Mlundilwa Jr
JF-Expert Member
- Dec 11, 2019
- 3,187
- 4,857
Sawa ila shida huijui weweHuyo mkuu kasema si kiberiti tu ni kila kitu, halafu ndiyo iwe kila mara?
Sent from my HUAWEI KII-L22 using JamiiForums mobile app
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Sawa ila shida huijui weweHuyo mkuu kasema si kiberiti tu ni kila kitu, halafu ndiyo iwe kila mara?
Sent from my HUAWEI KII-L22 using JamiiForums mobile app
Kiweled unapaswa utengeneze mazingira wanaokuzunguka waone wana umuhimu kwako hata km umewazid kipatoSasa kama unafanya yote hayo unashindwa nini kununua viberiti ukawa navyo kwako?
Sent from my HUAWEI KII-L22 using JamiiForums mobile app
sa itakuwaje na mvua zimeanza, tena tunaambiwa ni za el ninoMwavuli wangu ulikuwa ukigusa kitufe unafyatuka, kumuazima jirani harudishi, kumdai kwa nguvu mwavuli unarudi ukiwa kiwa imepinda alafu kile kitufe hakifanyi kazi tena. Hadi nisukume mwavuli ndiyo ufunguke
Usitetee tabia za usumbufu kws watu, Shida nazijua, huyo kasema akichukua kiberiti harudishi, sasa huyo mwenyenacho kama kilikuwa kimebaki hicho tu akitaka kutumia akifuate tena kwake, unaiona hiyo ni njema kweli?Sawa ila shida huijui wewe
Mkuu kuna watu ukimtendea mema anafikia kipindi anaanza kukuona unajipendekeza,boys,hunahakili, namengine mengiJirani unamuazima kiberiti harudishi.
Mwavuli wangu ulikuwa ukigusa kitufe unafyatuka, kumuazima jirani harudishi, kumdai kwa nguvu mwavuli unarudi ukiwa kiwa imepinda alafu kile kitufe hakifanyi kazi tena. Hadi nisukume mwavuli ndiyo ufunguke
Anaazima jagi la kupashia maji anarudisha likiwa haliwaki.
Anaazima brashi la kufulia harudishi.
Akichukua flash disc, Hadi umdai kwa Nguvu ndiyo arudishe ikiwa imemeguka kipande.
Ujirani mwingine ni kero tupu. Unaishije na jirani mpumbavu Kama huyu? Ana kipato kizuri lakini anapenda kuomba na kuharibu vitu vyangu tu
hahahaha we jamaaKwanini unampa vitu vyako? Leo kaja mtu kuazima panga kwangu, nikamwambia limeazimwa, kanambia si hilo hapo? Nikamjibu aliyeliazima amemtuma mtt kuja kulichukua ndio maana nimekiweka nje.
"Bora kuomba kuriko kuiba"Usitetee tabia za usumbufu kws watu, Shida nazijua, huyo kasema akichukua kiberiti harudishi, sasa huyo mwenyenacho kama kilikuwa kimebaki hicho tu akitaka kutumia akifuate tena kwake, unaiona hiyo ni njema kweli?
Sent from my HUAWEI KII-L22 using JamiiForums mobile app
Hiyo sawa mtu akiomba leo sawa inatokea, kinachokera kumfanya mwenzio dukani kwa mangi, leo piga hodi naomba kiberiti umepewa na hakirudi na siku nyingine unaenda kuomba tena, baadaye mvua naomba mwamvuli umepewa ukiurudisha umeshaharibika, mara sijui kitu gani kikirudi kimeharibika, sasa kweli utamlaumu mtu hapo?Kiweled unapaswa utengeneze mazingira wanaokuzunguka waone wana umuhimu kwako hata km umewazid kipato
Vibirit kumi vinauzwa TSH.500 wew ukiwa na akili zako timamu unaamin kabisa simudu kununua???
Ha ha ha kama umeamua kupanga chumba cha elf 50-60 hapo uwezo wakununua vitu vidogo vidogo unavyo, mambo yakugongeana mmm huko ndani una mambo yako unafanya mtu anakugongea anaomba kiberiti hapo saa 1 kasoro asubuhi ndugu mmm hapana kabisa"Bora kuomba kuriko kuiba"
Anaazima jagi la kupashia maji anarudisha likiwa haliwaki.
Sasa km kibirit chake nikimrudishia yey akija kusonga ugali ktk gesi yangu atawasha Kwa kutumia nin???Hiyo sawa mtu akiomba leo sawa inatokea, kinachokera kumfanya mwenzio dukani kwa mangi, leo piga hodi naomba kiberiti umepewa na hakirudi na siku nyingine unaenda kuomba tena, baadaye mvua naomba mwamvuli umepewa ukiurudisha umeshaharibika, mara sijui kitu gani kikirudi kimeharibika, sasa kweli utamlaumu mtu hapo?
Sent from my HUAWEI KII-L22 using JamiiForums mobile app
Nakubali mchoyo wa Taifa kaza utatokaHa ha ha kama umeamua kupanga chumba cha elf 50-60 hapo uwezo wakununua vitu vidogo vidogo unavyo, mambo yakugongeana mmm huko ndani una mambo yako unafanya mtu anakugongea anaomba kiberiti hapo saa 1 kasoro asubuhi ndugu mmm hapana kabisa
Sent from my HUAWEI KII-L22 using JamiiForums mobile app
Azima njitiMkuu inatokea Huna hiyo shilingi 100 au unakuta unaenda kwa Mangi na 10k akupatie kiberiti cha sh 100 anakwambia chenji hana sasa utafanyaje kama siyo kwenda kuomba kwa jirani. Mkuu maisha ni kusaidiana Shida haichagui
Just buy another.Jirani unamuazima kiberiti harudishi.
Mwavuli wangu ulikuwa ukigusa kitufe unafyatuka, kumuazima jirani harudishi, kumdai kwa nguvu mwavuli unarudi ukiwa kiwa imepinda alafu kile kitufe hakifanyi kazi tena. Hadi nisukume mwavuli ndiyo ufunguke
Anaazima jagi la kupashia maji anarudisha likiwa haliwaki.
Anaazima brashi la kufulia harudishi.
Akichukua flash disc, Hadi umdai kwa Nguvu ndiyo arudishe ikiwa imemeguka kipande.
Ujirani mwingine ni kero tupu. Unaishije na jirani mpumbavu Kama huyu? Ana kipato kizuri lakini anapenda kuomba na kuharibu vitu vyangu tu
Ishi nae kwa akiliJirani unamuazima kiberiti harudishi.
Mwavuli wangu ulikuwa ukigusa kitufe unafyatuka, kumuazima jirani harudishi, kumdai kwa nguvu mwavuli unarudi ukiwa kiwa imepinda alafu kile kitufe hakifanyi kazi tena. Hadi nisukume mwavuli ndiyo ufunguke
Anaazima jagi la kupashia maji anarudisha likiwa haliwaki.
Anaazima brashi la kufulia harudishi.
Akichukua flash disc, Hadi umdai kwa Nguvu ndiyo arudishe ikiwa imemeguka kipande.
Ujirani mwingine ni kero tupu. Unaishije na jirani mpumbavu Kama huyu? Ana kipato kizuri lakini anapenda kuomba na kuharibu vitu vyangu tu
...Umeishamsoma na Umemjua alivyo, Unamuazima wa Nini vitu vyake ? SI Unakataa tuu?? [emoji848][emoji848]Jirani unamuazima kiberiti harudishi.