Ujio wa wageni Chato ulituletea majanga? Wana usalama hawakuona?

Ujio wa wageni Chato ulituletea majanga? Wana usalama hawakuona?

Narudisha swali kwako. Mada ilisema wageni waliokwenda Chato walipeleka ugonjwa na ikaorodhesha majina ya baadhi ya waliokwenda huko. Mimi nimeuliza wangapi kati ya hao waliokwenda Chato wamekufa? Wewe badala ya kujibu swali unaniuliza kama nina akili timamu. Na mimi nakurudishia swali hilo: Jee zinakutosha?
Unajua yule waziri wa China alikuja na watu wangapi? Raisa wa msumbiji? Maalim Seif? Kwa hiyo mtu akiwa na Covid akimuambuliza mtu lazima afe?
 
Narudia Tena wacheni mihemko ya kishetani

giphy.gif
 
Mwanzoni mwa mwaka huu tumeshuhudia ugeni mkubwa ukimilinika kuelekea Chato huku tukiona hakuna tahadhali juu ya ugonjwa wa Covid 19 ikichukuliwa. Tulishudia waziri wa mambo ya nje wa China, rais wa Mozambique, rais wa Zanzibar na aliyekuwa makamu wake.

Baada ya muda sio mrefu tukasikia maalim Seif anaumwa na baadae kufariki. Baada ya muda tena aliyekuwa Chief Secretary ndugu Kijazi alifariki. Huku akiacha waziri Mpango akiwa hoi kitandani.

Tukiunga dots tutakuja kuona kuwa kuna tatizo ambalo lililetwa na ugeni uliokuja Chato ila hakuna tahadhari zilizochukuliwa. Hapa kuna jambo la kujifunza. Tuache kuwa tunachukulia kila kitu kwa mazoea.
Hata mimi nina wasiwasi sana juu ya yule mchina, kumbuka wale wana chanjo au dawa OG kabibisa kwasababu kirusi chenyewe kilianzia kwao
Na namna mzee wetu alivyokuwa mbishi na Mwenye misimamo mikali, inawezekana kuna namna aliwagomea ulaji au unyonyaji flani hivi maana yule Want Yi mpa aje kwenye nchi yako sio jambo dogo, naamini kabisa hakuja kwaajili ya mkopo wa SGR pekee kuna resources wanawinda sana hawa wachina
Nafsi inaniambia kuondoka kwa Jiwe kumesababishwa na Wang Yi
 
Back
Top Bottom