Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
What kind of national interest? If at all he was a leader of people, elected by people? Mbona Mkapa na Kikwete tuliambiwa wanaumwa na tukaingioa kwenye maombi?Foe national interest inakuwa justified,,tukio halikutarajiwa na haijawahi kutokea kiongozi wa nchi kufia madarakani
Sasa kwanini ujidai na kuumiza wengine wakati unajua hata wewe unaweza kufa? Kwa nini wapambe wako na wewe mwenyewe ujiite JIWE, CHUMA?Siku zake zimefika tu bhana acheni maneno kila mtu atakufa tu...
Daah kweli ule ugeni umeleta shidaMwanzoni mwa mwaka huu tumeshuhudia ugeni mkubwa ukimilinika kuelekea Chato huku tukiona hakuna tahadhali juu ya ugonjwa wa Covid 19 ikichukuliwa. Tulishudia waziri wa mambo ya nje wa China, rais wa Mozambique, rais wa Zanzibar na aliyekuwa makamu wake.
Baada ya muda sio mrefu tukasikia maalim Seif anaumwa na baadae kufariki. Baada ya muda tena aliyekuwa Chief Secretary ndugu Kijazi alifariki. Huku akiacha waziri Mpango akiwa hoi kitandani.
Tukiunga dots tutakuja kuona kuwa kuna tatizo ambalo lililetwa na ugeni uliokuja Chato ila hakuna tahadhari zilizochukuliwa. Hapa kuna jambo la kujifunza. Tuache kuwa tunachukulia kila kitu kwa mazoea.
Aisee!Kusikia kwa kenge ni mpaka damu imtoke masikioni. Tatizo alitaka wote tuwe careless kama yeye. Alichukia watu waliochukuwa tahadhali kwa kuvaa barakoa... "Ni kosa la marehemu, hakutumia condom" - wimbo maarufu.
Sahihi kabisa naamini mazoea yanaweza kukuondoa duniani kizembe tuMwanzoni mwa mwaka huu tumeshuhudia ugeni mkubwa ukimilinika kuelekea Chato huku tukiona hakuna tahadhali juu ya ugonjwa wa Covid 19 ikichukuliwa. Tulishudia waziri wa mambo ya nje wa China, rais wa Mozambique, rais wa Zanzibar na aliyekuwa makamu wake.
Baada ya muda sio mrefu tukasikia maalim Seif anaumwa na baadae kufariki. Baada ya muda tena aliyekuwa Chief Secretary ndugu Kijazi alifariki. Huku akiacha waziri Mpango akiwa hoi kitandani.
Tukiunga dots tutakuja kuona kuwa kuna tatizo ambalo lililetwa na ugeni uliokuja Chato ila hakuna tahadhari zilizochukuliwa. Hapa kuna jambo la kujifunza. Tuache kuwa tunachukulia kila kitu kwa mazoea.
Kalikua ni katabia endelevu kwa hii regime too much lies...Hivi Kassim anajisikiaje kwa kutudanganya Kiasi kile tena mbele ya nyumba ya ibada?
limejiua lenyewe, too much know kumbe hana kitu.Huyu mzee wetu atakuwa ameuawa na mabeberu kwa sababu ya kupinga chanjo zao hadharani,
Ngoja tuone kama hatutammiss kama tulivyomiss JK
Ile ya kuwakashifu mapadre na masista mbele ya waumini wao haikuwa sawa hata kidogo.Tatizo ni ujuaji, unaambiwa ipo unakataa na kukashfu kanisani.
Kati ya hao waliokwenda Chato wangapi wamekufa? Waziri wa Uchina, Museveni, Kenyatta, aliyekuwa Rais wa Zanzibar na Makamu wake, wamekufa? Au waliupeleka ugonjwa wakawaambukiza wenyeji wao wakabaki salama? Umewataja pia Maalim Sefu na Kijazi. Hivi hawa nao walikwenda Chato? Tusiunganishe mambo bila kuwa na uhakika. Yaliyopita si ndwele. Tugange yaliyopo na yajayo. Huu si wakati wa kupoteza muda kujadili mambo yasiyokuwa na tija.Mwanzoni mwa mwaka huu tumeshuhudia ugeni mkubwa ukimilinika kuelekea Chato huku tukiona hakuna tahadhali juu ya ugonjwa wa Covid 19 ikichukuliwa. Tulishudia waziri wa mambo ya nje wa China, rais wa Mozambique, rais wa Zanzibar na aliyekuwa makamu wake.
