Ujio wa wageni Chato ulituletea majanga? Wana usalama hawakuona?

Unajua yule waziri wa China alikuja na watu wangapi? Raisa wa msumbiji? Maalim Seif? Kwa hiyo mtu akiwa na Covid akimuambuliza mtu lazima afe?
 
Hata mimi nina wasiwasi sana juu ya yule mchina, kumbuka wale wana chanjo au dawa OG kabibisa kwasababu kirusi chenyewe kilianzia kwao
Na namna mzee wetu alivyokuwa mbishi na Mwenye misimamo mikali, inawezekana kuna namna aliwagomea ulaji au unyonyaji flani hivi maana yule Want Yi mpa aje kwenye nchi yako sio jambo dogo, naamini kabisa hakuja kwaajili ya mkopo wa SGR pekee kuna resources wanawinda sana hawa wachina
Nafsi inaniambia kuondoka kwa Jiwe kumesababishwa na Wang Yi
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…