Nyankurungu2020
JF-Expert Member
- Oct 2, 2020
- 4,170
- 6,757
- Thread starter
- #61
Kati ya hao waliokwenda Chato wangapi wamekufa? Waziri wa Uchina, Museveni, Kenyatta, aliyekuwa Rais wa Zanzibar na Makamu wake, wamekufa? Au waliupeleka ugonjwa wakawaambukiza wenyeji wao wakabaki salama? Umewataja pia Maalim Sefu na Kijazi. Hivi hawa nao walikwenda Chato? Tusiunganishe mambo bila kuwa na uhakika. Yaliyopita si ndwele. Tugange yaliyopo na yajayo. Huu si wakati wa kupoteza muda kujadili mambo yasiyokuwa na tija.
Mwanzoni mwa mwaka huu tumeshuhudia ugeni mkubwa ukimilinika kuelekea Chato huku tukiona hakuna tahadhali juu ya ugonjwa wa Covid 19 ikichukuliwa. Tulishudia waziri wa mambo ya nje wa China, rais wa Mozambique, rais wa Zanzibar na aliyekuwa makamu wake.
Baada ya muda sio mrefu tukasikia maalim Seif anaumwa na baadae kufariki. Baada ya muda tena aliyekuwa Chief Secretary ndugu Kijazi alifariki. Huku akiacha waziri Mpango akiwa hoi kitandani.
Tukiunga dots tutakuja kuona kuwa kuna tatizo ambalo lililetwa na ugeni uliokuja Chato ila hakuna tahadhari zilizochukuliwa. Hapa kuna jambo la kujifunza. Tuache kuwa tunachukulia kila kitu kwa mazoea.