Extrovert
JF-Expert Member
- Feb 29, 2016
- 70,785
- 186,690
Uchumi wa Kati 😅😅😅4600 ÷ 12 = 383.3333 per hour.
Kama hali ni hivyo basi hali ni mbaya!
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Uchumi wa Kati 😅😅😅4600 ÷ 12 = 383.3333 per hour.
Kama hali ni hivyo basi hali ni mbaya!
Fursa ipi wakati umefungiwa 12 hoursJiongeze angalia furusa nyingine.
Hahahah naskia kwa Mo hapoHata hapa dar kuna watu viwandani wanalamba buku 6 kwa kutwa kwa kazi za viwandani, hamna kupumzika hapo. Unakuta wewe una usingizi but mashine inazunguka tu.
Coca Cola kwanza ni kile cha Mikocheni?Katika viwanda vinavyolipa vizuri wafanyakazi wake mbeya ni Cocacola kwanza. Hao wengine ni wezi na matapeli tu hasahasa hao pepsi ni wanyonyaji sana hao wahindi hawafai
Hii nchi bado ni masikini sana tu, tusidanganyane. Kuna sehemu ukipita na kuona mabanda, Aina za biashara tunazodunduliza, mipangilio ya miji yetu nk unaona tu umasikini umetutamalaki.Kuna mambo inabidi ucheke tu aisee! Buku 3 like serious?
Maskini kweli kweli ila dah matabaka ndio yanayofanya kuwe na un even distribution of wealthHii nchi bado ni masikini sana tu, tusidanganyane. Kuna sehemu ukipita na kuona mabanda, Aina za biashara tunazodunduliza, mipangilio ya miji yetu nk unaona tu umasikini umetutamalaki.
Kwa wanaojua salary scales za METL hawatashangaa simba ya Mo kumlipa 700k jamaa anachojua lazima utamuibia tuHalafu mnamshangaa MO kumlipa manara 700,000/= kwa miaka yote hio bila mkataba! Hao ndio Ghabacholi Inc.
mkuu naomba connection ya jinsi ya kupata hiyo kazi mkuu Mbeya, saiv npo Ruvuma hukuHakuna mkataba ukiitaji unafanya siku wiki 1 alafu unaacha hamna tatizo kila siku watu wapya wanaingia maana wanaocha ni wengi.
Mteja alikuja dukani kununua soda ya hiyo kampuni. Dada akaifungua, yule mteja na dada wakagundua kwenye chupa kuna condomMpaka leo bado wanakagua chupa kwa macho ya binadamu? PEPSI wekezeni kwenye mashine zina ufanisi.
Ndio kawaida ya viwandani hasa vya wahindi,wachina na waafrica.Kiwanda kikubwa cha uzalishaji soda za Pepsi, Seven Up, Mirinda, Mountain Dew n.k ambacho ni cha kanda ya kusini nyanda za juu SBC Mbeya Plant (Pepsi) kinaudumia takribani mikoa 3 au 4 yani Ruvuma, Iringa, Njombe na Mbeya yenyewe.
Vibarua wa kutwa wanalipwa 4,600/ kwa masaa 12 ya kazi wanaingia saa 07:00 asubuhi na kutoka saa 06:30 jioni.
Majukumu ya vibarua hawa muhimu,
1. Wanakagua na kuchambua chupa iliyotoka sokoni kama inafaa tena kutumika yani kwa walaji kabla ya kuoshwa kwenye mashine.
2. Wanazikagua na kuchambua chupa baada ya kuoshwa kwenye mashine kama zinafaa kutiwa soda tayari kwenda kwa walaji.
3. Wanakagua kila soda inayozalishwa kama ina muhuli wa TRA.
4. Wanakagua na kuchambua soda ambazo zipo tayari zinaoenda sokoni kama ni safi na salama hazina hitilafu kama vile ujazo,uchafu n.k
5. Kupanda kreti za soda kwenye pareti kwa ajili ya kuifadhiwa store.
Hayo ni majukumu muhimu zaidi kwa hawa wanaitwa vibarua wa "Production" bila uwepo wao kazi haziendi ni muhimu sana lakini maslahi yao ni madogo kwa mda wanaofanya kazi.
