Restless Hustler
JF-Expert Member
- Apr 9, 2017
- 5,150
- 20,025
- Thread starter
- #61
MaasaiWewe ni msukuma mwanangu?
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
MaasaiWewe ni msukuma mwanangu?
Very practicalKuna mambo mazuri ya kuiga kutoka kwa wazungu, "akiomba kitu mwambie akanunue"
Sent from my SM-A042F using JamiiForums mobile app
Wote wanaumeUpo nae jinsia tofauti au?
Very reasonableKumbe bado kuna ujilan WA hiv Sisi huku kwetu ni salam Tu lkn kila MTU na mambo yake hakuna kuazimn vitu huku kama huna kitu utapambn na Hali yako ndani kwako
✔️🧢Mimi majirani zangu uwa hawanielewi.
Baada ya salam ndanii. Baada ya salam sipo nimetoka. kuna wakati bora nilale njaa lakini sio kuanza kujenga mazoea na majirani.
Ukimuazima mke ndio usahau kabisaaaJirani unamuazima kiberiti harudishi.
Mwavuli wangu ulikuwa ukigusa kitufe unafyatuka, kumuazima jirani harudishi, kumdai kwa nguvu mwavuli unarudi ukiwa kiwa imepinda alafu kile kitufe hakifanyi kazi tena. Hadi nisukume mwavuli ndiyo ufunguke
Anaazima jagi la kupashia maji anarudisha likiwa haliwaki.
Anaazima brashi la kufulia harudishi.
Akichukua flash disc, Hadi umdai kwa Nguvu ndiyo arudishe ikiwa imemeguka kipande.
Ujirani mwingine ni kero tupu. Unaishije na jirani mpumbavu Kama huyu? Ana kipato kizuri lakini anapenda kuomba na kuharibu vitu vyangu tu
Hapana aiseeUtakuja kumuazima hata mswaki
😅😅😅😅🧢🖖🏾Ukimuazima mke ndio usahau kabisaaa
anaazima anaazima bado anaazima.. unamuazima TU!Jirani unamuazima kiberiti harudishi.
Mwavuli wangu ulikuwa ukigusa kitufe unafyatuka, kumuazima jirani harudishi, kumdai kwa nguvu mwavuli unarudi ukiwa kiwa imepinda alafu kile kitufe hakifanyi kazi tena. Hadi nisukume mwavuli ndiyo ufunguke
Anaazima jagi la kupashia maji anarudisha likiwa haliwaki.
Anaazima brashi la kufulia harudishi.
Akichukua flash disc, Hadi umdai kwa Nguvu ndiyo arudishe ikiwa imemeguka kipande.
Ujirani mwingine ni kero tupu. Unaishije na jirani mpumbavu Kama huyu? Ana kipato kizuri lakini anapenda kuomba na kuharibu vitu vyangu tu
Kaka tutafte tu michuzi mingi tujenge nyumba nzuri zenye geti kali...jirani hawez kuja kugonga geti kuomba ndalaHapana aisee
😍😍😍✔️Kaka tutafte tu michuzi mingi tujenge nyumba nzuri zenye geti kali...jirani hawez kuja kugonga geti kuomba ndala
Jirani unamuazima kiberiti harudishi.
Mwavuli wangu ulikuwa ukigusa kitufe unafyatuka, kumuazima jirani harudishi, kumdai kwa nguvu mwavuli unarudi ukiwa kiwa imepinda alafu kile kitufe hakifanyi kazi tena. Hadi nisukume mwavuli ndiyo ufunguke
Anaazima jagi la kupashia maji anarudisha likiwa haliwaki.
Anaazima brashi la kufulia harudishi.
Akichukua flash disc, Hadi umdai kwa Nguvu ndiyo arudishe ikiwa imemeguka kipande.
Ujirani mwingine ni kero tupu. Unaishije na jirani mpumbavu Kama huyu? Ana kipato kizuri lakini anapenda kuomba na kuharibu vitu vyangu tu
Ghetto Nalipa elfu 60. Siyo uswahiliniEneo unalokaa ndo shida, sio majirani, kama unaona sio eneo sahihi kwako, we hama, hamia kidogo chumba cha 65,000, hicho cha 30,000 lazima mshirikiane!!!!?? Ndo ujamaa kama tulivyoagizwa kwenye azimio la Arusha.
😂😂kwa kwelKaka tutafte tu michuzi mingi tujenge nyumba nzuri zenye geti kali...jirani hawez kuja kugonga geti kuomba ndala
Nipo hapa,Jirani yako yupo humu?
Itakuwa jirani yake kamgeuza Msukule pasi yeye kujijuaKama umemwazima cha kwanza kaharibu afu ukaendelea kumpa vitu vyako basi mwenye matatizo ni wewe na sio jirani yako au ndokusema huwezi sema STAKI