Masalu Jacob
JF-Expert Member
- Jul 26, 2017
- 1,013
- 1,183
Uzuri mada hapa jukwaani zipo nyingi sana. Kila mtu anavutiwa na mada inayogusa moyo wake. Usijipe umuhimu na ikiwa kuna jambo (mada) fulani hupendezwi nayo waweza ipuuza tu hutapungukiwa na kitu rafiki.Ifike muafaka maada za dini zipigwe ban hapa JF.. NI kero sana.
Ukikubaliwa wewe, na mimi nataka mada zote zipigwe ban, zibaki za jinsi ya ku... Bila kumkosoa mtuIfike muafaka maada za dini zipigwe ban hapa JF.. NI kero sana.
✓Uzuri mada hapa jukwaani zipo nyingi sana. Kila mtu anavutiwa na mada inayogusa moyo wake. Usijipe umuhimu na ikiwa kuna jambo (mada) fulani hupendezwi nayo waweza ipuuza tu hutapungukiwa na kitu rafiki.
😞Ifike muafaka maada za dini zipigwe ban hapa JF.. NI kero sana.
Mimi naomba unijuze , mamajusi walipoenda kumuona wakati anazaliwa walikwenda zawadi, dhahabu , ubani na manemane ambayo ni dawa yakienyeji walinda kuzifanyia nini? Zilitumikaje hizo zawadi? Msiojua manemane ni dawa za kienyeji maarufu sana uarabuni na zinaletwa sana kwenye maduka ya dawa za kiarabu zipo .1. Yesu alijulikana kuzaliwa kwake itakuwa wapi, atakavyofanyakazi zake na kuondoka hapa duniani itakuwaje kwake kupitia maandiko (Biblia).
2. Hata ujio wake wa mara ya pili, utakuwa ni ule ule kupitia maandiko. Maandiko yameandika namna atakavyokuja itakuwaje na uzuri kila mmoja atamuona.
3. Changamoto itakayowapata watu wengi ni namna ya kuamini maandiko; maana wapo wanaoamini kutokana na mawazo yao binafsi na sio maandiko.
Hitimisho
Watakaomuona Yesu, watamuona kupitia maandiko na sio kinyume chake. Usidanganyike changamka chap kwa haraka.
Hujui matumizi ya zawadi rafiki? Ulitaka maandiko yaseme ubani ulitumiki hivi; na manemane ilitumika hivyo; na dhahabu vile? Lengo la maandiko ni kutuongoza kiroho kumjua Mungu wa kweli na sio matumizi ya zawadi!Mimi naomba unijuze , mamajusi walipoenda kumuona wakati anazaliwa walikwenda zawadi, dhahabu , ubani na manemane ambayo ni dawa yakienyeji walinda kuzifanyia nini? Zilitumikaje hizo zawadi? Msiojua manemane ni dawa za kienyeji maarufu sana uarabuni na zinaletwa sana kwenye maduka ya dawa za kiarabu zipo .
Zingepelekwa huko majukwa ya dini wajadili kondoo wenyewe tu🤔Ifike muafaka maada za dini zipigwe ban hapa JF.. NI kero sana.
Thibitisha kuwa ni kweli.Uzuri hata zamani (kale) watu wengi waliupinga ukweli kwa kuhisi wanajua maandiko ila muda ulivyofika imekuwa halisi ulimwenguni kote.
Hata Yesu walishamuita watu muongo na mzushi. Hii dunia haipendi ukweli ila muda upo na kila mmoja atasikia ukweli wa ujio wake wa mara ya 2 iwe unataka au hautaki.
This is being rudeYou need to restore your brain 🧠 to factory settings.
You need mental rehabilitation therapy.
Vipi kama mtu akikutana na uzi kama huu anaweza kubadili mtazamo wake na kufata njia sahihiZingepelekwa huko majukwa ya dini wajadili kondoo wenyewe tu🤔
Kurudi kwa Yesu kuna hatua (phase) mbili. Phase ya kwanza atarudi kwa siri kuwachukuwa watu wake waliomwamini kwa kumaanisha. Hiyo inaitwa Kunyakuliwa kwa kanisa! Kisha dunia itatawaliwa na Ibilisi kwa miaka 7 na wanadamu hakuna rangi wataacha kuona. Baada ya miaka 7 Yesu atarudi akiwa na mamilioni ya watu wake na Malaika. Hapo kila aliye hai duniani atamwona maana atakuja kwa utukufu mwingi sana. Kimsingi mngao wake utakuwa zaidi ya jua hivyo jua litazimwa kwanza na Yesu na watu wake ndio watakaoangaza dunia. Heri ni yule aliye na sehemu katika ufufuo wa kwanza maana mauti ya pili haitakuwa na nguvu kwake. (Biblia imeeleza mambo hayo yote).1. Yesu alijulikana kuzaliwa kwake itakuwa wapi, atakavyofanyakazi zake na kuondoka hapa duniani itakuwaje kwake kupitia maandiko (Biblia).
2. Hata ujio wake wa mara ya pili, utakuwa ni ule ule kupitia maandiko. Maandiko yameandika namna atakavyokuja itakuwaje na uzuri kila mmoja atamuona.
3. Changamoto itakayowapata watu wengi ni namna ya kuamini maandiko; maana wapo wanaoamini kutokana na mawazo yao binafsi na sio maandiko.
Hitimisho
Watakaomuona Yesu, watamuona kupitia maandiko na sio kinyume chake. Usidanganyike changamka chap kwa haraka.
Under-coverYou need to restore your brain 🧠 to factory settings.
You need mental rehabilitation therapy.
Umejuaje ni njia sahihi?Vipi kama mtu akikutana na uzi kama huu anaweza kubadili mtazamo wake na kufata njia sahihi
Kabisa mkuu, hizi threads za dini nimefuatilia sana, nimeona Kuna uchochezi fulani pamoja na chuki ndani yake. ( wapewe access maada za dini wale verified, ila hawa wenye IDS fake zaidi ya tatu hapa Jf haifai...)Zingepelekwa huko majukwa ya dini wajadili kondoo wenyewe tu🤔
Kila mwamba ngoma ngozi huvutia kwake.Kabisa mkuu, hizi threads za dini nimefuatilia sana, nimeona Kuna uchochezi fulani pamoja na chuki ndani yake. ( wapewe access maada za dini wale verified, ila hawa wenye IDS fake zaidi ya tatu hapa Jf haifai...)