Wito kwa Mbunge wa jimbo la Mbeya tembelea Kiwandani ujionee wapiga kura wako kwa macho jinsi watu wanavyofanya kazi huku wakilalama si vibarua, si waajiriwa ni ujira wa chini sana hauridhishi, haukidhi kabisa tofauti kabisa viwanda vya jirani kama Cocacola na TBL.
4,600 ukiichambua inatumika hivi 2,000/ kula mchana na jioni,1,000 nauli kwenda na kurudi.
Balance Tsh.1,600/=
Vibarua hawanaga mikatabaKabla ya kuanza kazi kuna mkataba kama ulisaini mkataba fanya kazi za watu.wewe unafikiri kwanini wanasema kazi za watu.@mitano tena.
Ilipaswa kuwa15-20kHahaha PELICAN huyo au nani? Pepsi Dar ukifanya kazi masaa 12 unalipwa Tsh 7,800/= per day
Sent using Jamii Forums mobile app
Ajira milioni 43 ndiyo hizoKiwanda kikubwa cha uzalishaji soda za Pepsi, Seven Up, Mirinda, Mountain Dew n.k ambacho ni cha kanda ya kusini nyanda za juu SBC Mbeya Plant (Pepsi) kinaudumia takribani mikoa 3 au 4 yani Ruvuma, Iringa, Njombe na Mbeya yenyewe.
Vibarua wa kutwa wanalipwa 4,600/ kwa masaa 12 ya kazi wanaingia saa 07:00 asubuhi na kutoka saa 06:30 jioni.
Majukumu ya vibarua hawa muhimu,
1. Wanakagua na kuchambua chupa iliyotoka sokoni kama inafaa tena kutumika yani kwa walaji kabla ya kuoshwa kwenye mashine.
2. Wanazikagua na kuchambua chupa baada ya kuoshwa kwenye mashine kama zinafaa kutiwa soda tayari kwenda kwa walaji.
3. Wanakagua kila soda inayozalishwa kama ina muhuli wa TRA.
4. Wanakagua na kuchambua soda ambazo zipo tayari zinaoenda sokoni kama ni safi na salama hazina hitilafu kama vile ujazo,uchafu n.k
5. Kupanda kreti za soda kwenye pareti kwa ajili ya kuifadhiwa store.
Hayo ni majukumu muhimu zaidi kwa hawa wanaitwa vibarua wa "Production" bila uwepo wao kazi haziendi ni muhimu sana lakini maslahi yao ni madogo kwa mda wanaofanya kazi.
Wito kwa Mbunge wa jimbo la Mbeya tembelea Kiwandani ujionee wapiga kura wako kwa macho jinsi watu wanavyofanya kazi huku wakilalama si vibarua, si waajiriwa ni ujira wa chini sana hauridhishi, haukidhi kabisa tofauti kabisa viwanda vya jirani kama Cocacola na TBL.
4,600 ukiichambua inatumika hivi 2,000/ kula mchana na jioni,1,000 nauli kwenda na kurudi.
Balance Tsh.1,600/=
its just 2 dollars per day 12hrs daadekiii kwiyooooKiwanda kikubwa cha uzalishaji soda za Pepsi, Seven Up, Mirinda, Mountain Dew n.k ambacho ni cha kanda ya kusini nyanda za juu SBC Mbeya Plant (Pepsi) kinaudumia takribani mikoa 3 au 4 yani Ruvuma, Iringa, Njombe na Mbeya yenyewe.
Vibarua wa kutwa wanalipwa 4,600/ kwa masaa 12 ya kazi wanaingia saa 07:00 asubuhi na kutoka saa 06:30 jioni.
Majukumu ya vibarua hawa muhimu,
1. Wanakagua na kuchambua chupa iliyotoka sokoni kama inafaa tena kutumika yani kwa walaji kabla ya kuoshwa kwenye mashine.
