Restless Hustler
JF-Expert Member
- Apr 9, 2017
- 5,150
- 20,025
Sema Mimi ni fala.Jirani unamuazima kiberiti harudishi.
Mwavuli wangu ulikuwa ukigusa kitufe unafyatuka, kumuazima jirani harudishi, kumdai kwa nguvu mwavuli unarudi ukiwa kiwa imepinda alafu kile kitufe hakifanyi kazi tena. Hadi nisukume mwavuli ndiyo ufunguke
Anaazima jagi la kupashia maji anarudisha likiwa haliwaki.
Anaazima brashi la kufulia harudishi.
Akichukua flash disc, Hadi umdai kwa Nguvu ndiyo arudishe ikiwa imemeguka kipande.
Ujirani mwingine ni kero tupu. Unaishije na jirani mpumbavu Kama huyu? Ana kipato kizuri lakini anapenda kuomba na kuharibu vitu vyangu tu
Wewe Ni fala.Sema Mimi ni fala.
Huyo atakuwa ni mchaga.Jirani unamuazima kiberiti harudishi.
Mwavuli wangu ulikuwa ukigusa kitufe unafyatuka, kumuazima jirani harudishi, kumdai kwa nguvu mwavuli unarudi ukiwa kiwa imepinda alafu kile kitufe hakifanyi kazi tena. Hadi nisukume mwavuli ndiyo ufunguke
Anaazima jagi la kupashia maji anarudisha likiwa haliwaki.
Anaazima brashi la kufulia harudishi.
Akichukua flash disc, Hadi umdai kwa Nguvu ndiyo arudishe ikiwa imemeguka kipande.
Ujirani mwingine ni kero tupu. Unaishije na jirani mpumbavu Kama huyu? Ana kipato kizuri lakini anapenda kuomba na kuharibu vitu vyangu tu
Wapo wengi hao ni kuwachana makavu na kumwambia ukweli!Mimi yupo hadi ndala za kuogea anataka nimpe akirudisha ni mguu mmoja,juzi nimenunua zingine nimemnyima!Kazi kujisifia alivyotumia bar na wamwalu!Jirani unamuazima kiberiti harudishi.
Mwavuli wangu ulikuwa ukigusa kitufe unafyatuka, kumuazima jirani harudishi, kumdai kwa nguvu mwavuli unarudi ukiwa kiwa imepinda alafu kile kitufe hakifanyi kazi tena. Hadi nisukume mwavuli ndiyo ufunguke
Anaazima jagi la kupashia maji anarudisha likiwa haliwaki.
Anaazima brashi la kufulia harudishi.
Akichukua flash disc, Hadi umdai kwa Nguvu ndiyo arudishe ikiwa imemeguka kipande.
Ujirani mwingine ni kero tupu. Unaishije na jirani mpumbavu Kama huyu? Ana kipato kizuri lakini anapenda kuomba na kuharibu vitu vyangu tu
Ni kweli. Umejuaje?Huyo atakuwa ni mchaga.
Wanapenda slopNi kweli. Umejuaje?
UtukomeHuyo atakuwa ni mchaga.
Hata Mimi nimejitahidi kutabasamu katika maudhi yake ila nakaribia kuishiwa uvumilivuWapo wengi hao ni kuwachana makavu na kumwambia ukweli!Mimi yupo hadi ndala za kuogea anataka nimpe akirudisha ni mguu mmoja,juzi nimenunua zingine nimemnyima!Kazi kujisifia alivyotumia bar na wamwalu!
Noma sana!
Kwa makadirio tupo level moja ya uchumiKama upo vizuri kiuchumi mnunulie tu, hizi nyumba zinaficha mengi.
Wewe Rudi kwenye Uzi wako wa kifo cha mende π π π ππΎJirani yako yupo humu?
Mchane tuu,maana watu kama hao pia sio wepesi kusaidia!Hata ukimsaidia anaona ni haki yake,pumbavu kabisa.Hata Mimi nimejitahidi kutabasamu katika maudhi yake ila nakaribia kuishiwa uvumilivu