Ujirani mwingine ni kero tupu

Ujirani mwingine ni kero tupu

Kwanini unampa vitu vyako? Leo kaja mtu kuazima panga kwangu, nikamwambia limeazimwa, kanambia si hilo hapo? Nikamjibu aliyeliazima amemtuma mtt kuja kulichukua ndio maana nimekiweka nje.
Kiukweli ni tabia mbaya sana kwa mtu kutokuwa na vipaumbele kwenye items muhimu sana kama panga, fyekeo, nyundo, plaiz nk
 
Jirani unamuazima kiberiti harudishi.

Mwavuli wangu ulikuwa ukigusa kitufe unafyatuka, kumuazima jirani harudishi, kumdai kwa nguvu mwavuli unarudi ukiwa kiwa imepinda alafu kile kitufe hakifanyi kazi tena. Hadi nisukume mwavuli ndiyo ufunguke

Anaazima jagi la kupashia maji anarudisha likiwa haliwaki.

Anaazima brashi la kufulia harudishi.

Akichukua flash disc, Hadi umdai kwa Nguvu ndiyo arudishe ikiwa imemeguka kipande.

Ujirani mwingine ni kero tupu. Unaishije na jirani mpumbavu Kama huyu? Ana kipato kizuri lakini anapenda kuomba na kuharibu vitu vyangu tu
Kumbe bado kuna ujilan WA hiv Sisi huku kwetu ni salam Tu lkn kila MTU na mambo yake hakuna kuazimn vitu huku kama huna kitu utapambn na Hali yako ndani kwako
 
Acha kutoa toa vitu vyako kumpa mtu ambaye hakuhusu.

Utakuja kutoa hadi maisha yako.
 
Jirani unamuazima kiberiti harudishi.

Mwavuli wangu ulikuwa ukigusa kitufe unafyatuka, kumuazima jirani harudishi, kumdai kwa nguvu mwavuli unarudi ukiwa kiwa imepinda alafu kile kitufe hakifanyi kazi tena. Hadi nisukume mwavuli ndiyo ufunguke

Anaazima jagi la kupashia maji anarudisha likiwa haliwaki.

Anaazima brashi la kufulia harudishi.

Akichukua flash disc, Hadi umdai kwa Nguvu ndiyo arudishe ikiwa imemeguka kipande.

Ujirani mwingine ni kero tupu. Unaishije na jirani mpumbavu Kama huyu? Ana kipato kizuri lakini anapenda kuomba na kuharibu vitu vyangu tu
Wakati wenzio wanajenga masaki,msasani na oysterbay wewe ulikuwa wapi ????ona sasa unakaa sehemu bado mnaazimana viberiti
 
Jirani unamuazima kiberiti harudishi.

Mwavuli wangu ulikuwa ukigusa kitufe unafyatuka, kumuazima jirani harudishi, kumdai kwa nguvu mwavuli unarudi ukiwa kiwa imepinda alafu kile kitufe hakifanyi kazi tena. Hadi nisukume mwavuli ndiyo ufunguke

Anaazima jagi la kupashia maji anarudisha likiwa haliwaki.

Anaazima brashi la kufulia harudishi.

Akichukua flash disc, Hadi umdai kwa Nguvu ndiyo arudishe ikiwa imemeguka kipande.

Ujirani mwingine ni kero tupu. Unaishije na jirani mpumbavu Kama huyu? Ana kipato kizuri lakini anapenda kuomba na kuharibu vitu vyangu tu
Mlipishe tu, akiazima kizima kikirudi kibovu dai kizima ataacha mwenyewe
 
Back
Top Bottom