Ujio wa wageni Chato ulituletea majanga? Wana usalama hawakuona?

Kusikia kwa kenge ni mpaka damu imtoke masikioni. Tatizo alitaka wote tuwe careless kama yeye. Alichukia watu waliochukuwa tahadhali kwa kuvaa barakoa... "Ni kosa la marehemu, hakutumia condom" - wimbo maarufu.
Noma sana
 
Acha upotoshaji usio na msingi, mwendazake alikuwa na jeuri na mzaha usio na tija kwenye huo ugonjwa. Yeye ndio alioongoza kejeli dhidi ya ugonjwa huo, na sasa umegeuka fedheha kwa taifa zima. Kama hao wageni ndio walileta huo ugonjwa mbona wao hawajafa?
Nipotoshe ili iweje? Hii jeuri au dharau ndio kutochukua tahadhari. Unauliza swali la kipuuzi sana. Hii ni sababu elimu yako ni duni. Hujui kuwa msafara wa kiongozi mgeni huwa unakuwa na watu wengi. Je, mtu akiwa na Covid 19 lazima afe? Hujui wengine wanapata na kupona lakini wanaambukiza wengine?
 
Mwanzoni mwa mwaka huu tumeshuhudia ugeni mkubwa ukimilinika kuelekea Chato huku tukiona hakuna tahadhali juu ya ugonjwa wa Covid 19 ikichukuliwa. Tulishudia waziri wa mambo ya nje wa China, rais wa Mozambique, rais wa Zanzibar na aliyekuwa makamu wake.

Baada ya muda sio mrefu tukasikia maalim Seif anaumwa na baadae kufariki. Baada ya muda tena aliyekuwa Chief Secretary ndugu Kijazi alifariki. Huku akiacha waziri Mpango akiwa hoi kitandani.

Tukiunga dots tutakuja kuona kuwa kuna tatizo ambalo lililetwa na ugeni uliokuja Chato ila hakuna tahadhari zilizochukuliwa. Hapa kuna jambo la kujifunza. Tuache kuwa tunachukulia kila kitu kwa mazoea.
Akome
 
Alipoona mtu wa karibu yupo hoi alikwishafahamu kwamba kila mmoja wao aliemzunguka hakuwa amepona.

Ila kuna cabinet meetings ziliendelea lakini watu wa karibu ndo walikuwa na access nae zaidi.

Tatizo ni condition alokuwa nayo ya kuwa na kile kifaa moyoni.

Kama ulimsikiliza pale kanisani 17 February ndo alikuwa kama akiaga.

Bado naamini kuna vita kubwa ilikuwa/ipo nyuma ya pazia.
 
Vita kubwa nyuma?
 
Nipotoshe ili iweje? Hii jeuri au dharau ndio kutochukua tahadhari. Unauliza swali la kipuuzi sana. Hii ni sababu elimu yako ni duni. Hujui kuwa msafara wa kiongozi mgeni huwa unakuwa na watu wengi. Je, mtu akiwa na Covid 19 lazima afe? Hujui wengine wanapata na kupona lakini wanaambukiza wengine?

Mtaje aliyekuwa kwenye huo msafara alietangazwa kuugua corona.
 
Nadhani faida ni kubwa kuliko madhara. Kama kwa mfano chanjo ukiwapa watu 50,000 kisha watu 100 wakapata side effects na 49,900 wakawa fit, basi bado inafaa kutumika tu. Mimi ikiletwa sitasubiri hata dk 1, najiunga nayo.
Aisee nakuunga mkono mkuu
 
Mwanzoni mwa mwaka huu tumeshuhudia ugeni mkubwa ukimilinika kuelekea Chato huku tukiona hakuna tahadhali juu ya ugonjwa wa Covid 19 ikichukuliwa. Tulishudia waziri wa mambo ya nje wa China, rais wa Mozambique, rais wa Zanzibar na aliyekuwa makamu wake.

Baada ya muda sio mrefu tukasikia maalim Seif anaumwa na baadae kufariki. Baada ya muda tena aliyekuwa Chief Secretary ndugu Kijazi alifariki. Huku akiacha waziri Mpango akiwa hoi kitandani.

Tukiunga dots tutakuja kuona kuwa kuna tatizo ambalo lililetwa na ugeni uliokuja Chato ila hakuna tahadhari zilizochukuliwa. Hapa kuna jambo la kujifunza. Tuache kuwa tunachukulia kila kitu kwa mazoea.
Mungu ana namna nyingi za kufanya kazi yake.
 
