na taarifa walizotoa wachina hivi karibuni kwamba walipopima dna za watu wao wamekuta wana vinasaba vya watu waafrika so kuna chokochoko la kutaka kurudi kwenye motherland.
Sio kweli bwana
 
Wachina wakiwa wengi nchi yoyote wanaeka police center yao walianza marekan ila kule wanajielewa wakawafatilia,,,wakaja Zambia sasa wanajuta huko baadhi ya restaurant wao wanawabagua waziwazi, hawa watu wanampango wa kuitawala Africa siku moja,,, hawa wafungwa walioletwa kujenga wanaacha damu zao maksud ili baadae iwe rahisi kutawala,,,huko Uganda wanaona sifa kuzaa nao huku pia baadhi ya maeneo kuna blasians
Wachina duniani kote maelfu ya miaka hawana muda wa kuwatawala watu wapuuzi.

Kama wangekuwa na mpango huo wangewatala hata kabla ya wazungu
 
Ni ugeni mkubwa mwaka huu.. Maandalizi ni mengi na ni makubwa lakini yanayofanywa kwa siri kubwa sana hasa na wachina wenyewe
Madalali wa kichina tayari wako nchini wakizisaka fursa na kuzishikilia, mashushushu wa kichina pia ni wengi mno
Mahoteli yananunuliwa kwa kasi ya ajabu
Migodi hivyohivyo
Ardhi na kila eneo lenye hela vyote sasa hivi wachina wanajibebea kwa bei sawa na bure
Hawa laki 3 wanaokuja ni ma tycoon tupu.. Watakaobaki ama watakaorudi kuwekeza hawawezi kupungua elfu 5 mpaka 10
Ni wakati wa kulisimamia taifa kizalendo zaidi na kuepuka vizawadi vya tv na simu

Waliopo Tanganyika tayari wanahodhi ma ardhi makubwa ya hekari nyingi sana kwa mkataba wa miaka 99.. Hivi ni vizazi vitatu.. Wanaokuja nao watapita humohumo
Je baada ya hiyo miaka 99 tutakuwa tumebakiwa, tumebakishiwa nini?
Mpango huu wa kuwaleta wachina wengi kiasi hiki kwa ajili ya fursa za uwekezaji na biashara hauna afya sana kwa taifa kama tusipokuwa makini sana
Hawa wanaletana na kuja kufanya makazi ya kudumu huku wakipora kila kitu chetu kizuri.. Baada ya vizazi vitatu tutakuwa na taifa gani?
Nitatejea
Mkuu hii sio habari ya kufumbiwa macho kabisa na watu wetu wa Usalama,leo hii sisi ambao tunanufaika kwa kuwa karibu na wachina huku tukijiona tumefanikiwa kuliko wanaotuzunguka kwenye jamii zetu muda sio mrefu hata sisi wanufaikaji wa vi misaada hivi tutaona uhalisia na matokeo ya huu Upumbavu tunaofaunya,

Sekta ya Madini imevamiwa kwa Kasi na hawa Wachina,kwa sasa wananunua Leseni za utafiti na Leseni ndogo za wachimbaji wadogo kwa Kasi ya kutisha, sio Kahama,Morogoro,Chunya, Geita mpaka Mpanda kote wanahodhi maeneo na wenyeji tukiendelea kutunishiana misuli kwa nani anayemiliki Gari zuri baada ya kupata mgao kutoka kwa wachina hao.

Watanzania tumelala sana kama raia wa kawaida lakini viongozi ndio tuseme pengine hawajui hata kwanini wapo hapo,

Utajiri wetu upo katika Ardhi,huu Upumbavu wa kuhonga Ardhi kwa Wachina hautoishia tu katika Ardhi bali utagusa mpaka katika maamuzi ya Chama na Serikali siku Maslahi ya hawa wanaopewa Ardhi hii kwa kisingizio cha uwekezaji watakapoguswa Maslahi yao.

Kwa kuwa wenye mamlaka wameona njia ya kuiokomboa nchi hii kiuchumi ni kuzitoa Fursa za hii nchi kwa Waarabu,Wachina na mataifa mengine ya nje na sisi wazawa hatuna Akili ya kufanya lolote zaidi ya kuimba muziki na kubishana kuhusu nani Bora kati ya Simba na Yanga basi wacha wenye Akili wachukue Fursa zote ila mwisho wa haya ni mbaya kuliko hata hizo zama za Ukoloni,

Mwenye masikio na asikie,kama una Akili ya kuona mbali huu ndio wakati wa Kuhodhi maeneo ya Ardhi yenye Madini na Rotuba nzuri kwa ajili ya kilimo(ufugaji) sio kwa ajili yako bali kwa vizazi vyako miaka 50 inayokuja,bila hivyo siku moja mtaona wajukuu zetu wakiwa Manamba ndani ya nchi yao kwa ujila wa Chakula tu.

Fikra Za Mwalimu Zidumu....
 
Hili ni kweli though kuna wanaosema ni conspiracy theory ila inakuwa backed up na taarifa walizotoa wachina hivi karibuni kwamba walipopima dna za watu wao wamekuta wana vinasaba vya watu waafrika so kuna chokochoko la kutaka kurudi

Nadharia ya "nadharia ya DNA ya Kiafrika ya Uchina" inasema kwamba asili nyingi za kijenetiki za watu wa kisasa wa China zinaweza kufuatiliwa kutoka Afrika.

ikimaanisha kwamba mababu wa Wachina wa kisasa walihama kutoka Afrika na kuishi China, na maumbile yao mengi yanatokana na asili hii ya Kiafrika; hii inaungwa mkono na tafiti nyingi za uchanganuzi wa DNA ambazo zinaonyesha mchango mkubwa wa Kiafrika kwenye mkusanyiko wa jeni wa Kichina.

Mambo muhimu kuhusu nadharia hii:

"Nje ya Afrika" hypothesis:

Nadharia hii inawiana na dhana inayokubalika na watu wengi ya "Nje ya Afrika", ambayo inathibitisha kwamba wanadamu wa kisasa walianzia Afrika na kisha kuenea duniani kote.

Ushahidi wa maumbile:

Uchunguzi wa kulinganisha DNA kutoka kwa watu mbalimbali duniani kote, ikiwa ni pamoja na Uchina, umeonyesha kiungo kikubwa cha maumbile kwa wakazi wa Afrika.

Athari:

Nadharia hii inapendekeza kwamba ingawa kunaweza kuwa na kuzaliana kwa ndani na idadi ya awali ya hominin nchini Uchina, muundo mwingi wa kisasa wa Kichina umechukuliwa kutoka kwa mababu wa Kiafrika.

Jinsi China Inavyoandika Upya Kitabu cha Asili ya Binadamu -...

13 Jul 2016 Uchunguzi wa idadi ya watu wa China unaonyesha kuwa 97.4% ya ...

Mmarekani wa kisayansi

Jifunze zaidi

DNA Yathibitisha Uchina DIRECT Africa Kushuka

29 Jul 2023-hadithi ya uhamaji wa binadamu ni tamthilia ya ajabu

YouTube Black Journals

:

Generative Al ni ya majaribio.

Uchunguzi wa idadi ya watu wa China unaonyesha kuwa 97.4% ya maumbile yao yanatoka kwa mababu wa kisasa kutoka Afrika, na wengine wanatoka kwa fomu zilizopotea kama vile.

Neanderthals na Denisovans. 13 Julai 2016

Jinsi Uchina Inaandika Upya Kitabu cha Asili ya Binadamu - Sayansi ya Amerika
 
Back
Top Bottom