Ujira mdogo wa Tsh 4,600/ kutwa kwa vibarua muhimu kiwanda cha PEPSI Mbeya plant. Dkt. Tulia nakuomba tembelea Kiwandani kuna wapiga kura wako

Hata hapa dar kuna watu viwandani wanalamba buku 6 kwa kutwa kwa kazi za viwandani, hamna kupumzika hapo. Unakuta wewe una usingizi but mashine inazunguka tu.
Hahahah naskia kwa Mo hapo
 
Katika viwanda vinavyolipa vizuri wafanyakazi wake mbeya ni Cocacola kwanza. Hao wengine ni wezi na matapeli tu hasahasa hao pepsi ni wanyonyaji sana hao wahindi hawafai
Coca Cola kwanza ni kile cha Mikocheni?
 
Mpaka leo bado wanakagua chupa kwa macho ya binadamu? PEPSI wekezeni kwenye mashine zina ufanisi.
Mteja alikuja dukani kununua soda ya hiyo kampuni. Dada akaifungua, yule mteja na dada wakagundua kwenye chupa kuna condom
 
Ndio kawaida ya viwandani hasa vya wahindi,wachina na waafrica.

Kiwanda bora cha mzungu,wahindi wanalipa 3,000
 
Ajira milioni 43 ndiyo hizo
 
its just 2 dollars per day 12hrs daadekiii kwiyoooo
 
Serikali imefunga macho na hawa watu wanatumia mlango wa vibarua ili wasiwalipe kima cha chini cha mshahara na benefits kama mafao NSSF, overtime na likizo. Serikali imelala tu yaani mtu anatengeneza soda na yule mtengeneza soda mwenyewe anamuita kibarua... What the hell...
 
Serikali kupitia wizara husika sasa wanafanya kazi gani?

Waziri, naibu waziri, katibu wa wizara, naibu katibu huko ofisini hufanya nini?
Kwanini kila kitu cha hovyo ni Tanzania tu.
 
wairi wa ajira na vijana yuko usingizini viwanda viote nchii wanakandamiza watu serikali inacho jali ni kodi tu ukichunguza vizuli viwandani bado kuna utumwa tatio ss wabunge tunao wachagua ni mazezete hawana uwezo kabisa wa kutetea watu
 
Kabla ya kuanza kazi kuna mkataba kama ulisaini mkataba fanya kazi za watu.wewe unafikiri kwanini wanasema kazi za watu.@mitano tena.
mita 5 tena [emoji30][emoji30][emoji30][emoji30][emoji30][emoji30][emoji30]
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…