Wachina mlisema ni rafiki zetu ! Wazungu mabeberu...!

Viongozi wa juu wako nyumba za ibada wanasema jiwe yuko fit anasoma mafile ...

Leo ndio mnatafuta mchawi??
 
Mwanzoni mwa mwaka huu tumeshuhudia ugeni mkubwa ukimilinika kuelekea Chato huku tukiona hakuna tahadhali juu ya ugonjwa wa Covid 19 ikichukuliwa. Tulishudia waziri wa mambo ya nje wa China, rais wa Mozambique, rais wa Zanzibar na aliyekuwa makamu wake.

Baada ya muda sio mrefu tukasikia maalim Seif anaumwa na baadae kufariki. Baada ya muda tena aliyekuwa Chief Secretary ndugu Kijazi alifariki. Huku akiacha waziri Mpango akiwa hoi kitandani.

Tukiunga dots tutakuja kuona kuwa kuna tatizo ambalo lililetwa na ugeni uliokuja Chato ila hakuna tahadhari zilizochukuliwa. Hapa kuna jambo la kujifunza. Tuache kuwa tunachukulia kila kitu kwa mazoea.
 
Mwanzoni mwa mwaka huu tumeshuhudia ugeni mkubwa ukimilinika kuelekea Chato huku tukiona hakuna tahadhali juu ya ugonjwa wa Covid 19 ikichukuliwa. Tulishudia waziri wa mambo ya nje wa China, rais wa Mozambique, rais wa Zanzibar na aliyekuwa makamu wake.

Baada ya muda sio mrefu tukasikia maalim Seif anaumwa na baadae kufariki. Baada ya muda tena aliyekuwa Chief Secretary ndugu Kijazi alifariki. Huku akiacha waziri Mpango akiwa hoi kitandani.

Tukiunga dots tutakuja kuona kuwa kuna tatizo ambalo lililetwa na ugeni uliokuja Chato ila hakuna tahadhari zilizochukuliwa. Hapa kuna jambo la kujifunza. Tuache kuwa tunachukulia kila kitu kwa mazoea.
Katika kipindi ambacho wasaidizi wa Rais hawakutimiza wajibu wao wa kumlinda Mzee wetu ni hiki. Hakuna tahadhari iliyochukuliwa kumlinda mzee wetu. Walimwona kama ni Mungu asiyeugua wala kupata mushkeli. Kulikuwa na haja gani kuruhusu ugeni ule toka nje ya nchi bila tahadhari? Mzee Maalim alijitangaza kabisa kwamba ana Covid-19 na akaenda kumsalimia Chato. Naomba hata huyu Rais wa Upande wa pili afanyiwe Check up. japo yeye bado kijana kinga za mwili zinamlinda ila afanyiwe check up mapema.
 
Mwanzoni mwa mwaka huu tumeshuhudia ugeni mkubwa ukimilinika kuelekea Chato huku tukiona hakuna tahadhali juu ya ugonjwa wa Covid 19 ikichukuliwa. Tulishudia waziri wa mambo ya nje wa China, rais wa Mozambique, rais wa Zanzibar na aliyekuwa makamu wake.

Baada ya muda sio mrefu tukasikia maalim Seif anaumwa na baadae kufariki. Baada ya muda tena aliyekuwa Chief Secretary ndugu Kijazi alifariki. Huku akiacha waziri Mpango akiwa hoi kitandani.

Tukiunga dots tutakuja kuona kuwa kuna tatizo ambalo lililetwa na ugeni uliokuja Chato ila hakuna tahadhari zilizochukuliwa. Hapa kuna jambo la kujifunza. Tuache kuwa tunachukulia kila kitu kwa mazoea.
Hakuna tatizo mungu kamuonyesha mwanasayansi feki kua lazima alambe udongo kwa damu za aliowapoteza,leo tz ni xmas,idd,pasaka yani sikukuu zote zimeumana full shangwe
 
Nadhani faida ni kubwa kuliko madhara. Kama kwa mfano chanjo ukiwapa watu 50,000 kisha watu 100 wakapata side effects na 49,900 wakawa fit, basi bado inafaa kutumika tu. Mimi ikiletwa sitasubiri hata dk 1, najiunga nayo.
hiyo ratio kubwa,madhara ni watu wawili watatu ndani ya 50,000..
Rwanda wanaendelea na hiyo chanjo
 
Back
Top Bottom