Ujio wa Yesu mara 2

Na uzuri ni kwamba mabandiko yamesema kila ukweli utajulikana.
 
This is being rude
Mataifa yaliyo endelea na walio waletea hizo dini wanapambana, to make the life better here on earth for the next 100 years.

Halafu nyie waafrika mnakazana kubishana ujio wa Yesu mara ya pili na mwisho wa dunia!!

Huu ujinga sijui utawatoka lini?
 
Hivi hizo simulizi za kiimani, huwa mnaziweka kwenye uhalisia jwa vigezo gani?

Let say amekuja kuwahukumu wazima na wafu sasa!

Hivi kweli binadamu anaweza kusongeshwa mbinguni akiwa mzima😙!?

Na akirudi, atarudi mwenyewe kavu kavu au atarudi kwa kuzaliwa upya?

Na ratiba zake za kuanza mabaraza ya hukumu, ratiba zake zipoje?

Maswala ya kiroho kuyaweka katika uhalisia wa maisha tuliyopo na kuanza kutetea, huwa mnakosea sana.
 
Mataifa yaliyo endelea na walio waletea hizo dini wanapambana, to make the life better here on earth for the next 100 years.

Halafu nyie waafrika mnakazana kubishana ujio wa Yesu mara ya pili na mwisho wa dunia!!
Wale wamepiga hatua sawa ila Bado Wana dini
 
Kwanza unapaswa kujiuliza swali moja, "Je, waliwezaje kumjua Yesu kuwa kazaliwa wakati watoto huzaliwa kila dadika, saa, siku, wiki, mwezi hata mwaka"?

Jibu hapo ni moja tu. Walijua uzaliwa wa Yesu kupitia maandiko. Maandiko yalishasema dalili za kuzaliwa masihi zitakuwa za namna gani.

Hizo mane-mane sio ishu sana. Utaelewa vizuri ukijua namna alivyozaliwa rafiki kutokana na maandiko.
 
Umetoa mawazo yako na sio maneno ya Mungu ambayo ni BIBLIA. Kasome UFUNUO 1:1 -8.

Unapaswa uwe mpole na ukiri ndani ya Moyo wako kuwa jambo fulani hakika huna ufahamu nalo.

Hii ndio changamoto ya watu wengi sana.
 
Rafiki rejea kusoma hii mistari utaelewa.
1. Amosi 8:11
2. Mathayo 24:3 - 7

Ni majibu mazuri sana japo yana mafumbo kiasi ila lazima utaokota kitu.
Hayo ni maneno ya kiimani , ni maneno yakukuhamasisha uamini bila uthibitisho.
 
Yesu anaekuja ni tofauti na aliyekuwepo mkuu. Huyu anakuja kama mfalme na nguvu na malaika zake tena hatashuka hapa chini?
 
Yesu anaekuja ni tofauti na aliyekuwepo mkuu. Huyu anakuja kama mfalme na nguvu na malaika zake tena hatashuka hapa chini?
Mungu ni roho. Hii itakupa macho.
Ujio wa Yesu wa mara 1 walioweza kumjua ni wale walio na maarifa ya kiroho. Hata ujio wa mara 2 njia ni ile ile rafiki, watakaomjua na kumuona ni wale tu wenye maarifa ya kiroho ya yanayomuhusu Mungu.
 
Atakuja akiwa mzee sn maana tangu kipindi kile mpaka anakuja atatembelea mkongojo au kwenye wheel chair
 
Roboshikaaa!! Rikitii rukutu kekeekeke 😂! Stupid

Yaani ujinga ujinga tu, watu wa dini mtakuwa lini kiakili nyinyi?

Mungu wenu alimuumba shetani akampa na akili ya kutenda uovu, Nani aliumba uovu hapo?
 
Wale wamepiga hatua sawa ila Bado Wana dini
Dini zao na imani zao haziwaaminishi mambo ya kipumbavu kama haya ya ujio wa Yesu.

Taifa kama China hata hawaamini habari za Yesu na ndio wana maendeleo makubwa.

Halafu unakuta waafrika wengi walio maskini choka mbaya, Ndio wanalishana matango pori ya habari za kipumbavu kuhusu Yesu, Allah, Mungu, Shetani, majini, mapepo, uchawi, mizimu na illusions nyingine nyingi.

They say if you have Jesus you have everything, Africa has him and yet still borrows from China who does not even know him.

Poor Africans!!
 
Roboshikaaa!! Rikitii rukutu kekeekeke 😂! Stupid

Yaani ujinga ujinga tu, watu wa dini mtakuwa lini kiakili nyingi?

Mungu wenu alimuumba shetani akampa na akili ya kutenda uovu, Nani aliumba uovu hapo?
Hii mijitu inabidi ipelekwe rehab.

Bongo zao zimeathirika na imani za kidini za kijinga.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…