Ujira mdogo wa Tsh 4,600/ kutwa kwa vibarua muhimu kiwanda cha PEPSI Mbeya plant. Dkt. Tulia nakuomba tembelea Kiwandani kuna wapiga kura wako

Mkuu kama hujaridhika hapo achana napo usipoteze muda wako japo ni kweli Mamlaka inatakiwa kuingilia kati issue za mishahara kwa taasisi binafsi.
 
Nani alimpigia kura Tulia?
 
Hayo ni majukumu muhimu zaidi kwa hawa wanaitwa vibarua wa "Production" bila uwepo wao kazi haziendi ni muhimu sana lakini maslahi yao ni madogo kwa mda wanaofanya kazi.
Katika organisation structure ya taasisi yoyote ila hakuna mtu muhimu kuzidi mwingine. Kama hao vibarua ni muhimu, je watu wa marketing au wale wachanganya chemicals (Food Engineers) utasemaje?
 
Nani alimpigia kura Tulia?
Jaman nipeni connection za eneo hilo hata kama ni 1000 per day
 
Halafu mnamshangaa MO kumlipa manara 700,000/= kwa miaka yote hio bila mkataba! Hao ndio Ghabacholi Inc.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…