2. Wanazikagua na kuchambua chupa baada ya kuoshwa kwenye mashine kama zinafaa kutiwa soda tayari kwenda kwa walaji.
3. Wanakagua kila soda inayozalishwa kama ina muhuli wa TRA.
4. Wanakagua na kuchambua soda ambazo zipo tayari zinaoenda sokoni kama ni safi na salama hazina hitilafu kama vile ujazo,uchafu n.k
5. Kupanda kreti za soda kwenye pareti kwa ajili ya kuifadhiwa store.
Hayo ni majukumu muhimu zaidi kwa hawa wanaitwa vibarua wa "Production" bila uwepo wao kazi haziendi ni muhimu sana lakini maslahi yao ni madogo kwa mda wanaofanya kazi.
Wito kwa Mbunge wa jimbo la Mbeya tembelea Kiwandani ujionee wapiga kura wako kwa macho jinsi watu wanavyofanya kazi huku wakilalama si vibarua, si waajiriwa ni ujira wa chini sana hauridhishi, haukidhi kabisa tofauti kabisa viwanda vya jirani kama Cocacola na TBL.
4,600 ukiichambua inatumika hivi 2,000/ kula mchana na jioni,1,000 nauli kwenda na kurudi.
Balance Tsh.1,600/=
mkuu naomba connection ya jinsi ya kupata hiyo kazi mkuu Mbeya, saiv npo Ruvuma huku
wairi wa ajira na vijana yuko usingizini viwanda viote nchii wanakandamiza watu serikali inacho jali ni kodi tu ukichunguza vizuli viwandani bado kuna utumwa tatio ss wabunge tunao wachagua ni mazezete hawana uwezo kabisa wa kutetea watuKiwanda kikubwa cha uzalishaji soda za Pepsi, Seven Up, Mirinda, Mountain Dew n.k ambacho ni cha kanda ya kusini nyanda za juu SBC Mbeya Plant (Pepsi) kinaudumia takribani mikoa 3 au 4 yani Ruvuma, Iringa, Njombe na Mbeya yenyewe.
Vibarua wa kutwa wanalipwa 4,600/ kwa masaa 12 ya kazi wanaingia saa 07:00 asubuhi na kutoka saa 06:30 jioni.
Majukumu ya vibarua hawa muhimu,
1. Wanakagua na kuchambua chupa iliyotoka sokoni kama inafaa tena kutumika yani kwa walaji kabla ya kuoshwa kwenye mashine.
2. Wanazikagua na kuchambua chupa baada ya kuoshwa kwenye mashine kama zinafaa kutiwa soda tayari kwenda kwa walaji.
3. Wanakagua kila soda inayozalishwa kama ina muhuli wa TRA.
4. Wanakagua na kuchambua soda ambazo zipo tayari zinaoenda sokoni kama ni safi na salama hazina hitilafu kama vile ujazo,uchafu n.k
5. Kupanda kreti za soda kwenye pareti kwa ajili ya kuifadhiwa store.
Hayo ni majukumu muhimu zaidi kwa hawa wanaitwa vibarua wa "Production" bila uwepo wao kazi haziendi ni muhimu sana lakini maslahi yao ni madogo kwa mda wanaofanya kazi.
Wito kwa Mbunge wa jimbo la Mbeya tembelea Kiwandani ujionee wapiga kura wako kwa macho jinsi watu wanavyofanya kazi huku wakilalama si vibarua, si waajiriwa ni ujira wa chini sana hauridhishi, haukidhi kabisa tofauti kabisa viwanda vya jirani kama Cocacola na TBL.
4,600 ukiichambua inatumika hivi 2,000/ kula mchana na jioni,1,000 nauli kwenda na kurudi.
Balance Tsh.1,600/=
mita 5 tena [emoji30][emoji30][emoji30][emoji30][emoji30][emoji30][emoji30]Kabla ya kuanza kazi kuna mkataba kama ulisaini mkataba fanya kazi za watu.wewe unafikiri kwanini wanasema kazi za watu.@mitano tena.