Qashy Lilith
JF-Expert Member
- Aug 30, 2024
- 1,508
- 2,965
Na we umejuaje si sahihi?!Umejuaje ni njia sahihi?
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Na we umejuaje si sahihi?!Umejuaje ni njia sahihi?
Wap nimesema sio sahihi?Na we umejuaje si sahihi?!
Na uzuri ni kwamba mabandiko yamesema kila ukweli utajulikana.Uzuri hata zamani (kale) watu wupinga ukweli kwa kuhisi wanajua maandiko ila muda ulivyofika imekuwa halisi ulimwenguni kote.
Hata Yesu walishamuita watu muongo na mzushi. Hii dunia haipendi ukweli ila muda upo na kila mmoja atasikia ukweli wa ujio wake wa mara ya 2 iwe unataka au hautaki.
Mataifa yaliyo endelea na walio waletea hizo dini wanapambana, to make the life better here on earth for the next 100 years.This is being rude
Hivi hizo simulizi za kiimani, huwa mnaziweka kwenye uhalisia jwa vigezo gani?Uzuri hata zamani (kale) watu wengi waliupinga ukweli kwa kuhisi wanajua maandiko ila muda ulivyofika imekuwa halisi ulimwenguni kote.
Hata Yesu walishamuita watu muongo na mzushi. Hii dunia haipendi ukweli ila muda upo na kila mmoja atasikia ukweli wa ujio wake wa mara ya 2 iwe unataka au hautaki.
😂😂AiseeeeeHuu ujinga sijui utawatoka lini?
Wale wamepiga hatua sawa ila Bado Wana diniMataifa yaliyo endelea na walio waletea hizo dini wanapambana, to make the life better here on earth for the next 100 years.
Halafu nyie waafrika mnakazana kubishana ujio wa Yesu mara ya pili na mwisho wa dunia!!
Kwanza unapaswa kujiuliza swali moja, "Je, waliwezaje kumjua Yesu kuwa kazaliwa wakati watoto huzaliwa kila dadika, saa, siku, wiki, mwezi hata mwaka"?Mimi naomba unijuze , mamajusi walipoenda kumuona wakati anazaliwa walikwenda zawadi, dhahabu , ubani na manemane ambayo ni dawa yakienyeji walinda kuzifanyia nini? Zilitumikaje hizo zawadi? Msiojua manemane ni dawa za kienyeji maarufu sana uarabuni na zinaletwa sana kwenye maduka ya dawa za kiarabu zipo .
Rafiki rejea kusoma hii mistari utaelewa.Thibitisha kuwa ni kweli.
Umetoa mawazo yako na sio maneno ya Mungu ambayo ni BIBLIA. Kasome UFUNUO 1:1 -8.Kurudi kwa Yesu kuna hatua (phase) mbili. Phase ya kwanza atarudi kwa siri kuwachukuwa watu wake waliomwamini kwa kumaanisha. Hiyo inaitwa Kunyakuliwa kwa kanisa! Kisha dunia itatawaliwa na Ibilisi kwa miaka 7 na wanadamu hakuna rangi wataacha kuona. Baada ya miaka 7 Yesu atarudi akiwa na mamilioni ya watu wake na Malaika. Hapo kila aliye hai duniani atamwona maana atakuja kwa utukufu mwingi sana. Kimsingi mngao wake utakuwa zaidi ya jua hivyo jua litazimwa kwanza na Yesu na watu wake ndio watakaoangaza dunia. Heri ni yule aliye na sehemu katika ufufuo wa kwanza maana mauti ya pili haitakuwa na nguvu kwake. (Biblia imeeleza mambo hayo yote).
Hayo ni maneno ya kiimani , ni maneno yakukuhamasisha uamini bila uthibitisho.Rafiki rejea kusoma hii mistari utaelewa.
1. Amosi 8:11
2. Mathayo 24:3 - 7
Ni majibu mazuri sana japo yana mafumbo kiasi ila lazima utaokota kitu.
Yesu anaekuja ni tofauti na aliyekuwepo mkuu. Huyu anakuja kama mfalme na nguvu na malaika zake tena hatashuka hapa chini?1. Yesu alijulikana kuzaliwa kwake itakuwa wapi, atakavyofanyakazi zake na kuondoka hapa duniani itakuwaje kwake kupitia maandiko (Biblia).
2. Hata ujio wake wa mara ya pili, utakuwa ni ule ule kupitia maandiko. Maandiko yameandika namna atakavyokuja itakuwaje na uzuri kila mmoja atamuona.
3. Changamoto itakayowapata watu wengi ni namna ya kuamini maandiko; maana wapo wanaoamini kutokana na mawazo yao binafsi na sio maandiko.
Hitimisho
Watakaomuona Yesu, watamuona kupitia maandiko na sio kinyume chake. Usidanganyike changamka chap kwa haraka.
Mungu ni roho. Hii itakupa macho.Yesu anaekuja ni tofauti na aliyekuwepo mkuu. Huyu anakuja kama mfalme na nguvu na malaika zake tena hatashuka hapa chini?
Atakuja akiwa mzee sn maana tangu kipindi kile mpaka anakuja atatembelea mkongojo au kwenye wheel chair1. Yesu alijulikana kuzaliwa kwake itakuwa wapi, atakavyofanyakazi zake na kuondoka hapa duniani itakuwaje kwake kupitia maandiko (Biblia).
2. Hata ujio wake wa mara ya pili, utakuwa ni ule ule kupitia maandiko. Maandiko yameandika namna atakavyokuja itakuwaje na uzuri kila mmoja atamuona.
3. Changamoto itakayowapata watu wengi ni namna ya kuamini maandiko; maana wapo wanaoamini kutokana na mawazo yao binafsi na sio maandiko.
Hitimisho
Watakaomuona Yesu, watamuona kupitia maandiko na sio kinyume chake. Usidanganyike changamka chap kwa haraka.
Dini zao na imani zao haziwaaminishi mambo ya kipumbavu kama haya ya ujio wa Yesu.Wale wamepiga hatua sawa ila Bado Wana dini
Hii mijitu inabidi ipelekwe rehab.Roboshikaaa!! Rikitii rukutu kekeekeke 😂! Stupid
Yaani ujinga ujinga tu, watu wa dini mtakuwa lini kiakili nyingi?
Mungu wenu alimuumba shetani akampa na akili ya kutenda uovu, Nani aliumba uovu hapo?
Vichwa vyao ni vigumu sana!!Hii mijitu inabidi ipelekwe rehab.
Bongo zao zimeathirika na imani za kidini za kijinga.