Masalu Jacob
JF-Expert Member
- Jul 26, 2017
- 1,013
- 1,183
1. Yesu alijulikana kuzaliwa kwake itakuwa wapi, atakavyofanyakazi zake na kuondoka hapa duniani itakuwaje kwake kupitia maandiko (Biblia).
2. Hata ujio wake wa mara ya pili, utakuwa ni ule ule kupitia maandiko. Maandiko yameandika namna atakavyokuja itakuwaje na uzuri kila mmoja atamuona.
3. Changamoto itakayowapata watu wengi ni namna ya kuamini maandiko; maana wapo wanaoamini kutokana na mawazo yao binafsi na sio maandiko.
Hitimisho
Watakaomuona Yesu, watamuona kupitia maandiko na sio kinyume chake. Usidanganyike changamka chap kwa haraka.