Baada ya muda sio mrefu tukasikia maalim Seif anaumwa na baadae kufariki. Baada ya muda tena aliyekuwa Chief Secretary ndugu Kijazi alifariki. Huku akiacha waziri Mpango akiwa hoi kitandani.
Tukiunga dots tutakuja kuona kuwa kuna tatizo ambalo lililetwa na ugeni uliokuja Chato ila hakuna tahadhari zilizochukuliwa. Hapa kuna jambo la kujifunza. Tuache kuwa tunachukulia kila kitu kwa mazoea.
Sio tupewe.Nikikumbuka yule Katibu wa RC alivyofunguka kuhusu vifo vya Mapadre, daa natamani kesho tupewe tu AstraZeneca
Una akili timamu?Kati ya hao waliokwenda Chato wangapi wamekufa? Waziri wa Uchina, Museveni, Kenyatta, aliyekuwa Rais wa Zanzibar na Makamu wake, wamekufa? Au waliupeleka ugonjwa wakawaambukiza wenyeji wao wakabaki salama? Umewataja pia Maalim Sefu na Kijazi. Hivi hawa nao walikwenda Chato? Tusiunganishe mambo bila kuwa na uhakika. Yaliyopita si ndwele. Tugange yaliyopo na yajayo. Huu si wakati wa kupoteza muda kujadili mambo yasiyokuwa na tija.
Narudisha swali kwako. Mada ilisema wageni waliokwenda Chato walipeleka ugonjwa na ikaorodhesha majina ya baadhi ya waliokwenda huko. Mimi nimeuliza wangapi kati ya hao waliokwenda Chato wamekufa? Wewe badala ya kujibu swali unaniuliza kama nina akili timamu. Na mimi nakurudishia swali hilo: Jee zinakutosha?Una akili timamu?
Poleni kwa msiba watanzania wenzangunna wazalendo wote wa nchi yetu.Mwanzoni mwa mwaka huu tumeshuhudia ugeni mkubwa ukimilinika kuelekea Chato huku tukiona hakuna tahadhali juu ya ugonjwa wa Covid 19 ikichukuliwa. Tulishudia waziri wa mambo ya nje wa China, rais wa Mozambique, rais wa Zanzibar na aliyekuwa makamu wake.
Baada ya muda sio mrefu tukasikia maalim Seif anaumwa na baadae kufariki. Baada ya muda tena aliyekuwa Chief Secretary ndugu Kijazi alifariki. Huku akiacha waziri Mpango akiwa hoi kitandani.
Tukiunga dots tutakuja kuona kuwa kuna tatizo ambalo lililetwa na ugeni uliokuja Chato ila hakuna tahadhari zilizochukuliwa. Hapa kuna jambo la kujifunza. Tuache kuwa tunachukulia kila kitu kwa mazoea.
Wewe hitakii mema nchi yetu wewe. Unaleta taharuki bila sababu? Tangu lini mafua yakawa ishio kwa MAGUFULI? Acha kutumika na kina armstadam wewe.Mwanzoni mwa mwaka huu tumeshuhudia ugeni mkubwa ukimilinika kuelekea Chato huku tukiona hakuna tahadhali juu ya ugonjwa wa Covid 19 ikichukuliwa. Tulishudia waziri wa mambo ya nje wa China, rais wa Mozambique, rais wa Zanzibar na aliyekuwa makamu wake.
Baada ya muda sio mrefu tukasikia maalim Seif anaumwa na baadae kufariki. Baada ya muda tena aliyekuwa Chief Secretary ndugu Kijazi alifariki. Huku akiacha waziri Mpango akiwa hoi kitandani.
Tukiunga dots tutakuja kuona kuwa kuna tatizo ambalo lililetwa na ugeni uliokuja Chato ila hakuna tahadhari zilizochukuliwa. Hapa kuna jambo la kujifunza. Tuache kuwa tunachukulia kila kitu kwa mazoea.
Huyo aliye kulia kwa Hayati Mahiga ni nan na alikua na cheo ganiView attachment 1728508
hii sio coincidence, kuna tatizo mahali. our statesmen are falling and our country is dividing.
Swali gani la kitoto unalileta JF?Mtaje aliyekuwa kwenye huo msafara alietangazwa kuugua corona.