Ujirani mwingine ni kero tupu

Ujirani mwingine ni kero tupu

Restless Hustler

JF-Expert Member
Joined
Apr 9, 2017
Posts
5,150
Reaction score
20,025
Jirani unamuazima kiberiti harudishi.

Mwavuli wangu ulikuwa ukigusa kitufe unafyatuka, kumuazima jirani harudishi, kumdai kwa nguvu mwavuli unarudi ukiwa kiwa imepinda alafu kile kitufe hakifanyi kazi tena. Hadi nisukume mwavuli ndiyo ufunguke

Anaazima jagi la kupashia maji anarudisha likiwa haliwaki.

Anaazima brashi la kufulia harudishi.

Akichukua flash disc, Hadi umdai kwa Nguvu ndiyo arudishe ikiwa imemeguka kipande.

Ujirani mwingine ni kero tupu. Unaishije na jirani mpumbavu Kama huyu? Ana kipato kizuri lakini anapenda kuomba na kuharibu vitu vyangu tu
 
Sema Mimi ni fala.
 
Huyo atakuwa ni mchaga.
 
Wapo wengi hao ni kuwachana makavu na kumwambia ukweli!Mimi yupo hadi ndala za kuogea anataka nimpe akirudisha ni mguu mmoja,juzi nimenunua zingine nimemnyima!Kazi kujisifia alivyotumia bar na wamwalu!
 
Hata Mimi nimejitahidi kutabasamu katika maudhi yake ila nakaribia kuishiwa uvumilivu
 
Back
Top Bottom